Huyo Mahanga ameenda hapo kituoni kwenda kulipa fadhila kwa policcm jinsi walivyomuokoa na aibu ya karne,kwenye uchaguzi wa 2010.
Si mnakumbuka kwenye uchaguzi huo,jinsi alivyokamatwa red handed na mabox ya kura feki,hadi akafikishwa kwrnye kituo cha polisi cha Buguruni, lakini kama kawaida yao mapoliccm yakapotezea kiaina,ushahidi huo wa beyond reasonable doubt.
Kwa maana hiyo Mahanga,ana kila sababu za kufanyia mikutano yake kwenye vituo vya polisi,kwani bila vituo hivyo kuupotezea ushahidi huo wa dhahiri wa kukamatwa na kura hizo feki,anajua dhahiri kuwa hivi leo asingekuwa anaitwa mheshimiwa mbunge!!