CCM wafanyia mkutano kituo cha polisi

CCM wafanyia mkutano kituo cha polisi

Alikuwa "mzalendo" mzalendo ya CCM, ya wizi wa kura! na wizi mwingine, manaake kwa CCM mzalendo ni reciprocal ya Mzalendo halisi!

Hapo penye red: Mkuu ujue sisi wengine ni product ya Mulugo 2012, haya materminology ya hisabati yanatuchanganya! Na lazima unafahamu kwamba hesabu ni moja ya janga la kitaifa Tanzania. Tehe tehe tehe tehe!
 
'hawa makochoko Baba V sio kochochoko ni kochoko mkuu,teh teh...'

Ahaaa... nilidhani mmefika kwenye ile chorus ya LOI nikataka nijiunge na mie pale kwenye "Aiyeeee, aiyee, aiyee kochokocho"" kumbe ningeingia chaka..
 
Last edited by a moderator:
Kidumu chama cha mapinduzi,zidumu fikra sahihi za mwenyekiti wa MAGAMBA
 
Back
Top Bottom