Ronal Reagan
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,298
- 3,060
Aisee mkuu hii kitu imetua mahali nyeti. Karume aliwahi kusema "...kuna watu wana vichwa (i.e. ubongo) wa samaki..." Watakuja hapa sasa hivi kutetea hili bila kuangalia chanzo/mzizi wake.
CCM imeuza na kufisadi maeneo yote ya wazi na bado wanaendelea na mchezo huo kwa nguvu, kasi na ari mpya kila uchao. MUNGU atunusuru tu kwa kweli.
CCM imeuza na kufisadi maeneo yote ya wazi na bado wanaendelea na mchezo huo kwa nguvu, kasi na ari mpya kila uchao. MUNGU atunusuru tu kwa kweli.