Unapomkosoa mwenzako hakikisha kuwa nawe upo sahihi.. Sasa hapo kwenye rangi ya bluu umeandika nini? Acha ukengemaji
Mpaka kuhoji hvi basi itakua umeshaelewa nini kimemaanishwa
Ukitaka kukosoa uwe msafi!
Of all the things, that is the best you can do!!...It was an error(typing error) unless someone persist in it to be a mistake.
Nilimaanisha Kupenda nchi na Si 'jupenda' nchi! Na kiswahili sanifu ni huwa 'mnakimbilia' wapi na si "MNAKIMBILIAGA" wapi.
Now, Back to the topic!
Hawa wajinga mapolisi wamepitisha bakuli wanaomba mchango mtaani kwetu kumalizia kituo cha polisi kumbe Ni Chaka la green guard, kudadeki sitoi hata senti tano
'na wee acha ukenge bluu b.w.e.g.e. wee...............tunasemaga,tunakulaga,tunakwendaga,tunakosoaga sio jupenda hiyo hakunaaaaaaga,now lets go'
hapana yupo kwenye moja ya ofisi zao. Kama huamini CDM waombe kufanyia mkutano pale au mahali pengine kama pale uone kama watapewaLabda waliogopa kumwagiwa tindikali, maana yale magaidi yemeachiwa huru kule Tabora
Polisi wakashindwa kufanya kazi zao magamba yamejaa mlangoni.
Zero za Mulugo zimejaa sana JF. Yaani hata lugha yako mama hauijui vizuri kuizungumza? Ulikuwa unafanya nini shule miaka yote? Kwa mtindo huo mimi wala siilaumu serikali.
'unakaa nyagwa wee kwa jupenda ndio lugha mama au lugha baba,acha kuongea usengerema kochoko wee...'