Ccm wachanganyikiwa Arusha

ccm inakufa polepole lakini kwa uhakika.*
Arusha watu wengi wao wamesoma na wanaona mbali hasa kwa watoto na wajukuu wao.*
Mikoa mingine HASA DAR ina majuha kibao ambayo yanaangalia maisha ya leo tu,KESHO ITAJIJUA YENYEWE.

Kaka ubaya wa Dar nikwamba hakuna mwenye uchungu napo..... hata baadhi ya wazawa kama Wazaramo na wengine wamesogea na kuachia Dar kuchukuliwa na wahuni wanaoangalia " simu ilopo kwenye soko sasahivi ni simu gani"
Hawana akili za hata juma lijalo , licha ya miaka ijayo.
 
Kata ya sombetini itabaki CCM. Wanasombetini wengi hawataki hata kuisikia Chadema. Hasa baada ya kusalitiwa na Ndg.Mawazo, aliyehamia Chadema kwa sababu ya kutafuta maslahi binafsi.
 
wewe nawe!!!!!
 
kamanda mawazo atawashika tena kupitia CDM, ccm walishakufa siku nyingi arusha, ngoja muone 2015 namna ambavyo yale yaliyotokea moshi yatatokea arusha cozi asilimia 85 itakuwa madiwani wa CDM

Mkuu nakupa 100% huku kwetu Rock City watatukoma magamba 2015,wengine ndo hao wanaouliwa kwa mawe na waliobaki watajibeba.Kiufupi 2015 utakuwa mwanzo wa kuijenga TZ mpya.
 
Kata ya sombetini itabaki CCM. Wanasombetini wengi hawataki hata kuisikia Chadema. Hasa baada ya kusalitiwa na Ndg.Mawazo, aliyehamia Chadema kwa sababu ya kutafuta maslahi binafsi.

Utakuwa unaota ndoto za ABUNUWAS! Arusha walishajitambua siku nyingi.
 
Kata ya sombetini itabaki CCM. Wanasombetini wengi hawataki hata kuisikia Chadema. Hasa baada ya kusalitiwa na Ndg.Mawazo, aliyehamia Chadema kwa sababu ya kutafuta maslahi binafsi.

Mmmmmh!! Arusha siyo uzaramuni bwana, Kumdanganya mtu na wali akupe haki yake. Sahau
 
Ccm mkoa wa arusha hasa jimbo la arusha mjini, wanahaha kutafuta cha kufanya hasa kipindi cha uchaguz mdogo.katika uchaguz uliotangazwa wa madiwan kwa kata zilizowazi kote nchini mwakanin,ccm mkoa wa Arusha wanahaha kutafuta mgombea wa kushindana na upinzan hasa chadema katika kata ya sombetini kwan wengi wanaogopa kuaibika kama ile 4 bila.
Nmebahatika kutembelea kata hyo ya sombetin nakubain kuwa asilimia kubwa ya wananchi hawatak kusikia ccm,huku wagombea wengi wakitaka kujinad chadema.ofisi za ccm nyngi zmefungw.,mfn kule ngusero nje kdg na jiji bendera za chadema zipo kwa wingi na kila vikund vya watu 10 ukiwauliuza vp siasa huku, 9 wanakuambia siasa ni chadema tu huku mmjoa akiitaja ccm..
Ccm mnajiaribia wenyew kadr manavowafanyia vituko zaid upinzn na kukaa muda mrefu kwa kuiba pesa za wananchi
Vijana wengi wanaosapoti chadema sasa ni sababu ya kudanganywa na Slaa kwamba gongo ikihalalishwa watapata ajira, baada ya gongo kuwaathiri akili zao na maisha yao.........ni ngumu watu hao kuwasapoti CDM 2015.
 
ndugu, jaribu kufikiri japo kidogo kabla hujachangia hoja yoyote na usiwe na hasira wala jazba! Aliyekuambia Dr.Slaa anawaongopea watu kuwa gongo itahalalishwa ni nani na wapi alisemea?
Kwa taarifa cdm haina walevi na ndo maana hatuwaaliki wapiga kura kwenye vilabu vya mataputapu kama wafanyavyo ccm. Fikiri tena namna ya kujibu hoja.
 
Sawa ndugu ila Dr.Slaa aliahihidi wananchi kwenye ziara ya ''kuimarisha'' chama huko kasulu wiki iliyopita kwamba moja ya vipaumbele vya CDM ikishika dola itahalalisha gongo ili kukuza pato la taifa na kukuza ajira...!Vipi haufuatilii ziara ya katibu mkuu au wewe nawe huamini katika hilo?
 
M23 najua atakuja na point za kipumbavu,ole wake aharibu thread,nimempania sana,maana hata anakofanyia biashara nimeelekezwa,huyu jamaa sijui anaipendea nini ccm!
 
Sawa ndugu ila Dr.Slaa aliahihidi wananchi kwenye ziara ya ''kuimarisha'' chama huko kasulu wiki iliyopita kwamba moja ya vipaumbele vya CDM ikishika dola itahalalisha gongo ili kukuza pato la taifa na kukuza ajira...!Vipi haufuatilii ziara ya katibu mkuu au wewe nawe huamini katika hilo?

Wewe umesahau kumeza dozi
 
Ndiyo mnajifariji hivyo tusiandikie mate tungoje siku yenyewe ifike utasikia mziki huo
 
Wewe umesahau kumeza dozi
Mkuu hupendi ukweli eeh!!acha povu, hiyo ni sera ya Dr.Slaa kwani na wewe huipendi? watu kibao wa CDM humu JF wanaipenda angalia usituhumiwe kwa usaliti na uhaini mkuu inabidi ukubaliane na Ilani na Katiba ya Chama.
 
Sawa ndugu ila Dr.Slaa aliahihidi wananchi kwenye ziara ya ''kuimarisha'' chama huko kasulu wiki iliyopita kwamba moja ya vipaumbele vya CDM ikishika dola itahalalisha gongo ili kukuza pato la taifa na kukuza ajira...!Vipi haufuatilii ziara ya katibu mkuu au wewe nawe huamini katika hilo?

kwa akili zako mbofu mbofu gongo ndiyo imesababisha tanzania na watanzania wawe maskini!? mbona hilo jibu usimpe mh. rais Mrisho Jakaya Kikwete?
CC: FaizaFoxy, ifweero, Ritz, utaifakwanza
 
Kata ya sombetini itabaki CCM. Wanasombetini wengi hawataki hata kuisikia Chadema. Hasa baada ya kusalitiwa na Ndg.Mawazo, aliyehamia Chadema kwa sababu ya kutafuta maslahi binafsi.

Duuuu!!!!makubwa, CDM kuna maslahi yepi kuzidi magambani?
 
Back
Top Bottom