Yaani hata vitu obvious namna hii, bado unaandika upuuzi huu ! Kwa faida ya nani ?
Jana kuna post moja nilikuita M-PUMBA-VU yaani mtu asiyeelewa hata akielimishwa sana !
Ukajibu kwamba wewe haujibu matusi ila unajibu hoja tu. Nikashangaa kwani mimi nimekuwekea neno na maana yake kutoka kwenye kamusi lakini bado hukuelewa na kuliita tusi ! Nikaona nisijibu hiyo post yako kwa sababu nilijua kwa u-pumba-vu ulionao bado usingeelewa !
Sasa itabidi nitafute neno lingine la kukuelezea vizuri, kwani naona hili halikufai tena, kwa sababu u-pumba-vu wako umevuka mipaka.....