CCM Waanza Kutekeleza Agizo la JK Kalenga

CCM Waanza Kutekeleza Agizo la JK Kalenga

Cha muhimu tusubiri tuu huo uchaguzi uifanyike.

na ndo maana nasema you are better than this. Upenzi wa vyama usiondoe maumivu ya wenzetu. Kumbuka sote tuna mwili wenye nyama, damu na mifupa. Najua utakuwa hujawahi chomwa kisu. Kumbuka ulipojikata na kisu au kiwembe, then hayo maumivu zidisha mara alfu haafu njoo kejeli hivi. Hata Gadafi/sadam pamoja na nguvu zao zote waliuawa na waliowaona kama 'panya' kutoka kitaroni.
 
Huyu hapa ukimuona sehemu anaongea na kikundi cha vijana lazima upatwe na wasiwasi kuhusu usalama wa raia kutokana na history iliyoko mahakamani kwa sasa.

Kampeni+za+nyumba+kwa+nyumba.j  pg

Mh Lwakatare akiongea na baadhi ya Wananchi Jimboni Kalenga
Makamanda+na+msosi.jpg

Kazi ya kishetani na dawa, 'Makamanda' wa Chadema wakiongozwa na Wilfred Lwakatare wakipata msosi baada ya kazi nzito ya 'kumpigania' mgombea ubunge wa Chadema Kalenga

[video=youtube_share;dfgeZZhg724]http://youtu.be/dfgeZZhg724[/video]
 
tusi liko wapi hapo wewe??au ufinyu wako wa mawazo ndio unakufanya uone matusi?? Tatizo hutumii akili unatumia mnduku kuwa ndio mana.unajifanya hujui hata mambo ambayo yapo wazi kabisa wewe kweli ni hasara kwa familia na taifa kwa ujumla.
Huna akili kabisa wewe. Umevurugwa mbele na nyuma. Mwehu
 
huyu hapa ukimuona sehemu anaongea na kikundi cha vijana lazima upatwe na wasiwasi kuhusu usalama wa raia kutokana na history iliyoko mahakamani kwa sasa.

kampeni+za+nyumba+kwa+nyumba.j  pg

mh lwakatare akiongea na baadhi ya wananchi jimboni kalenga
makamanda+na+msosi.jpg

kazi ya kishetani na dawa, 'makamanda' wa chadema wakiongozwa na wilfred lwakatare wakipata msosi baada ya kazi nzito ya 'kumpigania' mgombea ubunge wa chadema kalenga

[video=youtube_share;dfgezzhg724]http://youtu.be/dfgezzhg724[/video]

huna lolote mchochezi mkubwa we !
 
Kwa vile MUNGU ni mwema basi bila shaka wabaya wote wataumbuka mchana kweupe !
 
Huyu hapa ukimuona sehemu anaongea na kikundi cha vijana lazima upatwe na wasiwasi kuhusu usalama wa raia kutokana na history iliyoko mahakamani kwa sasa.

Kampeni+za+nyumba+kwa+nyumba.jpg

Mh Lwakatare akiongea na baadhi ya Wananchi Jimboni Kalenga
Makamanda+na+msosi.jpg

Kazi ya kishetani na dawa, 'Makamanda' wa Chadema wakiongozwa na Wilfred Lwakatare wakipata msosi baada ya kazi nzito ya 'kumpigania' mgombea ubunge wa Chadema Kalenga

[video=youtube_share;dfgeZZhg724]http://youtu.be/dfgeZZhg724[/video]
Chadema ni janga la kitaifa
 
Huyu hapa ukimuona sehemu anaongea na kikundi cha vijana lazima upatwe na wasiwasi kuhusu usalama wa raia kutokana na history iliyoko mahakamani kwa sasa.

Kampeni+za+nyumba+kwa+nyumba.j  pg

Mh Lwakatare akiongea na baadhi ya Wananchi Jimboni Kalenga
Makamanda+na+msosi.jpg

Kazi ya kishetani na dawa, 'Makamanda' wa Chadema wakiongozwa na Wilfred Lwakatare wakipata msosi baada ya kazi nzito ya 'kumpigania' mgombea ubunge wa Chadema Kalenga

[video=youtube_share;dfgeZZhg724]http://youtu.be/dfgeZZhg724[/video]

chadema kitengo cha ugaidi wakiongozwa na lwakatare. ben saanane mzee wa sumu, henry kilewo mzee wa tindikali wako kalenga kufanya ugaidi
 
chadema kitengo cha ugaidi wakiongozwa na lwakatare. ben saanane mzee wa sumu, henry kilewo mzee wa tindikali wako kalenga kufanya ugaidi
Watafanya ugaidi wao sana lakini ccm lazima ishinde
 
Naye mgonjwa anakenua nini meno yake,wakomage kushadadia vyama vya mashetani,awalaumu bavicha waliomchoma mwenzao kwa kutaka huruma za wapiga kura daah chadema wana mbinu.
 
Kazi ya kuuwa ya chadema haina makosa, tuwalaani daima
Hivi wewe kwa nini unajidhalilishaga hivi?, unaona kabisa picha hiyo mtu wa CHADEMA kachomwa kisu, wewe umepost nini sasa hii!!??
Usipoandika ujinga huu hautakuwa na maisha, usikubali kudhalilisha utu na utashi wako kwa sababu ya siasa tu hizi, kama alivyoshauriwa mwenziyo@Nyakarungu na @Deus F Mallya​, kuna maisha pia nje ya siasa.
 
Duh. Tumefika hapa kwasabab..........- jj mnyika

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
 
Mtatunga mengi na kupanga njama nyingi ovu ili ku buy sympathy ya watu hamtafanikiwa...

Ila nawaonea huruma wananchi wanaokuwa sehemu ya wahusika wa maigizo yenu maana inawagharimu sana na itawachukua muda kutambua udhalimu wenu...

Ni wakati muafaka kwa watanzania kukaa kando na siasa za CHADEMA maana mipango yao inawagharimu sana wananchi wasio na hatia..

Ipo siku unyama huu utawarudia hata kama watoto wa viongozi wa CDM wamekimbiziwa nje ya nchi..
Duh! Raha iliyoje kuona Li-ccm linalialia namna hii...
 
Mtatunga mengi na kupanga njama nyingi ovu ili ku buy sympathy ya watu hamtafanikiwa...

Ila nawaonea huruma wananchi wanaokuwa sehemu ya wahusika wa maigizo yenu maana inawagharimu sana na itawachukua muda kutambua udhalimu wenu...

Ni wakati muafaka kwa watanzania kukaa kando na siasa za CHADEMA maana mipango yao inawagharimu sana wananchi wasio na hatia..

Ipo siku unyama huu utawarudia hata kama watoto wa viongozi wa CDM wamekimbiziwa nje ya nchi..

Lusungo, mama aluyekuzaa wewe ahesabu ni hasara tu. Ni vile tu hajuoi ujinga wako mitandaoni. Namhurumia.
 
Back
Top Bottom