Mtatunga mengi na kupanga njama nyingi ovu ili ku buy sympathy ya watu hamtafanikiwa...
Ila nawaonea huruma wananchi wanaokuwa sehemu ya wahusika wa maigizo yenu maana inawagharimu sana na itawachukua muda kutambua udhalimu wenu...
Ni wakati muafaka kwa watanzania kukaa kando na siasa za CHADEMA maana mipango yao inawagharimu sana wananchi wasio na hatia..
Ipo siku unyama huu utawarudia hata kama watoto wa viongozi wa CDM wamekimbiziwa nje ya nchi..
Lusungo, mama aluyekuzaa wewe ahesabu ni hasara tu. Ni vile tu hajuoi ujinga wako mitandaoni. Namhurumia.