CCM Waanza Kutekeleza Agizo la JK Kalenga

CCM Waanza Kutekeleza Agizo la JK Kalenga

Baada ya M/Kiti wa CCM Taifa Kuwaagiza WanaCCM wenzake kuwa wasiwe Wanyonge kwenye Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Kalenga, Hatimaye Vijana wa Chama hicho wameanza kuonyesha nguvu na ukatili wao kwa kumchoma kisu cha Mbavu Ndugu Richard ambaye ni M/Kiti wa Tawi la CHADEMA la Kijiji cha Tagamenda siku moja tu baada ya Mama Mzazi wa Kijana huyo ambaye alikuwa Mjumbe wa Serikali ya Kijiji hicho kwa tiketi ya CCM kuamua kuhamia CHADEMA kwa madai ya kuchoshwa na siasa zisizokuwa na mwelekeo za Chama hicho

Tukio hili ni muedelezo wa matukio mengine kadhaa ambayo CCM wamekuwa wakiyafanya kwenye Kampeni hizi ambapo siku mbili zilizopita walimteka Paroko wa Chuo cha mission cha Katoliki kilichopo eneo la Tosamaganga kwa madai kuwa ni MwanaCHADEMA.

HATUTAACHA HALI HII IENDELEE

Pichani ni Daktari akiwa amezamisha kidole chake kwenye jeraha la Ndugu Richard wakati alipokuwa akimsafisha kidonda baada ya tukio hilo.
Chadema ndio mnaotekeleza matukio haya, ndio mnaoratibu, ndio mnaopanga, ndio mnaoongoza, acheni kuuwa watu, acheni kujeruhi watu, mungu anawaona hata pale ambapo binadamu hawaoni. Tusameheni tafadhali...
 
Walaniwe wanaccm wote
Walaaniwe chadema wanaouwa, wanaomwagia watu tindikali, wanaolisha watu sumu, wanaolipua watu kwa mabomu, wanaokata watu kwa mapanga. Walaaniwe chadema wanaochochea vurugu hapa nchini. Watanzania wamezidi kuwajua na kuwafahamu kuwa hawa ni magaidi manyang'au
 
chadema watalipua mabomu kama yale waliyolipua soweto
 
lakini picha inaonyesha jeraha lipo maeneo ya kifuani!! Anyaway, siasa za vurugu ccm na chaedema wote mnahusika.

Sehemu nyingine ukitumia mahaba kujudge objectivity hutoweka. Sasa mbavuni ni wapi kama si kifuani?; Au wewe una mbavu tumboni?
 
unataka uhakika gani tena wewe mnduku?? Kusoma hujui sawa! Imana hata pita tu hujui kutizama''?? Tumia akili basi kutafakari mambo na sio kutumia makota .
Cc.

mods wote - komesheni haya matusi jukwaani.
 
chadema watalipua mabomu kama yale waliyolipua soweto

kwani mwenye kiti wako wa cahama alisha unda tume huru ya majaji ili wapewe ushahidi wa bomu la soweto??? Unafikiri anaogopa nini? Usijitoe ufahamu basi.
 
Hapo kinachotazamwa si ubinadamu tena.......punda afe lkn mzigo ufike........Siasa zetu zimekuwa si za kuvumiliana, ubabe na tambo zisizo na maana ndio vimekuwa muongozo wetu.........wengine wanasema hata mufanyeje madarakani hatutoki na wengine wanasaema kwa gharama yoyote ile mtatoka........hapo kivumbi kwa wasio na hatia.
MUNGU IBARIKI TANZANIA.
 
we jamaa kweli sawa na mavi? Inama chadema siku hizi wana green guard?? Tumia akii basi usijitoe ufaham. Ccm ni wauwaji na mashetan wakubwa na kwa dhambi zenu hata shetani atawakataa.
Utatukana sana lakini chadema ndio wauwaji wakuu, tunaongea haa kwa ushahidi. Chadema ni genge la wamwaga damu ya watz wasio na hatia, ni wahuni na mafia, hayafai ht kidogo
 
haya mambo yana pile-up hasira, siku inakuja inaitwa "kutoka" wanaccm wataomba ardhi ipasuke, pale genge lao litakapokuwa defenceless, wataielewa maana ya wimbo wa downpressor man ulioimbwa na peter tosh.

siku hiyo inakuja.
 
Sehemu nyingine ukitumia mahaba kujudge objectivity hutoweka. Sasa mbavuni ni wapi kama si kifuani?; Au wewe una mbavu tumboni?
Are you serious kifuani ndio mbavuni? sijui hata ulisoma shule za wapi? sio kosa lako bali unafikiria kisiasa siasa tuu.
 
Utatukana sana lakini chadema ndio wauwaji wakuu, tunaongea haa kwa ushahidi. Chadema ni genge la wamwaga damu ya watz wasio na hatia, ni wahuni na mafia, hayafai ht kidogo

ni mekuuliza mwenye kiti wako wa chama aliunda tume huru ya majaji ili apewe ushahidi na mbowe??? Unafikiri kaogopa nini??usijifanye hujui wakati unaelewa kila kitu jinsi gani chama chako ccm kinavyo fanya mauwaji yua raia.ccm ni wauwaji sana tena watesaji wakubwa wa raia.mmemuua mwangosi,mvungi,mmemta ulimboka,kubanda na wengine wengi sana,hadi leo hakuna hata mtu mmoja aliye klamatwa achilia mbali kuhisiwa tuu. Kweli ccm wananuka damu za watanzania wasio hatia.
 
Mwenyewe aliyetoa hilo tamko yupo salama, muda wote amezungukwa na walinzi, hata akitaka kwenda chooni choo kinaangaliwa kama kipo salama. Kwa nini achunge kauli zake? Yeye haimhusu, hata wanaochomwa visu hawamhusu! Kwa nini Rais ajutie kauli zake kuwa mbovu, maana hata akiwa bafuni akijiandaa kwenda airport, barabara zinafungwa ili apite. Yeye ni baba wa familia, ile kauli utekelezaji wake mbovu sana.. Rais wangu upo salama sana, tunakulinda kwa kodi zetu, kwa nini hutaki kuwaweka salama watu wako?
Rekebisha kauli yako mkuu, badala ya kuwaambia CCM wasiwe wanyonge, waambie CDM waache fujo, (kama ni kweli) wahukumu kwa haki, usiwaambie polisi wawashighulikie, iambie sheria ifate mkondo wake! Hii picha inasikitisha sana, kuona matamko ya wakubwa wetu tuliowaamini yanatuathiri sana, mimi MESTOD nalia hapa.
 
Last edited by a moderator:
Are you serious kifuani ndio mbavuni? sijui hata ulisoma shule za wapi? sio kosa lako bali unafikiria kisiasa siasa tuu.


Mkuu wangu Ndibalema, u are better than this, mapenzi yetu kwa vyama yasione maumivu kwa wenzetu hayana maana.
 
Are you serious kifuani ndio mbavuni? sijui hata ulisoma shule za wapi? sio kosa lako bali unafikiria kisiasa siasa tuu.

na wewe usijifanye mjuaji wakati mburura pia, mbavu zimeanzia wapi??wewe ndio mbumbumbu sana sababu kifua kimetokana na muunganiko mbavu.embu rudi darasani form two kaitizane vizuri skeleton halafu urudi na ji hapa.sio kimbelembele wakati na wewe ni ziro brain.
 
Popote atakapoenda Mwigulu mauaji yanatokea,Manina.
 
Back
Top Bottom