CCM waanza kuonja makali ya CHADEMA

CCM waanza kuonja makali ya CHADEMA

Muda si mrefu wataswichi on propesa lupumba au mzee wa paroli ili wakasimamishe miwanasesere yao waweze kututangazia uchaguzi huru na haki bila aibu.
 
Ukizira wenzio wanakula, muda utaotaka kula sababu ya njaa wenzako wameshamaliza msosi.
Hongereni chadema kwa uamuzi wa 'kizalendo'.
Hakuna aliewahi kuziriwa chochote akakifanya kwa furaha na amani kama ambavyo wangefanya pamoja. Huku ni kujifariji tu kwa sauti lakini moyoni kuna sononeko.
 
Hawa cdm wajinga sana, yaan wanafikiri wanacheza na mtu mjingamjinga, let me tell you my friend, mnayehangaika naye ni mwana sayansi mwenye PHD ya sayansi hivyo mjiangalie sana. Maana wengine hata shule hawakwenda wanajua kazi za u DJ tu halafu anataka kufananisha akili na mwanasayansi. Nawambia anawamaliza kisayansi and mtakufa mkiwa mnajiona
Mbona hueleweki unataka kusema nini?
 
CCM ni chama flani hivi cha walafi.
Ni kama chama cha wachumia tumbo flani hivi wasiotosheka wala kushiba, wanatamani wagawane hii nchi kila mtu aondoke na kipande chake wengine tufiembali. Wanaongozwa na maslahi binafsi hakuna uzalendo.
Ifike mahali wanachi tusipige kura kbs ili wasipate tabu wao na polisi wao kujitangazia watawala wa mkono wa chuma.
 
Bwana mdogo tindo ccm si chama ahadi tena ni chama cha utekelezaji ndio maana 75 asilimia yaliyoahidiwa kwenye ilani yameanza kufanywa!

Huo ni wajibu kwani ndio inakusanya kodi, hata ingepeleka vyombo anga za juu, hakina uhalali wa kuvuruga demokrasia. Inachokifanya ccm sasa hivi kutekeleza hayo iliyoahidi ni huu uwepo wa demokrasia. Sasa inapotokea mtu mmoja kwa udhaifu wake wa kushindwa siasa za ushindani atake kuharibu demokrasia yetu hatutokaa kimya hata asambaze mabomba ya maziwa kila nyumba. Hakuna popote panapohalalisha miradi ya fedha za mikopo igeuke kuwa kaburi la demokrasia yetu. Hiyo ccm itekeleze wajibu wake ilioomba, na iache demokrasia itamalaki kwani kipendacho roho hula nyama mbichi, hupendwi hupendwi tu, usilazimishe kwani maendeleo yanaweza kuletwa na chama chochote.
 
Umesahau na gharama za ununuzi ili waunge mkono
Chombo kilikuwa kimebeba watu 400 wakati kina uwezo wa kubeba watu 100.Inaonejana idadi ya watu ni kubwa sana kuliko namba ya vyombo vilivyopo.
Gharama ya chaguzi za marudio ni takribani bilioni 10.Tungeweza kununua ferry ngapi?
 
Hao hakuna asiye wajua hivyo haitakuwa na madhara yoyote maana ni wana ccm tu hao
Muda si mrefu wataswichi on propesa lupumba au mzee wa paroli ili wakasimamishe miwanasesere yao waweze kututangazia u haguzi huru na haki bila aibu.
 
Kweli kabisa mkuu
Hakuna aliewahi kuziriwa chochote akakifanya kwa furaha na amani kama ambavyo wangefanya pamoja. Huku ni kujifariji tu kwa sauti lakini moyoni kuna sononeko.
 
Hiyo haipo mbali
Ni kama chama cha wachumia tumbo flani hivi wasiotosheka wala kushiba, wanatamani wagawane hii nchi kila mtu aondoke na kipande chake wengine tufiembali. Wanaongozwa na maslahi binafsi hakuna uzalendo.
Ifike mahali wanachi tusipige kura kbs ili wasipate tabu wao na polisi wao kujitangazia watawala wa mkono wa chuma.
 
Ubarikiwe sana mkuu

Back
Top Bottom