Ili mkajengee stadium chato baada ya kuwawekea punda traffic lights si eti?Na ruzuku pia msusie mapaka shume nyie!
Mwaka wa tatu unaisha bado mnakomaa "mtanyooka" navyoona nyie ndiyo mnanyooka. Itafika hadi 2020 bado mnakomaa "mtanyooka"Hapo joto ya jiwe ipi sasa wakati udiwani wanachukua? Mtanyooka tu awamu hii...
Huoni ndg zako mpaka wamesusia chaguzi ndiyo kunyooka huko!!Mwaka wa tatu unaisha bado mnakomaa "mtanyooka" navyoona nyie ndiyo mnanyooka. Itafika hadi 2020 bado mnakomaa "mtanyooka"
Demokrasia bado inasema wananchi wanaopiga kura ndio wanasimamisha serikali, so labda huu mgomo unaelekea kuupa ushindi wa 100% CCM hapo 2020Hayo ni mawazo ya walio changanyikiwa na wanao jidanganya kuwa wanapendwa na kwa taarifa yako cdm inapendwa na mamilioni ya watanzania na huo uamuzi ni wa wananchi
Akili ya mtu upimwa kwa kauli zake kama hii ya kwako inaonyesha mambo ya siasa yamekupitia kushotoChadema wakisusia uchaguzi bado kuna vyama vingine vya upinzani vitasimamisha wagombea nao watapata kura km asilimia 2 hivi ya kura zote zilizopigwa, na Chadema hata wasiposimamisha kiongozi wao sio lazima maana watakao orodheshwa kwenye karatasi ya kuchagua viongozi hawatakwepo tu, haitasababisha kitu chochote, otherwise iwe declared kuwa uchaguzi hautaendelea hadi vyama vyote visimamishe viongozi
Wewe mwenye Phd ya siasa hujaielewa bado maana ya demokrasia, nipe kipengele kinachoelezea chama kikisusa uchaguzi basi utaahirishwa, ile juzi balozi wa marekani alitia mdomo kuhusu uchaguzi mkasikia kilichotokea, sasa susieni uchaguzi mle ruzuku zenu fresh hamna kitakachobadilika kwa taifa hili, maana utawala utaingia madarakani na kesho yake watu wanarudi kazini. Mnakuwa km Marehem Mch. MtikilaAkili ya mtu upimwa kwa kauli zake kama hii ya kwako inaonyesha mambo ya siasa yamekupitia kushoto
Wewe mwenye Phd ya siasa hujaielewa bado maana ya demokrasia, nipe kipengele kinachoelezea chama kikisusa uchaguzi basi utaahirishwa, ile juzi balozi wa marekani alitia mdomo kuhusu uchaguzi mkasikia kilichotokea, sasa susieni uchaguzi mle ruzuku zenu fresh hamna kitakachobadilika kwa taifa hili, maana utawala utaingia madarakani na kesho yake watu wanarudi kazini. Mnakuwa km Marehem Mch. Mtikila
Uwanjani mtu hupewa point tatu bila jasho.Hakuna aliewahi kuziriwa chochote akakifanya kwa furaha na amani kama ambavyo wangefanya pamoja. Huku ni kujifariji tu kwa sauti lakini moyoni kuna sononeko.
Kama CUF walivyozira Zenji. Nitaelewa tu.Utaelewa tu