CCM waanza kuiga kudeki barabara!

CCM waanza kuiga kudeki barabara!

rosemarie

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2011
Posts
6,887
Reaction score
3,439
Waliiga mafuriko, tukawaacha.wakaiga sera za mabadilikotukawaacha. Wakaiga nembo! Logo ya M4C tukakausha sasa wameiga kudeki barabara! Unajuakinachofuata!? Ni kumtia mgombea wao ili afanane na Lowassa hahaaaahahaaaaaaaa!

12079213_903754269714183_6681523018257759372_n.jpg
 
Uzuri ni kwamba wao wanatuangalis ila sisi hatuwaangalii
ndio maana hatuna cha kuwaiga
teh teh teh

hapa nimeshika bendera ya chadema nazurura nayo huku ikipepea tu maisha ndio haya sasa je...
 
waliiga mafuriko, tukawaacha.
wakaiga sera za mabadiliko
tukawaacha. Wakaiga nembo! Logo
ya m4c tukakausha sasa wameiga
kudeki barabara! Unajua
kinachofuata!!!? .......ni kumtia
mgombea wao mvi ili afanane na
lowassa hahaaaahahaaaaaaaa!

View attachment 299790

Nadhani kitakachofata wataiga kwa kumpigia kura Lowasa/ukawa hapo 25 October
 
Nadhani kitakachofata wataiga kwa kumpigia kura Lowasa/ukawa hapo 25 October

hahaha phenotipically wao ni ccm wazee wa kupaste ila kuratipically izo zote ni kura za LOWASSA
 
Wataiga vyoote ila sitarajii polisi kuwachukulia hatua kama wanachadema waliodeki barabara Musoma!
 
Sikutegemea kabisa MTU kama Ole Sendeka ANGEKURUPUKA KAMA MAGUFULI kuwa eti Vijana Wa musoma walideki Barabara walilipwa Na Lowassa kwa kuwa no Masikini.Kwanza Ole Sendeka ulipaswa ujue UMASIKINI WA WATANZANIA NI UONGOZI MBOVU WA CCM KWA MIAKA 38 UONGOZI ULIOJAA RUSHWA NA UFISADI WA KUTISHA.Haya tueleze hao vijana wenye T'shit za NJANO in Matajiri? Na WAMELIPWA NA LOWASSA? Mkuu acha KUROPOKA hao nao ni MASIKINI WEWE NA CCM YAKO NDIO MMEWATIA UMASIKINI
 
That is it!!!
 
Hawawezi vichwa vikubwa ubongo kidogo ubunifu sio mchezo wao wameacha make bado wanamwonea wivu wanachekesha CCM escrow
 
maccm sio mabunifu kabisa yanaiga ukawa loooo aibu kweliiiiii
 
hahahahaha hahahaha lol kazi wanayo hawa fisiem
 
Wanajitesa tu watu watano kudeki barabara wakati wana UKAWA huwa wanakuwa 5,000.

Sisi wengine hatushangai wakiiga kudeki barabara wakati Ilani ya CCM ya 2015 ni copy abd paste ya Ilani ya Chadema 2010. Waige ilani waache kuiga deki
 
Back
Top Bottom