Wapii ole sendeka
Waliiga mafuriko, tukawaacha.wakaiga sera za mabadilikotukawaacha. Wakaiga nembo! Logo ya M4C tukakausha sasa wameiga kudeki barabara! Unajuakinachofuata!? Ni kumtia mgombea wao ili afanane na Lowassa hahaaaahahaaaaaaaa!
View attachment 299790
Naichukia ccm kwa dhati. Sendeka linafiki. Wao wanaiga kila kitu. Magufuli anadesa sana nina wasi wasi na hizo degree zake.Siku chache zilizopita, katika mkutano wake mmoja kanda ya Ziwa, mgombea mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, mama Samia Suluhu alisema, "Ni utumwa kupiga deki barabara ili mtu apite, CCM sisi ni watumishi wenu, hatuko tayari kuona watu wakipiga deki barabara, ili tupite." Kumbe ilikuwa maneno ya sungura, "zabibu mbichi", kwa sababu ameshindwa kuzipata! Mama Samia, na hawa watu wenu wa CCM wanaodeki hapa, ni watumwa? Na wale mliowasimamia kudeki barabara za Dar ili Obama apite, nao walikuwa watumwa????? Matusi yenu yatawagharimu 25.10.15!
Waliiga mafuriko, tukawaacha.wakaiga sera za mabadilikotukawaacha. Wakaiga nembo! Logo ya M4C tukakausha sasa wameiga kudeki barabara! Unajuakinachofuata!? Ni kumtia mgombea wao ili afanane na Lowassa hahaaaahahaaaaaaaa!
View attachment 299790
maccm sio mabunifu kabisa yanaiga ukawa loooo aibu kweliiiiii