CCM waanza kuiga kudeki barabara!

CCM waanza kuiga kudeki barabara!

Naichukia ccm kwa dhati. Sendeka linafiki. Wao wanaiga kila kitu. Magufuli anadesa sana nina wasi wasi na hizo degree zake.

Ole Sendeke got Div 0.... PCB 1987..


Ole Sendeka scored Div.. 0

comb...PCB... Msamehe bureeee...!!!

CCM many have Div... 0
 
Yule ocd mjinga aliyewashika vijana wa chadema mara kisa deki mwambie aende na hapo mwanza
 
Chama cha mapoyoyo yameiga hadi kutundika bendera barabarani
 
Ha ha ha!!! Wataiga kila kitu!!!! Hawana jipya. CCM ni ile ile na mambo yale yale!!!!
Waliiga mafuriko, tukawaacha.wakaiga sera za mabadilikotukawaacha. Wakaiga nembo! Logo ya M4C tukakausha sasa wameiga kudeki barabara! Unajuakinachofuata!? Ni kumtia mgombea wao ili afanane na Lowassa hahaaaahahaaaaaaaa!

View attachment 299790
 
Kila siku napata sababu nyingine ya kutoipigia kura ccm.
 
Back
Top Bottom