CCM waanza kuchapana

CCM waanza kuchapana

Astahili yake huyo Mbaraka Shamte, Mungu hulipa hapahapa duniani. Katukana watu sana huyo mshenzi. Alifika hadi kumtukana baba yake Mzee Mohammed Shamte ( Waziri Mkuu wa kwanza wa Zanzibar) kwa ajili shilingi mbili anazogaiwa na CCM.
Malipo hapahapa duniani akhera kuna hesabu tu.
Kapigisha watu sana bakora. Fitna mkubwa huyo.
Kibao kimemgeuka. Mwache avune alichokipanda.
 
Kada wa CCM maarufu visiwani Zanzibar baada ya clip yake akimpa za uso Mwehishimiwa wa Uchumi wa Blue hivi karibuni, Inasemakana kuwa majuzi alitekwa na watu wasio juulikana, na hivi sasa yupo Hospitali kaiwa na hali mbaya sana baada ya kipigo kizito.

DOA lililomchafua yule wa huku ndo hlo linamchafua wa Uchumi wa bluu, kuuza Mali ya urithi wa umma, Ndo asahau kuja huku kama walivoanza kumtabiria. Amen
 
Huwezi kuropokaropoka tu hovyo ukaachiwa,lazima watakuonesha tofauti ya wewe na wao

Ndiyo dictatorship yenyewe hiyo. Huyo mzee ameeleza tu kutokuridhika kwake na uongozi wa Rais wake. Ni haki yake; hajatukana mtu yeyote. Vyama vya siasa inabidi viache huo upumbavu uliopitwa na muda!

Mbona viongozi wa mataifa makubwa na yenye nguvu wanasemwa na wanachama wa vyama vyao kila uchao, lakini wanachama hawafukuzwi chama? Juzi juzi hukuona Boris Johnson amekuwa subjected to vote of no confidence na wabunge wa chama chake mwenyewe?
 
Mzee amenikumbusha enzi zile, Liss, NYIKA na mdee walitosha kudrive Bunge Zima.

Nchi Ili itoke hapa ilipo wanahtajika watu kama 20 tu wa aina ya Mzee huyo.

Pia yanazidi kutimia maneno ya mwl Nyerere kuwa: UPINZANI wa KWELI utatoka ndani ya CCM. Amen
Ndugu Rabbon ,sisi tunaoishi Dodoma na kuwa karibu na hawa jamaa wa CCM, ukiwa nao kijamaa wanaonyesha kabisa kuchoshwa na nchi inavyoendeshwa,tatizo linakuja ni nani wa kuwasha kiberiti na kutupia njiti kwenye petroli!!?
Amin amin nakwambia andunje wa kule kwenye karanga alikuwa na wengi waliokuwa wanamuunga mkono kimyakimya,sema kwa kile kilichotokea ikabidi wawe wapole.
Hakika downfall ya CCM ipo karibu sana kuliko watu wanavyofikiria.
 
Back
Top Bottom