CCM waanza kuchapana

CCM waanza kuchapana

Kada wa CCM maarufu visiwani Zanzibar baada ya clip yake akimpa za uso Mwehishimiwa wa Uchumi wa Blue hivi karibuni, Inasemakana kuwa majuzi alitekwa na watu wasio juulikana, na hivi sasa yupo Hospitali kaiwa na hali mbaya sana baada ya kipigo kizito.

Kifo Cha MWENYE HAKI mmoja kina thamani kuliko miaka 100 ya MWOVU na MWOGA. Amen
 
Ndugu Rabbon ,sisi tunaoishi Dodoma na kuwa karibu na hawa jamaa wa CCM, ukiwa nao kijamaa wanaonyesha kabisa kuchoshwa na nchi inavyoendeshwa,tatizo linakuja ni nani wa kuwasha kiberiti na kutupia njiti kwenye petroli!!?
Amin amin nakwambia andunje wa kule kwenye karanga alikuwa na wengi waliokuwa wanamuunga mkono kimyakimya,sema kwa kile kilichotokea ikabidi wawe wapole.
Hakika downfall ya CCM ipo karibu sana kuliko watu wanavyofikiria.
Makundi hayo hayajaisha, ilionekana ktk maono, hao wanaowekwa pembeni ghafula wanajikusanya Kwa siri.

Ni maombi yangu mwisho wa KIJANI usigharimu maisha ya wasio hatia.

Mwisho umefika, Mimi nimeiuona. It's a dream come true. Amen
 
Ndiyo dictatorship yenyewe hiyo. Huyo mzee ameeleza tu kutokuridhika kwake na uongozi wa Rais wake. Ni haki yake; hajatukana mtu yeyote. Vyama vya siasa inabidi viache huo upumbavu uliopitwa na muda!

Mbona viongozi wa mataifa makubwa na yenye nguvu wanasemwa na wanachama wa vyama vyao kila uchao, lakini wanachama hawafukuzwi chama? Juzi juzi hukuona Boris Johnson amekuwa subjected to vote of no confidence na wabunge wa chama chake mwenyewe?
Hii Tanzania,acha kuleta uzungu
 
Hata hapo Kenya tu, angalau uhuru wa kutoa maoni upo
 
Kada wa CCM maarufu visiwani Zanzibar baada ya clip yake akimpa za uso Mwehishimiwa wa Uchumi wa Blue hivi karibuni, Inasemakana kuwa majuzi alitekwa na watu wasio juulikana, na hivi sasa yupo Hospitali kaiwa na hali mbaya sana baada ya kipigo kizito.

Mzee alikuwa na hoja lakini wamemfanyia uhuni walipaswa kumjibu kwa hoja
 
Kada wa CCM maarufu visiwani Zanzibar baada ya clip yake akimpa za uso Mwehishimiwa wa Uchumi wa Blue hivi karibuni, Inasemakana kuwa majuzi alitekwa na watu wasio juulikana, na hivi sasa yupo Hospitali kaiwa na hali mbaya sana baada ya kipigo kizito.

miaka mitano iishe tu tuweke mtu mwingine.....Huyu Baraka 🙌🙌🙌
 
7 April 2019

Azam TV imetembelea eneo ambalo Karume aliuawa kwa kupigwa risasi, sikiliza simulizi ya mzee Baraka Shamte akielezea kilichotokea siku hiyo
 
KADA WA CCM UNGUJA ATEKWA, APEWA KIPIGO BAADA YA KUTOA KAULI ZA UCHOCHEZI, POLISI WATOA TAMKO..

Baraka Shamte ambaye alishutumiwa kwa kosa la kutoa lugha ya kichochezi kwa viongozi wa serikali ya Zanzibar, amepigwa na watu wasiojulikana, ambapo jeshi la polisi Zanzibar limetoa taarifa hiyo.
 
Kada wa CCM maarufu visiwani Zanzibar baada ya clip yake akimpa za uso Mwehishimiwa wa Uchumi wa Blue hivi karibuni, Inasemakana kuwa majuzi alitekwa na watu wasio juulikana, na hivi sasa yupo Hospitali kaiwa na hali mbaya sana baada ya kipigo kizito.

Mzee amesema kitu ambacho wanancji wanajua.
Hata kama wamenyamaza
 
Hii Tanzania,acha kuleta uzungu

That’s utter nonsense!

Mbona mkiambiwa na hao wazungu mrudishe shule watoto wanaopata mimba shuleni hamuoni kama huo ni uzungu? Mnauacha utamaduni wenu simply kwasababu mnaogopa kunyimwa pesa? FYI, wazungu wenyewe huko kwao hata hawana wanafunzi shuleni wanaonyenyesha!
 
7 October 2020

BARAKA SHAMTE AMJIA JUU MAALIM SEIF "MNAOGOPA KURA YA MAPEMA HIO DEMOKRASIA".

Let them kill each other, after all they are animals
FB_IMG_1570958487510.jpg
IMG-20191216-WA0001.jpg

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
CCM waanza kuchapana visiwani, soon kasheshe hili litahamia Bara​

Nadhani tujifunze kusikiliza...Mie kwa mtizamo wangu huyu anasema vitu vinabyohitaji uchunguzi kwakua ametoa tuhuma, ila kwakua viongozi wetu hawakuzoea kuwa questioned basi ata fall victim.

Kwa dhati ya moyo wangu nampenda sana Mh. Mwinyi, ila kama hili linamhusu basi ili kujisafisha katika hili badala ya kufukuzana angeonyesha utawala bora kwakuruhusu uchunguzi ufanyike na results ziwekwe public. Hili haliwezi kuisha litam haunt maisha yake yote.
 
Freedom of speech ya kumtukana Rais? Mzee kaharibu historia na heshima yake uzeeni kabisa. Amefanya jambo la kusikitisha sana.
Sidhani kama kamtukana, kamtuhumu, tutofautishe tuhuma na matusi. Watu kama ninyi ndiyo mnaharibu hatima za viongozi wetu. Hapa akikubali uchunguzi ufanywe nakisha akiwa hana hatia basi huyu baba atafunguliwa kesi ya defamation na huu ndiyo utawala bora. Lakini aki resort kwenye kunyamazisha na ku intimidate, basi itaonekana kuwa kuna kitu anaki cover ambacho kina uhalisia...This is a dot/ taint kwenye utawala wake na inaondoa imani kwa mtu kama mimi ambaye nina trust kubwa kwake
 
Back
Top Bottom