Nicholas
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 25,260
- 7,195
Wana wa Israeli km wangeamabiwa warudi ktk nchi yao wasingekubali,kwa jinsi walivyokuwa wamejenga nchi za wengine.Kwa jinsi walivyo kuwa wamejijenga,na kusitawi ugenini kuliko hata nyumba.BIla kujua mafanikio yao hayakuwapendeza wenyeji wao duniani kote.Mbaya hata ktk nchi yao ya asili Israel walishagawana manyang`au wakiapa kuwa kuliko wenye nchi warusi ni bora owte wafe.
Chuki hiyo hiyo iliyokuwa mbaya ndiyo ilisaidia sana kuunda taifa la kiyahudi Lililopewa jina Mungu tangu kale Israeli.Chuki hiyo inakuwa haraka sana Tanzania.Ikiwa imepewa jina la wakaskazini(Huku ujumbe ukiwa wachaga) tayari limeshakuwa jambo la kawaida sana kwa watawala.Limekuwa jambo la kawaida sana kwa CCM na hara haraka sana CCM wameamua chukua km lulu yao ktk kujihakikishia ushindi.Kwa bahati mbaya sana hili ndilo Jambo baya zaidi (CHUKI kuu), chuki inayopelekea wachaga kuwabaguliwa vibaya ,na kukos aulinzi popote nchini kwa kiasi cha kufikishia wafanyie walioyofanyiwa wayahudi, na mwisho Taifa la kichaga litaibuka.
Kwa anayebisha hili basi atazame Zenj,Zenji si nchi salama sana kwa Watanganyika,ccm wanawaita waTanzania Bara.
Hii thread itaprove kuwa real hata km itaondolewa..tayari chuki dhidi ya wachaga ni kubwa sana,sasa inatosha kabisa kuwashtua wachaga kuwa wasiwekeze tena maliz a kudumu ktk mikoa fulani fulani.Kuna mikoa nasikia imefikia mahali pa ,kuloga wachaga ili wafe kuliko kuondosha mali waliyochuma.Yote ni yote chuki hii inakimbiza sana upepo na uhitaji wa wachaga uhitaji nchi watakayoiita home.Na wote wenye chuki soon waje kujionea mafanikio,waje umizwa na roho zao