CCM:Ukabila dhidi ya Kaskazini(wachaga) km NAZI dhidi ya wayahudi,unaharakisha Israel yao

Status
Not open for further replies.

Nicholas

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
25,261
7,195
Wana wa Israeli km wangeamabiwa warudi ktk nchi yao wasingekubali,kwa jinsi walivyokuwa wamejenga nchi za wengine.Kwa jinsi walivyo kuwa wamejijenga,na kusitawi ugenini kuliko hata nyumba.BIla kujua mafanikio yao hayakuwapendeza wenyeji wao duniani kote.Mbaya hata ktk nchi yao ya asili Israel walishagawana manyang`au wakiapa kuwa kuliko wenye nchi warusi ni bora owte wafe.

Chuki hiyo hiyo iliyokuwa mbaya ndiyo ilisaidia sana kuunda taifa la kiyahudi Lililopewa jina Mungu tangu kale Israeli.Chuki hiyo inakuwa haraka sana Tanzania.Ikiwa imepewa jina la wakaskazini(Huku ujumbe ukiwa wachaga) tayari limeshakuwa jambo la kawaida sana kwa watawala.Limekuwa jambo la kawaida sana kwa CCM na hara haraka sana CCM wameamua chukua km lulu yao ktk kujihakikishia ushindi.Kwa bahati mbaya sana hili ndilo Jambo baya zaidi (CHUKI kuu), chuki inayopelekea wachaga kuwabaguliwa vibaya ,na kukos aulinzi popote nchini kwa kiasi cha kufikishia wafanyie walioyofanyiwa wayahudi, na mwisho Taifa la kichaga litaibuka.

Kwa anayebisha hili basi atazame Zenj,Zenji si nchi salama sana kwa Watanganyika,ccm wanawaita waTanzania Bara.

Hii thread itaprove kuwa real hata km itaondolewa..tayari chuki dhidi ya wachaga ni kubwa sana,sasa inatosha kabisa kuwashtua wachaga kuwa wasiwekeze tena maliz a kudumu ktk mikoa fulani fulani.Kuna mikoa nasikia imefikia mahali pa ,kuloga wachaga ili wafe kuliko kuondosha mali waliyochuma.Yote ni yote chuki hii inakimbiza sana upepo na uhitaji wa wachaga uhitaji nchi watakayoiita home.Na wote wenye chuki soon waje kujionea mafanikio,waje umizwa na roho zao
 
wewe kilaza utakufa na roho yako mbaya kama shetani.Mbona wewe mada zako nyingi huwa hazitoki hivihivi bila kutaja uchaga? Huwezi pigana na watz wote tunakuangalia tu
 
wewe ni piritoni au pilitoni?Km vitu vidogo km hivi huwezi tofautisha utaweza tofautisha ujinga wenu na hatari.

Hembu changia hoja ...mbuzi wangu nyumbani anajua fungua banda ,wewe hapa huwezi changia kitu ulichokisoma.
Israeli iliharakishwa kirahisi kwa chuki za dunia, wachaga watakuwa na nchi yao kwa chukiz enu wehu nyie.Km inakutisha sana kakojoe ulale au pigiza kichwa ardhini
 
Headlines za SA...Nswilo Swai Mpigania Ukombozi... Huku Rais hatoki Kaskazini! Wale wote wenye kuendeleza ubaguzi hawana budi kurudi nyuma na kusoma historia ya Mkuu wa TIS Imran Kombe...Jiulizeni baada ya kifo cha Kombe nini kimetokea kwa Tanzania na Kitengo kile ambacho kilikuwa mhimili wa Taifa letu...
 
Wacha waendekeze hizi chuki halafu siku atokee shujaa mmoja km BEN GURION alipotangaza taifa la Israeli.Kaskazini hawafundishwi huu ujinga na wanakatazwa majungu , wanaambia wakati wengine wanapika majungu yatakayowaweka busy baadaye kupigana n akusuluhishana, wengine washike jembe na kwenda lima, wakatiw engine wanaamua ugomvi wewe utakuwa unavuna.Wakati wanalia njaa wewe unawageuza soko la bidhaa.
 
huu ndio ukweli unaopingwa kwa nguvu zote na CCM!!

''Time Will Tell''
 
Kwanza Tz hii hakuna kabila lililojijenga kwao kama wachaga hata hawa kenge maji wakipiga mayowe yao ni kuwaangalia tu kwani wanatupunguzia nini? Maana siku hizi hata ile sifa ya wahehe wameihamishia klm kila mtu akijiua au akiua utasikia oooh atakua mchaga tu huyo yaani watu mapimbi
 
Nawashauri ccm kuachana na propaganda hii maana Kanda ya kaskazini ni kubwa kuliko nchi ya Rwanda na hivyo inaweza kutupelekea kuanza harakati za kutafuta UHURU wa Kaskazini kama alivyofanya Mangi Mareale na yule mzee wa Kimeru ambaye nimemsahau jina ambaye aliwachangisha wananchi ili apate nauli ya kwenda umoja wa mataifa kudai Uhuru wa Meru.

Sasa ccm nawasihi msitufikishe huko.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
NUkuu za CCM, hila na wizi wanaoufanya ktk miradi mkoani Kilimanjaro, Wanaiba kilimanjaro ni watu wa mikoa mingine waliopelekwa kwa mpango maalumu unaendeshwa ktk CCM.Mikutano ya siri mikoani, na nafsi ktk idara za serikali, idadi ndogo iliyokuwa ikichaguliwa mkoani kilimanjaro pamoja na juhudi zao z akujenga shule na taasisi nyingine ambazo zilibeba bhata wasio wa mkoa huo.NI wazi kuwa CCM wapo tayari kuwapunja wachaga hata kwa kile ambachoni mali ya wachaga.

Thanx God.wazee wetu waliona hilo wakajenga shule zao mapema,bila hivyo wangerudishwa karen nyingi sana nyuma.Sasa wapambane na Mengi wakati wengine ktk mikoa mingine wakiibuka km uyoga.

Very soon patakuwa na ushihidi usiopingika wa kuwapatia nchi yao,wakiwakaribisha Tanga ili pawe na bandari na Arusha inatosha kabisa kuwa nchi iliyofanikiwa sana ktk miaka michache.

Ni vita ndogo sana inahitajika kwa hawa wabaguzi kuungana dhini ya wachaga na dunia kulazimisha nchi kugawanwa...niliwahi sikia watu kadhaa wa pwani Arusha Moshi, wakijisifu kuwa wameenda kule ili kujiandaa pambana na wachaga.NIlimwambia kirahisi tuu, wakati mnadhani mtapambana na wachaga.wajue nao wananunua sana maendeo ya Tanga kwa kiasi cha kuzi vita kule kule handeni, na lushoto.
 
Status
Not open for further replies.
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom