mito
JF-Expert Member
- Jun 20, 2011
- 10,811
- 11,028
Lowassa anakiuka taratibu kwani kinachoonekana ameamua kwenda na vyote wadhamini na kampeini ...two in 1
Mkuu anatisha ccm eti iogope kukata jina lake kuhofia eti anaondoka na wafuasi maandazi wake
Lowassa anakiuka taratibu kwani kinachoonekana ameamua kwenda na vyote wadhamini na kampeini ...two in 1
Lowassa anakiuka taratibu kwani kinachoonekana ameamua kwenda na vyote wadhamini na kampeini ...two in 1
Mkuu, ishara zote kuhusu maonyo ya Mwalimu kwa wale wanaokimbilia Ikulu ziko wazi lakini watanzania hawaoni, hawasikii, ni mafuriko tu!Lowassa anakiuka taratibu kwani kinachoonekana ameamua kwenda na vyote wadhamini na kampeini ...two in 1
na ndicho hicho kitu au hivyo vitu vitakavyomfanya awe disqualified na ninachowaombeni wote mnaomshabikia na yeye mwenyewe pia ni kwamba mjiandae kisaikolojia vinginevyo tarehe 12 july 2015 tutegemee msiba mkubwa na mzito tena nchini tanzania kwani nina hakika bp au presha ya mshtuko itaondoka na mtu anayependwa kwa kuwahonga watanzania pesa alizowaibia kifisadi ndani ya miaka 6 ya uwepo wa kampuni yake ya umeme huku yeye binafsi akiweka kibindoni tsh milioni 153 kwa siku. piga hiyo hela mara miezi 72. kwa hiyo pesa kwanini asipande private jet huku akiwanunua vijana na viongozi wapuuzi wenye njaa huku akivitumia vyombo vya habari kwa kuwanunua wahariri kusudi apate coverage kila siku? rais wetu ni kati ya professor sospeter muhongo au dr. john magufuli mtake msitake huku makamu wao akiwa ni makongoro nyerere ili kukomba kura nyingi kupitia jina la hayati baba yake na ndiyo maana hata jaji augustino ramadhan ilikuwa na yeye achukue form ila ameambiwa auchune kwa faida ya chama. yoyote kati ya hao wawili niliowatajwa hapo akipitishwa basi mgombea mwenza wake lazima awe makongoro na atakayebakia ndiyo atakuwa waziri mkuu. nayasadiki maneno yangu haya kwenu wote nikiwa na uhakika wa 100% wa nilichokiandika hapa na mwezi ujao tarehe 12 tutaheshimiana na naomba tu tusije tukakimbiana humu.
Maneno mengi unaandika ujinga wala haujui mgombea mwenza lazima atoke upande wa pili wa jamhuri ya muungano na kwa akili yako kweli magufuli na muhongo wapewe nchi we kweli chizi mambo yote ukawana ndicho hicho kitu au hivyo vitu vitakavyomfanya awe disqualified na ninachowaombeni wote mnaomshabikia na yeye mwenyewe pia ni kwamba mjiandae kisaikolojia vinginevyo tarehe 12 july 2015 tutegemee msiba mkubwa na mzito tena nchini tanzania kwani nina hakika bp au presha ya mshtuko itaondoka na mtu anayependwa kwa kuwahonga watanzania pesa alizowaibia kifisadi ndani ya miaka 6 ya uwepo wa kampuni yake ya umeme huku yeye binafsi akiweka kibindoni tsh milioni 153 kwa siku. piga hiyo hela mara miezi 72. kwa hiyo pesa kwanini asipande private jet huku akiwanunua vijana na viongozi wapuuzi wenye njaa huku akivitumia vyombo vya habari kwa kuwanunua wahariri kusudi apate coverage kila siku? rais wetu ni kati ya professor sospeter muhongo au dr. john magufuli mtake msitake huku makamu wao akiwa ni makongoro nyerere ili kukomba kura nyingi kupitia jina la hayati baba yake na ndiyo maana hata jaji augustino ramadhan ilikuwa na yeye achukue form ila ameambiwa auchune kwa faida ya chama. yoyote kati ya hao wawili niliowatajwa hapo akipitishwa basi mgombea mwenza wake lazima awe makongoro na atakayebakia ndiyo atakuwa waziri mkuu. nayasadiki maneno yangu haya kwenu wote nikiwa na uhakika wa 100% wa nilichokiandika hapa na mwezi ujao tarehe 12 tutaheshimiana na naomba tu tusije tukakimbiana humu.
punguzeni porojo...jaji ramadhani kachukua fomu ati...ila kidogo una mawazo mazuri maana ni kheri ya wote kuliko Lowasa.na ndicho hicho kitu au hivyo vitu vitakavyomfanya awe disqualified na ninachowaombeni wote mnaomshabikia na yeye mwenyewe pia ni kwamba mjiandae kisaikolojia vinginevyo tarehe 12 july 2015 tutegemee msiba mkubwa na mzito tena nchini tanzania kwani nina hakika bp au presha ya mshtuko itaondoka na mtu anayependwa kwa kuwahonga watanzania pesa alizowaibia kifisadi ndani ya miaka 6 ya uwepo wa kampuni yake ya umeme huku yeye binafsi akiweka kibindoni tsh milioni 153 kwa siku. piga hiyo hela mara miezi 72. kwa hiyo pesa kwanini asipande private jet huku akiwanunua vijana na viongozi wapuuzi wenye njaa huku akivitumia vyombo vya habari kwa kuwanunua wahariri kusudi apate coverage kila siku? rais wetu ni kati ya professor sospeter muhongo au dr. john magufuli mtake msitake huku makamu wao akiwa ni makongoro nyerere ili kukomba kura nyingi kupitia jina la hayati baba yake na ndiyo maana hata jaji augustino ramadhan ilikuwa na yeye achukue form ila ameambiwa auchune kwa faida ya chama. yoyote kati ya hao wawili niliowatajwa hapo akipitishwa basi mgombea mwenza wake lazima awe makongoro na atakayebakia ndiyo atakuwa waziri mkuu. nayasadiki maneno yangu haya kwenu wote nikiwa na uhakika wa 100% wa nilichokiandika hapa na mwezi ujao tarehe 12 tutaheshimiana na naomba tu tusije tukakimbiana humu.
Acha uduanzi wewe. Hayo ni maoni yako tuoega2010 wadhamini wote hao ndio wapiga kura wa oktoba 2015 na ili mtia nia uwe na uhakika na safai yako ni busara ujue kila mkoa unaungwa mkono kiasi gani na saini zote zinapokelewa ccm ili mradi zisipungue 450 hizo za ziada zinaongeza CV ya mgombea jinsi anavyokubalika na zinatoa idadi ya kura tarajiwa....amka acha uzuzu