CCM: Tunahitaji wadhamini 450 tu

CCM: Tunahitaji wadhamini 450 tu

Sasa kama mgombea anaweza kuonesha kwamba anakubalika na wadhamini wengi zaidi, kwa nini kumzuia?

Kwa nininCCM inaqeka kikomo cha wadhamini? Kwa nini haikusema inataka angalau wafhamininkadhaa lakininisiweke kiwango cha juu?

Inaogopa kuanzisha a tangible opinion poll?

Kwa nini CCM inaogopa sauti za watu?

Kwa sababu inataka kuwachagulia wananchi rais badala ya wananchi kuchagua rais wao?

Fuata kanuni. umeambiwa jibu maswali matano wewe kwa kujifanya wajua unajibu maswali kumi.ujuha.
 
  • Thanks
Reactions: DSN
Fuata kanuni. umeambiwa jibu maswali matano wewe kwa kujifanya wajua unajibu maswali kumi.ujuha.

Kanuni ipo ili litumikia watu, watu hawapo kuotumikia kanuni.

Kwa nini kuwe ma ukomo wakati tunatafuta mtu mwenye support kubea?

Kanuni mbona haina mantiki?
 
Kanuni ipo ili litumikia watu, watu hawapo kuotumikia kanuni.

Kwa nini kuwe ma ukomo wakati tunatafuta mtu mwenye support kubea?

Kanuni mbona haina mantiki?

Watu wanatunga kanuni kubalance mfumo na sio vinginevyo. Nimetoa mfano wa mtihani. Unaambiwa ujibu maswali kadhaa kati ya kadhaa. Ukijibu yote umepoteza muda
Watasahihisha hayo uliyoambiwa ya kwanza.mengine yanatupiliwa kapuni. Ungesoma shule vizuri ungeelewa hii kitu.
 
Kanuni ipo ili litumikia watu, watu hawapo kuotumikia kanuni.

Kwa nini kuwe ma ukomo wakati tunatafuta mtu mwenye support kubea?

Kanuni mbona haina mantiki?

Follow instructions: Answer only 4 quiz.
each quiz from @ section. (4 sect) out of that you are gone
 
Kuna sehemu nimesikia jamaa kapata wadhamini 7,000+, sasa kama wanahitajika 450 tu wote hao wa nini? Au anataka kutuonyesha jamaa anakubalika zaidi ya wenzake. Nilishangaa leo kusikia Mzee wa Viwango anarudisha fomu

ccm inataka jumla ya wadhamini 450 kwa wagombea katika mikoa waliyozunguka, wadhamin watakaozidi kila mgombea akawaweke nyumbani kwake ili waangalie kama mapambo na mke wake-from nape nauye
 
Ndiyo lengo lake na ndorobo wanaomzunguka kujenga dhana yakukubalika. Wengi wa wadhamini hao wanapilwa posho baada ya kulipiwa ada ya uanachama kwanza.

Haka ka mradi ka uchaguzi ccm wanavuna. Formu za wagombea Urais tayari million 30 nadhani maana sina uhakika wamefika wangapi mpaka muda huu.

Pamoja na yule aliyeshindwa kazi kwa Ban Kimoon Inasemekana idadi imefika 33! Hiyo inathibitisha hoja ya ukosefu wa ajira nchini! Nafasi moja ya urais wamejitokeza watu 33, wakati ule wa nafasi 70 za Idara ya Uhamiaji walijitokeza watanzania 11000+ interview ikaenda kufanyika uwanja wa Taifa lakini bado wakachaguana ndugu ajira zikafutwa, pamoja na rushwa kutembea na rafu mbalimbali kuchezwa! Kwenye hii ya Urais Watanzania tukae mkao wa kupiga hela za CCM kura tuwape Chama Chochote ndani ya UKAWA!
 
Mleta mada,

Katika kipindi kama hiki ulipaswa ujikite zaidi na chama chako cha UKAWA sijui CHADEMA....Mambo ya CCM tuachie wana CCM wenyewe.

Nyani haoni ... kila siku hapa jukwaani ww ndio huwa unaanzisha mada za kipuuzi zenye mitazamo hasi kwa ukawa na viongozi wake. Hatuna shida na ww kuanzisha mada bali zingekuwa zina tija basi lakini ni utoto mtupu na propaganda za kizee.
 
Watu wanatunga kanuni kubalance mfumo na sio vinginevyo. Nimetoa mfano wa mtihani. Unaambiwa ujibu maswali kadhaa kati ya kadhaa. Ukijibu yote umepoteza muda
Watasahihisha hayo uliyoambiwa ya kwanza.mengine yanatupiliwa kapuni. Ungesoma shule vizuri ungeelewa hii kitu.

Nakumbuka Sekondari moja kule Tabora wakati niko kidato cha Tatu nilipiga 99% kwenye paper ya English! Ilikuwa ni Test ya kila wiki, kati ya wanafunzi 75 tulifauru 3 wengi walifeli kwa sababu hiyo hiyo ya kutokufuata Maelekezo! Paper ilielekeza kuwa usifanye mtihani huu kwenye maelekezo!
 
Ndio! wengine si walichukua fomu baada ya wengine?sa mbona wanarudisha kabla ya wale wa mwanzo?Najiuliza 1.au wanataka wengine wasipate wadhamini?(Hao wanaowazoa) 2.sifa na uelewa wa wadhamini unatambulika kichama au kila mtu anajichagulia tu. 3.au ndo mbinu ya kuanza kampeni kama wakipitishwa na kijani?
 
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Kazi Maalum), Profesa Mark Mwandosya, amewaambia wanachama wanaojitokeza kumdhamini kwamba, wasibabaishwe na maelfu ya wanachama wanaojitokeza kudhamini baadhi ya wasaka Urais, kwani wanaotakiwa na CCM, ni wanachama 30 tu kwa kila mkoa, yaani jumla ya wadhamini 450 tu kwa mikoa 15.

Mtu yeyote anayetumia nguvu kubwa kuandikisha maelfu ya wadhamini, anafanya mbwembwe tu zisizo na maana, kwani haya siyo mashindano ya nani atakayepata wadhamini wengi zaidi.

Chanzo: Tanzania Daima 16.6.15 Pg 6.
 
Lowassa anakiuka taratibu kwani kinachoonekana ameamua kwenda na vyote wadhamini na kampeini ...two in 1
 
Back
Top Bottom