MTK
JF-Expert Member
- Apr 19, 2012
- 8,920
- 6,858
Kuwa muelewa....hatua iliyopo sasa sio ya Watanzania kutoa maoni. Na hata wakitoa, maoni yao yatakuwa useless na wastage of time. Hatua tuliyopo sasa inawahusu strictly wana CCM tu. Baada ya tarehe 12 na 13 ya mwezi julai kupita, ndio hapo kila Mtanzania ana haki ya kutoa maoni, kujadili na mengineyo.
Hivyo basi, kwa sasa hapa mnapoteza muda kuongelea mambo ya wana CCM wakati ninyi ni aidha wapinzani au wananchi msio na vyama.
Intellect of a millipede; think out of the box!