CCM: Tunahitaji wadhamini 450 tu

CCM: Tunahitaji wadhamini 450 tu

UKAWA tunawataka mumpitishe Lowasa,tupige ndege wawili,tupige hela na ushindi
 
Mi nilidhani saini 450 ni minimum requirements tu.
!!!!!???????
 
Salary Slip

Hilo lipo wazi toka mwanzo lakini mtu anachukua wadhamini hadi 3,000 ili kuwakomoa wenzie maana mtu mmoja hawezi kudhamini zaidi ya mtu mmoja.

Kuna sehemu nimesikia jamaa kapata wadhamini 7,000+, sasa kama wanahitajika 450 tu wote hao wa nini? Au anataka kutuonyesha jamaa anakubalika zaidi ya wenzake. Nilishangaa leo kusikia Mzee wa Viwango anarudisha fomu
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: DSN
Kuna sehemu nimesikia jamaa kapata wadhamini 7,000+, sasa kama wanahitajika 450 tu wote hao wa nini? Au anataka kutuonyesha jamaa anakubalika zaidi ya wenzake. Nilishangaa leo kusikia Mzee wa Viwango anarudisha fomu

Ndiyo lengo lake na ndorobo wanaomzunguka kujenga dhana yakukubalika. Wengi wa wadhamini hao wanapilwa posho baada ya kulipiwa ada ya uanachama kwanza.

Haka ka mradi ka uchaguzi ccm wanavuna. Formu za wagombea Urais tayari million 30 nadhani maana sina uhakika wamefika wangapi mpaka muda huu.
 
Kuwa muelewa....hatua iliyopo sasa sio ya Watanzania kutoa maoni. Na hata wakitoa, maoni yao yatakuwa useless na wastage of time. Hatua tuliyopo sasa inawahusu strictly wana CCM tu. Baada ya tarehe 12 na 13 ya mwezi julai kupita, ndio hapo kila Mtanzania ana haki ya kutoa maoni, kujadili na mengineyo.

Hivyo basi, kwa sasa hapa mnapoteza muda kuongelea mambo ya wana CCM wakati ninyi ni aidha wapinzani au wananchi msio na vyama.

Kama hatua hii ni ya wana ccm pekee,kwanini watangaza nia wanaenda kwenye vituo vya redio na television kutangangaza nia?wakati wasikilizaji na watazamaji sio wanaccm pekee?kwanini msinge jifungia lumumba kutangaza nia?
 
Wasichokijua wengi humu ni kuwa Hao wadhamini 30 kwa kila mkoa wanatayarishwa na makatibu wa CCM wa mkoa na kuwa designated kwa kila mgombea.

Sasa huu upuuzi wa kupata wadhamini kwa maelfu ni fujo zinazoonesha ulimbukeni halisi wa mgombea.waste of time resources and shows we are dealing with showmen instead of leaders.

Ukutazama huu uprimadona wa udhamini utaona wepi ni viongozi wepi ni wakurupukaji,waropokaji na vimeo.
CCM bhana wana watu wenye akili nyingi!!!!!!!!!! walitoa Tangazo kuwa zamani wadhamini Nchi nzima walikuwa 250, sasa safri hii wakaamua ndani ya mikoa 12 basi upate wadhamini 450 tosha.Ukiwa unaongozwa na busara, hekima, weredi na unamiki hofu ya Mungu hakika ukikosea sana watakuwa 500, yani hapo umefanya makosa kweli kweli lakin eneo moja unaenda unakusanya 15,000,.....eheee Uchuro na inaonyesha usivyo weza kufuata kanuni na mtu mwenye kupenda kujibu maswali nje ya maelekezo.

Kwa wenye akili unachofanya ni HUJUMA kwa chama chako kwa kuwanyima wengine fursa na haki yao wao kudhaminiwa na wananchi wengine kama wanachama halali wa chama cha Mapinduzi.Kwa hakika Chama Cha CCM kilisema tamko hilo na liko wazi wanaitaji wadhamini waliokuwa verified na Katibu wa Chama Wa Wilaya wapatao 450 tu sasa eneo moja tu unabeba Elfu kumi na moja...Hiyo akili ...kweli kabisa ya mtu anatalajia kushika Taifa na kufanya vitu genuine kwa faida ya TAIFA.

Genius wa CCM oyeeeee...mdogo mdogo...
 
Wewe siku zote uwa na kieleele...Zitto mwenyewe alisema wazi kuwa amewapuuza...sasa dume zima kushinda mitandaoni kumjadili mtu ambae amekupuuza unaona sawa tu?
Mbona alisema pia atakua wa mwisho kutoka Chadema?
 
Mi nilidhani saini 450 ni minimum requirements tu.
!!!!!???????
Ok if kama 450 assume ulienda darasani maxmum ya 450 itakuwa ngapi frank speaking acha mauza mauza ya kifisadi na rushwa weka pembeni haya tuchukulie wewe ungeongeza topa ya hapo wawe wangapi?Manake hivi unaongea kuna wagombea wan wadhamini wanelekea elfu sabini 70,000 ebu toa 450 salio 69,550 wote hao wa nini kw faida ya nani?Think big au think small
 
Ok if kama 450 assume ulienda darasani maxmum ya 450 itakuwa ngapi frank speaking acha mauza mauza ya kifisadi na ruswa weka pembeni haya tuchukulie wewe ungeongeza topa ya hapo wawe wangapi?Manake hivi unaongea kuna wagombea wan wadhamini wanelekea elfu sabini 70,000 ebu toa 450 salio 69,550 wote hao wa nini kw faida ya nani?Think big au think small

Hivi nnavyoongea wapo watangaza NIA ambao washamaliza kukusanya saini za wadhamini 450 kwa maana ya mikoa 15 na wameenda mbali zaidi ya kuendelea kumaliza kabisa kupita Tanzania nzima.
So hili likoje kikatiba ndani ya chama?
 
jibu hoja kisha nitajibu hoja yako!!!naona unakwepa kujibu hoja ..manake ukinijibu hiyo appro nitadetermine what kind of a person are you ?hivyo kabla ya kwenda mbali katika hoja yako ebu jibu swali langu hapa juu?
 
Kuwa muelewa....hatua iliyopo sasa sio ya Watanzania kutoa maoni. Na hata wakitoa, maoni yao yatakuwa useless na wastage of time. Hatua tuliyopo sasa inawahusu strictly wana CCM tu. Baada ya tarehe 12 na 13 ya mwezi julai kupita, ndio hapo kila Mtanzania ana haki ya kutoa maoni, kujadili na mengineyo.

Hivyo basi, kwa sasa hapa mnapoteza muda kuongelea mambo ya wana CCM wakati ninyi ni aidha wapinzani au wananchi msio na vyama.

hivi zile mada za dr slaa huwa zinakusaidia nini ? wewe gamba Maana naona kama una hungover kibao mkuu
 
Hivi zile pesa alizopewa na makundi ya watu kwa ajili ya kuchukulia fomu za uteuzi alizipeleka zote CCM Dodoma? Au wadhamini tu ndio wanaruhusiwa kuzidi na si pesa za kuchukulia fomu?
 
Hawakusikia haya
  • ''Hata tukidhikiri usiku kucha tukiwa uchi CCM kuleta maendeleo haiwezekani'' by Duni Hajji​

CCM bhana wana watu wenye akili nyingi!!!!!!!!!! walitoa Tangazo kuwa zamani wadhamini Nchi nzima walikuwa 250, sasa safri hii wakaamua ndani ya mikoa 12 basi upate wadhamini 450 tosha.Ukiwa unaongozwa na busara, hekima, weredi na unamiki hofu ya Mungu hakika ukikosea sana watakuwa 500, yani hapo umefanya makosa kweli kweli lakin eneo moja unaenda unakusanya 15,000,.....eheee Uchuro na inaonyesha usivyo weza kufuata kanuni na mtu mwenye kupenda kujibu maswali nje ya maelekezo.

Kwa wenye akili unachofanya ni HUJUMA kwa chama chako kwa kuwanyima wengine fursa na haki yao wao kudhaminiwa na wananchi wengine kama wanachama halali wa chama cha Mapinduzi.Kwa hakika Chama Cha CCM kilisema tamko hilo na liko wazi wanaitaji wadhamini waliokuwa verified na Katibu wa Chama Wa Wilaya wapatao 450 tu sasa eneo moja tu unabeba Elfu kumi na moja...Hiyo akili ...kweli kabisa ya mtu anatalajia kushika Taifa na kufanya vitu genuine kwa faida ya TAIFA.

Genius wa CCM oyeeeee...mdogo mdogo...
Mkuu anachohitaji mgombea ni wadhamini 35 tu kutoka kila mkoa kwa sababu ni rahisi kutambua wadhamini hao kwa kila mgombea kuliko watu 70,000 ambao wanaweza kuwa wamewadhamini kila mgombea alopita hapo. CC itaingia kazi kubwa ya kutazama kama kuna dublicate na itachukua miezi kuchambua. Hawa watu wanafahamu walipochukua fomu kwa hiyo wanachofanya ni kujionyesha wana wafuasi wengi nchini kumbe haikidhi dhumuni la kudhaminiwa.

Mimi nadhani CCM wangeweka utaratibu mzuri zaidi kuonyesha hao wadhamini lazima wawe viongozi wa chama ngazi fulani ama wateule wa rais kama RC na DC maana unataka kupima uzito wa kila mgombea katika kukubalika pia mtoa dhamana anapima nafasi yake mwenyewe kama akipokea Rushwa yako wakati anajua mgombea fulani ndio ana nafasi kubwa ya kupita inampa wasiwasi wa kuungana na kambi isiyoweza kushinda.
 
Nini vigezo vya kumdhamini mgombea? Maana hapa kwetu kuna watoto wenye umri chini ya miaka 18 wamemdhamini EL
 
Back
Top Bottom