Haya mkuu huyu aliye defect anahesabika upande upi? Umeeeleza vizuri
Wewe ni hopeless kabisa eti tumuulize Mwanakijiji inavyoonekana hata ukipigwa na mkeo huwa unamshitaki kwa MKJJ hovyoooo, kwanza takwimu zako feki hujui wabunge nao ni madiwani kwenye mikoa yao.
Mna nyimbo tamu sana nyie na akina Makamba eti time, tuliambiwa hivyo hivyo Kigoma Mjini, time ikafika, wakatuambia hivyo hivyo Mwanza time akawatembelea huko, wakatuambia mzee time hajafika Hai walifikiri hatakuja milele jana kafika huko, yaleyale unatuambia Arusha eti time itafika unafikiri ni mbali sana, mtakimbia mmoja mmoja humu.Uzuri wa dunia hii time ndio mwamuzi wa mambo mengi. Nina uhakika sio muda mrefu kila mtu atajua kati ya mimi na wewe nani ni hopeless.
Naulza: Hivi Hizza anaposema CCM ina Wabunge 3 ambao ni madiwani, ni wa wapi hao? bila shaka ni kutoka majimbo ya uchaguzi yale mengine ya mkoa wa Arusha yaani wilaya nyingine ambazo zina halmashauri zao na hivyo wanakuwa madiwani wa huko. Kadhalika hao wabunge wa chadema ambao pia ni madiwani kisheria.
Au tuseme 'madiwani' wa namna hii ambao ni wabunge hujichagulia wenyewe waende halmashauri gani wakapige kura?
Lazima kuna kanuni kuhusu hili ama sivyo mambo yatakuwa shghala baghala.
Nawasilisha
Wewe ni hopeless kabisa eti tumuulize Mwanakijiji inavyoonekana hata ukipigwa na mkeo huwa unamshitaki kwa MKJJ hovyoooo, kwanza takwimu zako feki hujui wabunge nao ni madiwani kwenye mikoa yao.
Sio kweli kwamba kwasababu huyo mama ndani ya CCM alichaguliwa kupitia kundi la mkoa wa Tanga basi yeye ni viti maalum Tanga. Hapana, NEC hawalijui hilo na wote wanajulikana kama wabunge wa viti maalum CCM, au CHADEMA au CUF. Hivyo wapi anashiriki inategemea zaidi anakoishi.
Quinine,
Ninakuaminia sana kwa mambo ya Chadema. Ila kama mnataka kuwa tofauti na CCM, kama mnataka kuwa tofauti na POLISI WA TZ, kama mnataka kuwa tofauti na Kikwete, kama mnataka kuwa tofauti na Makamba nk basi ni LAZIMA muwe mnasikiliza wengine.
Mkulima kaweka POINT nzito na ushahidi wa waziwazi. Kuanza tu kurusha matusi ya mtu kupigwa na mkeo, inanikumbusha Makamba zaidi kuliko Quinine ninayemfahamu siku nyingi hapa. Tuwe tunatofautisha CCM aina ya akina MS na watu wanaokuja na POINT nzito.
Nimesoma na kufuatilia maneno ya Mkulima na kwa mbali naanza kukubaliana naye. Kwanza ni kweli CCM waliwazidi CDM kwenye Madiwani wa kuchaguliwa. Pili kama utakumbuka maneno ya Regia, aliamua KUIWAKILISHA Chadema kwao kilombero ingawa anaishi Dar. Angeliweza kabisa kuwa mbunge wa kuteuliwa na kuwa anafanya kazi zake Dar ila (kumbuka maneno yake), yeye ALIAMUWA kuwa KILOMBERO.
Labda hapa Chadema walifanya makosa. Wangeliweza kuwachukua akina Regia na kuwaandikisha kama wakazi wa Arusha.
Kuna haja ya KUWAONDOA hawa wabunge wa kuteuliwa kwenye mambo ya MADIWANI maana watakuwa wanaleta MATATIZO kila mwaka. Kwa mfano kwa Mwanza, wangeliweza kuwachukua wabunge kibao wa kuteuliwa Mwanza ili washinde kwenye uchaguzi wa madiwani na mwisho wawe na Meya wa Mwanza.
Katika Mabadiliko ya KATIBA, kuna haja ya hii kitu pia ibadilishwe ili KUPUNGUZA vyama vya siasa KU-FIX matokeo.
MKULIMA: Labda tu niseme kuwa SI KWELI kuwa unawakilisha TU sehemu unayokaa. Regia anaishi Dar ila anawakilisha Kilombero. Nafikiri inategemea baada ya kuchaguliwa, unataka kuwakilisha wapi. Nakubaliana na wewe kuwa inabidi kuandikisha utawakilisha jimbo lipi maana kuna wale hawakugombea kabisa ubunge na wamechaguliwa. Sasa hawa watawakilisha wapi zaidi ya sehemu wanayotaka wao kuwakilisha (na mara nyingi ili kurahisisha maisha - SEHEMU WANAZOISHI.)
Mkulima;Uzuri wa dunia hii time ndio mwamuzi wa mambo mengi. Nina uhakika sio muda mrefu kila mtu atajua kati ya mimi na wewe nani ni hopeless.
Na ofcourse kama this is the case ile vizia vizia ya kufanya uchaguzi ilikuwa ya nini. Na kwa nini waligoma kurudia uchaguzi wakati wao wana madiwani wengi?
MKULIMA: Labda tu niseme kuwa SI KWELI kuwa unawakilisha TU sehemu unayokaa. Regia anaishi Dar ila anawakilisha Kilombero. Nafikiri inategemea baada ya kuchaguliwa, unataka kuwakilisha wapi. Nakubaliana na wewe kuwa inabidi kuandikisha utawakilisha jimbo lipi maana kuna wale hawakugombea kabisa ubunge na wamechaguliwa. Sasa hawa watawakilisha wapi zaidi ya sehemu wanayotaka wao kuwakilisha (na mara nyingi ili kurahisisha maisha - SEHEMU WANAZOISHI.)
This is all confusing.... please anayejua naomba anijibu Je ni kweli mbunge wa Viti maalumu anaruhusiwa kuwakilisha Jimbo lolote???, Na CCM na Chadema wana Viti Vingapi??? please HELP am now more confused after reading this topic than I was before :A S confused::kev:
Mkulima with the quoted argument ina maana basi wabunge say wa viti maalum wa CDM wangeamua wote kulundikana say Ilala ili wapate Meya wao ingewezekana? na ingekuwa sahihi? Kwa nini kipindi kile kuna mvutano wa umeya Kigoma (Nadhani huundiyo ulikuwa mvutano wa kwanza) CCM haikupeleka wabunge viti maalum kutoka majimbo mengine kuokoa jahazi?
Above all kwa nini uchaguzi wa Meya Arusha ulikuiwa na vizia vizia iliyopelekea hali hii kutokea. If what u have just said is right na mshindi anapatikana kwa simple majority assuming madiwani wote wa CCM ni loyal kwa chama chao kulikuwa na haja gani ya kuwa na huyo Chitanda maana with numbers bado CCM ingeshinda tu?
Mkulima;
kwanza sio kweli kama Mbunge wa viti maalum hawana sehemu wanazotambuliwa ndani ya mamlaka zao;kwa mfano mbunge wa viti maalum Hilda Ngoye yeye anapiga kura yake kumchagua meya wa Mbeya tu kama ilivyo Zabida Masaburi kwa Dar;Mama Chitanda alipita kama Mbunge Maalum CCM Tanga na anapaswa kupiga kura yake Tanga tu kama ilivyo kwa Ms Bilal kupiga kura yake ZNZ.
Mkulima;
CCM ilikuwa na wapiga kura 17 kwenye uchaguzi ule wa kinyemela.Ukimtoa Mamluki Mama Mary Chitanda wa Tanga aliyekuja kupiga kura ARusha basi CCM itabaki na wapiga kura halali 16.Ukimtoa diwani wa TLP aliyeshiriki na CCM kabla ya kujizuru basi CCM inabaki na wapiga kura halali 15 tu na ukimtoa diwani wa CCM aliyejizuru juzi basi CCM inabaki na wapiga kura 14 tu halali!
Mkulima;
Kwa mtiririko huo basi ni wazi unajua sasa kwa nini CCM inamleta mamluki toka Tanga kuja kupiga kura Arusha!
hapakua na vizia vizia ila chadema ndo waligoma kufanya uchaguzi tarehe 17 kwa madai yao wenyewe ukaahirishwa siku ya pili chadema hawakuonekana unataka CCM wafanye nini. CHADEMA inaona yenyewe ndo wanajua sana na wanahaki sana ndo kitu kinachowa gharimu
MkulimaMkuu Sikonge,
Achana na hao watukana matusi na ndio wanafanya watu wengi wenye info wakae kimya na mwisho wake watu wanabaki kushangilia jambo kumbe ni makosa.
Regia yeye ndiye ameamua atumie haki yake ya kikatiba kuwa diwani kule Kilombero. Angeweza kuamua kutumia haki hiyo Dar. Kwenye viti maalum CHAMA ndio kinaijulisha halmashauri kwamba mbunge wao fulani anaishi kwenye hiyo halmashauri na atakuwa diwani hapo.
Kwa mheshimiwa Regia ina make sense kuamua kuwa Kilombero kwasababu ana interest na Kilombero na si ajabu anataka kugombea tena huko 2015.
Kikatiba angeliweza kabisa kuwa diwani wa manispaa za Dar kama angelipenda.
Cha kufurahisha CHADEMA wametumia kifungo hicho kibovu wanachokipinga kushinda umeya kule Hai. Kama una muda nenda kasome gazeti la Mtanzania Daima. CCM wamejitetea wee lakini wakaambiwa sheria ni msumeno. CHADEMA wameamua wanawake wao wawili viti maalum wawe madiwani Hai.
Mkulima
Nitaendelea kukuita mpuuzi na hopeless kama utakuwa ukijitetea kwa kuomba usaidizi kwa MKJJ kwani yeye ndiye kipimajoto chako kwanini usijiamini 'inferiority complex', ndiyo maana nikakuambia inawezekana hata ukipigwa na mkeo utakimbilia kwa MKJJ.
Usifikiri mimi ni sawa na MS huwa nabadilika kuendana na wakati na kuendana na mtu ukijifanya kichaa nakuwa kichaa huwa sifichi kwa hilo.
Nevertheless, utetezi wako wa madiwani nimekuamba ni feki umebase kwa takwimu za kina Makamba na Tambwe ambazo ndizo zinazolalamikiwa na wewe unachukulia ni za ukweli kama hivyo kwanini hawakuitisha uchaguzi halali wa wazi wakakimbilia vifichoni.
Mbali ya kukiukwa kanuni za uchaguzi yaani 2/3, CCM walikuwa na jumla ya wapigakura madiwani halali 15 tu ukiondoa mamluki wa Tanga ambaye wewe unamhesabu. Juzi kajiuzulu mmoja wamebaki 14.
Mambo ya Sikonge yaache wengine tunamjua anajifanya kubeba bendera ya CDM na signature nzurinzuri lakini hana lolote, kwenye issue muhimu yeye huingiza regae zake ku deflect tension za watu.
Malafyale,
Mama Ngoye anatumia haki yake Mbeya kwasababu ndiko anakoishi. Angeweza kuamua kutumia hiyo haki Dar wala asingelikuwa amevunja sheria.
Unachagua halmashauri moja na huwezi kuwa na halmashauri mbili. Wengi wanachagua kwao kwasababu either wanaishi huko na hivyo rahisi kuhudhuria vikao au wana interests zao huko.
Kwa mfano mama Ngoye anajua ndani ya CCM kapata hiyo nafasi kupitia mkoa wa Mbye; ina make sense kuwa diwani Mbeya ili awe karibu na waliompa nafasi maana miaka mitano sio mingi.
Kwa Chatanda kwasababu kikazi yuko Arusha nafikiri alikuwa hana ujanja isipokuwa kuchagua Arusha maana huko Tanga angelikuwa anaenda mara ngapi?
Soma CHADEMA walichofanya Hai na utaelewa zaidi juu ya sheria hii. Huko mbele itabidi ibadilishwe ili kuzuia chama kimoja kisihamishie wabunge wake wote kwenye halmashauri moja.
Lakini ujanja kama huo unaweza usifanye kazi. Kwa mfano kule Hai kama sikosei CHADEMA wana madiwani 8 na mbunge na viti maalum 2 jumla 11. CCM wana madiwani 11. Vikao vya halmashauri mara nyingi vinaenda sambamba na vikao vya bunge. CCM wakitaka wanaweza kukwamisha kabisa shughuli za halmashauri ya hai maana wao watakuwa 11 huku CHADEMA wako 8. Wabunge haitawezekana kila wiki kukimbilia Hai kwenda kuokoa jahazi.
Tunapoteza muda mwingi kutumia kila mbinu kupata meya lakini pia tuangalie je ni rahisi kuongoza hiyo miji kama namba hazikubali? mahali ambapo wamekaribiana sana, wangetumia walichofanya Kigoma baada ya uchaguzi wa 2005.
CCM huwa wanapenda kutumia watu fulani kama puppets wao one of them ni huyu TAMBWE and the other one is MAKAMBA