CCM: Tuna madiwani 16 Arusha

Katika watu wapuuziiiiiiiiiiii, nini huyo jamaa wa propaganda wa ccm, HAFIKIRI kabla ya kusema neno lolote yeye ninalomjia lolote twende kazi.
 
Mie nafikiri, tuwe tuna crush hoja za wajinga kama akina Tambwe kwa hoja. Je ni kweli ccm wana madiwani 16 na chadema wanao 14?
 
nahisi huyu jambazi wa ccm hatumii ubongo kufikiria.kwani anasema vitu ambavyo anaelewa ni uongo yet anataka kudanganya watanzania!inaeleweka kabisa rais akishatangazwa hakuna chombo chochote kinachoweza kutengua.anataka cdm waende mahakamani kupoteza muda?mmbunge wa viti maalum anaweza tumikia chama popote ndani ya mkoa na sio nje ya hapo!anafunza kichwani!kiruu!
 
Wee timbwili, mbona unalopokalopoka,hivi huoni uko live na kubwabwaja kwako kusiko na mantiki. Utabaki kibaraka kutengeneza ya wenzako. Kifo cha ccm kinakaribia. Wewe weka wazi domo lako, wa tz si wajinga kama unavyofikiria. Macho na masikio tumepewa na akili pia ya kuchanganua mambo kitaifa tunayo. 2015 ni mwaka mpya wa historia.
 
Kwani diwani wa CCM hawezi mpigia kura mgombea wa CHADEMA?Uchaguzi si siri ya mtu ? hii Tambwe iko gonjwa kabisa...kama dhani ndiyo hiyo uchaguzi wa nini si ingekuwa kuteua mara moja tu?

Mwandishi wa thread alitaka kujua ukweli wa idadi ya madiwani iliyotolewa na Tambwe.
Mbona hakuna aliyejibu swali mpaka hivi sasa. Hivi ni vigumu kusema ukweli au uongo na kutoa idadi unayofikiria ni halali.

Nadhani mtajibu swali jepesi, halihitaji kufikiri ni fact unayoikopi na kuipaste tu.
 
Huyo tambwe anakashifa huko temeke watu walikulaga samvu yake ya kopo,sababu mke wa mtu
 
Mie nafikiri, tuwe tuna crush hoja za wajinga kama akina Tambwe kwa hoja. Je ni kweli ccm wana madiwani 16 na chadema wanao 14?

MkamaP

Kabla ya kutuuliza swali hilo;hao wabunge 3 wa viti maalum wa CCM kupitia Arusha wanaopaswa kupiga kura ya Umeya Arusha Mjini ni akina nani?

Mbunge Mary Chitanda ambaye nae anasemwa kama Mbunge wa Viti Maalum CCM-Arusha ndiye chanzo cha vurugu hizi,yeye nyaraka zinaonyesha ni Mbunge Viti Maalum-CCM Tanga lkn alipiga kura kuchagua Meya wa Arusha Mjini;hii haiwezekani hata kidogo!

CCM juzi imepoteza diwani mwingine aliyejizuru na hii inazidi kuwapa CHADEMA clear edge kushinda Umeya Arusha mjini;CHADEMA kujumlisha na TLP wanapaswa kutoa Meya Arusha Mjini hata CCM wanalitambua hivyo;kama wangekuwa wao ni wengi iweje sasa walifanya uchaguzi"kinyemela"?
 
Tambwe nafasi uliyonayo ahiitaji kwenda darasani, ni kuropoka tu huku unalamba cheki yako toka kwa mwehu mwenzako Makamba.
 
Kwani diwani wa CCM hawezi mpigia kura mgombea wa CHADEMA?Uchaguzi si siri ya mtu ? hii Tambwe iko gonjwa kabisa...kama dhani ndiyo hiyo uchaguzi wa nini si ingekuwa kuteua mara moja tu?

Imetokea Hai mwanachama mmoja wa ccm amemchagua mwenyekiti wa chadema!!! so inawezekana pia kwa arusha
 
Mwandishi wa thread alitaka kujua ukweli wa idadi ya madiwani iliyotolewa na Tambwe.
Mbona hakuna aliyejibu swali mpaka hivi sasa. Hivi ni vigumu kusema ukweli au uongo na kutoa idadi unayofikiria ni halali.

Nadhani mtajibu swali jepesi, halihitaji kufikiri ni fact unayoikopi na kuipaste tu.

CCM ina madiwani wengi zaidi ya CHADEMA kule Arusha. Kwa wale wa kuchaguliwa CCM ina 10 wakati CHADEMA ina 8. Ukiongeza na mbunge basi CCM ina 10 na CHADEMA 9 na TLP 1.

Ukiweka na wale wa kuteuliwa, CCM ina 14 na CHADEMA 12.

Umeya ni kura ya siri kwahiyo sio rahisi kujua nani angelishinda ila kama ni namba CCM ina madiwani wengi kuliko CHADEMA. Waulizeni hata Wabunge wa CHADEMA walioko hapa. Au mwulizeni mzee Mwanakijiji maana naye ni mfutiliaji.
 
Tambwe Hiza na Makamba (wote toka Tanga kama ilivyo Mary Chitanda) kweli ni mabichwa maji, kama walivyofanya ni halali mbona sasa Kigoma na Mwanza waliogopa kupeleka viti maalum wao toka mikoa mingine ili nako washinde...

BTW baada ya Diwani wao mmoja ku-defect safari hii wataleta mamluki toka mkoa gani?
 
CCM ina madiwani wengi zaidi ya CHADEMA kule Arusha. Kwa wale wa kuchaguliwa CCM ina 10 wakati CHADEMA ina 8. Ukiongeza na mbunge basi CCM ina 10 na CHADEMA 9 na TLP 1.

Ukiweka na wale wa kuteuliwa, CCM ina 14 na CHADEMA 12.

Umeya ni kura ya siri kwahiyo sio rahisi kujua nani angelishinda ila kama ni namba CCM ina madiwani wengi kuliko CHADEMA. Waulizeni hata Wabunge wa CHADEMA walioko hapa. Au mwulizeni mzee Mwanakijiji maana naye ni mfutiliaji.

Holy crap!
 
Soma na kuelewa! unataka takwimu gani? Tambwe kasema wako 16.....Mkulima naye kaja na 14 bado unataka jibu la mchungaji?Diwani aliye defect anahesabiwa kundi lipi CCM ama CDM?

Ukisoma vizuri mimi sijaweka wabunge wa viti maalum maana hapo ndio kuna utata.

Kwa taarifa nilizo nazo mimi CHADEMA wameijulisha halmashauri kwamba wana wabunge wawili viti maalum na CCM nao wana wabunge wawili viti maalum.

Ukijumlisha unapata CCM ina madiwani 16.

Hata katika kura, waliopiga walikuwa 17, ikiwa ni madiwani 16 wa CCM na mmoja wa TLP.

Namba aliyotoa Tambwe ni sahihi. Hata wakimtoa huyo mama bado CCM wanabaki na madiwani 15 wakati CHADEMA wanakuwa na 14.
 
Haya mkuu huyu aliye defect anahesabika upande upi? Umeeeleza vizuri
 
CCM ina madiwani wengi zaidi ya CHADEMA kule Arusha. Kwa wale wa kuchaguliwa CCM ina 10 wakati CHADEMA ina 8. Ukiongeza na mbunge basi CCM ina 10 na CHADEMA 9 na TLP 1.

Ukiweka na wale wa kuteuliwa, CCM ina 14 na CHADEMA 12.

Umeya ni kura ya siri kwahiyo sio rahisi kujua nani angelishinda ila kama ni namba CCM ina madiwani wengi kuliko CHADEMA. Waulizeni hata Wabunge wa CHADEMA walioko hapa. Au mwulizeni mzee Mwanakijiji maana naye ni mfutiliaji.
Wewe ni hopeless kabisa eti tumuulize Mwanakijiji inavyoonekana hata ukipigwa na mkeo huwa unamshitaki kwa MKJJ hovyoooo, kwanza takwimu zako feki hujui wabunge nao ni madiwani kwenye mikoa yao.
 
Back
Top Bottom