CCM: Tuna madiwani 16 Arusha

CCM: Tuna madiwani 16 Arusha

Huyu punguani kweli, eti chama chake hakina sababu wala nia yakufanya mazungumzo na CHADEMA. Hivi hawa viongozi wa ccm ni punguani, maana Shamsi Vuai anazungumza kuwa sasa wako tayari kuzungumza nae ni kutoka ssm tena huyo ni bosi wake na ako ka Hiza, je kanawezaje kumbeza bosi wake? hivi ssm kuna organisation kweli? kuna chain of commands? au kila mtu ndani ya chama anzungumza la kwake? maana hata kale kamama nako kameongea upupu mtupu afu mkwere bosi wao angonga cheers kwenye birthday. Pumbavuuuuuuuuuuu ssm na watu wake, eti mahakama,mahakama ya baba yake.
 
....Tambweeeeeee!!!! Mashallah, mtoto si rizki huyu!!!!! Bonyeeeeeeee, wakubofya kizenji au kibara huyu ukitaka!!!!! Tambweeeeeeee!!!!!
 
Tambwe Hiza ni mjukuu wa wanyamwezi wapumbavu waliosambaa Tanga kuwa manamba na haachi kazi yake hata akiwa mwanasiasa. Ni manamba wa mjukuu wa wanyamwezi aliyesambaa Tanga manamba mwingine aitwae Makamba. Mnapoteza mda kujadili mambo ya manamba!
 
haya diwani wa CCM kata ya sombetini kajitoa, pia naibu Kivuyo wa TLP aliyewasaidia CCM 1st time kajiuzulu, mbona hajazungumzia ili uyu jamaa, atake asitake uchaguzi utarudiwa tu na CDM watashinda.

Sijajua vizuri, diwani akihama chama ana hama na kiti chake au ndo inakuwaje???
 
ahahah!! mzee wa propaganda! ccm ina madiwani wengi, mmmmh!
 
"Kuna taarifa za uwongo zinazoenezwa kwamba CCM imepora umeya Arusha, ukweli ni kwamba CCM ndio ina madiwani wengi kuliko CHADEMA, tuna madiwani 10 wa kuchaguliwa, watatu wa viti maalumu na wabunge watatu, jumla 16.

CHADEMA wana madiwani wanane wa kuchaguliwa, viti maalum watatu, wabunge wawili wa viti maalum na mbunge moja wa kuchaguliwa jumla 14, jamani hapo nani ana madiwani wengi?" alihoji Bw. Tambwe na kuongeza:



Alisema anasikitishwa na CHADEMA kuhoji uhalali wa Mbunge wake wa viti maalumu, Bi. Mary Chatanda, kuwa mmoja wa wajumbe wa Baraza la Madiwani wa Halmashauri hiyo wakati sheria ziko wazi kuhusu eneo gani mbunge wa viti maalumu atawakilisha.

"Tarehe 10.12.2010 CHADEMA wenyewe walimwandikia barua Mwanasheria Mkuu wa serikali kuomba ufafanuzi wa kisheria kuhusu wajumbe wa halmashauri kisheria na katika majibu yake kupitia barua yenye kumbukumbu na. JC-A.130-74 ya 16.12.2010 aliwapa ufafanuzi kuwa ni maamuzi ya chama husika kuamua mbunge wake wa viti maalumu atawajibika halmashauri ipi.

"Na hii waliuliza baada ya wao CHADEMA kuamua wabunge wake wawili, Bi. Grace Kiwelu na Bi. Lucy Owenya wawakilishe Halmashauri ya Hai na Mkurugenzi wa Wilaya hiyo kuwakatalia, lakini baada ya ufafanuzi huo wale wabunge waliruhusiwa, sasa wanachohoji ni nini kama si kupotosha tu wananchi kwa makusudi ili wajitafutie umaarufu bure," alisema Bw. Tambwe.

Alisema kwa mujibu wa sura ya 287 ya kifungu cha 35 1 D wabunge wa viti maalumu wanatokana na idadi ya kura za chama husika, lakini ni wapi wafanye kazi zao ni uamuzi wa mamlaka husika ya chama kilichowateua na kutoa mfano kuwa kwa upande wa CHADEMA kazi hiyo hufanywa na Kamati Kuu.

"Sisi tunasema kama CHADEMA wanadai kuna ukiukwaji wa sheria waende mahakamani badala ya kuchanganya watu, mbona wanadai wameshindwa kuhoji ushindi wa rais eti sheria inawazuia kwenda mahakamani, ndio maana wanataka katiba mpya mbona hili la meya wanaruhusiwa kwenda mahakamani lakini hawaendi kama wana haki," alihoji.

Ukweli upo kutokana na sheria zilizopo, issue ni namna meya alivyochaguliwa!
 
Tambwe na Makamba wote nafikiri ni kabila moja na hata uwezo wa kufikiri ni sawa kwa hiyo msishangae sana.
 
Sijajua vizuri, diwani akihama chama ana hama na kiti chake au ndo inakuwaje???

Diwani akihama chama na nafasi yake inapotea na hivyo uchaguzi kwenye kata hiyo utarudiwa, Chadema watapaswa sasa kuungana na TLP chenye madiwani wawili na hivyo kuwa na jumla ya madiwani 16 dhidi ya 15 wa CCM na hivyo kujiweka kwenye nafasi nzuri ya kunyakuwa umeya pindi uchaguzi utakaporudiwa..
 
Wandugu hebu tuachane na hili punguani! Kama mna madiwani wengi inakuwaje mnavizia wenzenu hawapo mnapiga kura haraka haraka? Huyu mpumbavu amesahau kwamba kati ya hao wabunge wao wa viti maalum mmoja siyo halali kupiga kura kwa manispaa ya Arusha kwa sababu ni mbunge kupitia mkoa wa Tanga.

Pia akumbuke kuwa diwani wa Sombetini ameshakihama chama chao hivyo kama uchaguzi ukifanyika leo hii CCM hawapati kitu hapo!! Umeya ni wa CDM iwe iweje au lije jua ije mvua ushindi uko wazi kwa CDM!!! Pia wewe Zoba kumbuka kuwa yule diwani wa TLP hatawapigieni kura nyie maana keshawaona CCM ni wapuuzi tu na M/Kiti wao mgonjwa!!!!!
 
Diwani akihama chama na nafasi yake inapotea na hivyo uchaguzi kwenye kata hiyo utarudiwa, Chadema watapaswa sasa kuungana na TLP chenye madiwani wawili na hivyo kuwa na jumla ya madiwani 16 dhidi ya 15 wa CCM na hivyo kujiweka kwenye nafasi nzuri ya kunyakuwa umeya pindi uchaguzi utakaporudiwa..

Ukiacha Kivuyo, Diwani mwingine wa TLP ni yupi?
 
Huyu jamaa ni chizi kabisa sitaki hta kusoma habari zake kwanza hana shule ya kutosha
 
Naulza: Hivi Hizza anaposema CCM ina Wabunge 3 ambao ni madiwani, ni wa wapi hao? bila shaka ni kutoka majimbo ya uchaguzi yale mengine ya mkoa wa Arusha yaani wilaya nyingine ambazo zina halmashauri zao na hivyo wanakuwa madiwani wa huko. Kadhalika hao wabunge wa chadema ambao pia ni madiwani kisheria.

Au tuseme 'madiwani' wa namna hii ambao ni wabunge hujichagulia wenyewe waende halmashauri gani wakapige kura?

Lazima kuna kanuni kuhusu hili ama sivyo mambo yatakuwa shghala baghala.

Nawasilisha
Wabunge wakuteuliwa huwa wa mkoa ndiyo maana wanaruhusiwa kuchagua jibo lolote la kupigia kura kumchangua meya tatizo la arusha Mbunge wa kuteuliwa kutoka Tanga kuingizwa kupiga kura Arusha wakidai amehamishwa Arusha wakati ameapishwa aikiwa Tanga hapo ndipo kwenye sekeseke....nakama wao wako 16 uki mtoa huyo wa Tanga 1 wata baki 15 na CDM wako 14 wasiwasi wao soma bandiko langu hapo juu
 
Huyu jamaa ni chizi kabisa sitaki hta kusoma habari zake kwanza hana shule ya kutosha
Hivi tatizo ni shule mkuu, mbona kuna babu zetu wanauelewa mkubwa sana lakini shule utakuta la nne....
 
Tambwe hana uwezo wala akili ya kuongea vitu vya maana kwenye jamii yetu ya Watanzania hususani kwa hivi sasa.Propaganda anazojaribu kuzifanya ni zile zilifanywa miaka ya 1800s.Kama anataka anunue na asome (Kama ana uwezo wa kusoma na kuelewa of course) vitabu vya public administration ili ajifunze namna ya kufanya propaganda kisayansi na kisasa zaidi.Tanzania ya sasa imejaa watu wengi wasomi, wenye akili, well informed, wenye kuelewa,kuchuja na kutafakari mambo critically.So huyo bwana Tambwe asidhani anatoa maelezo yake kwa audience ambao ni maamuma au bumbumbu.He should go to hell with his narrow, naive and corrupted thinking.
 
Na ofcourse kama this is the case ile vizia vizia ya kufanya uchaguzi ilikuwa ya nini. Na kwa nini waligoma kurudia uchaguzi wakati wao wana madiwani wengi?

Na zaidi ya hapo wakamleta mbunge wa Tanga viti maalum Mary Chitanda akapiga kura!Lazima Tambwe Hiza ni mwongo! Hizo ni propaganda tu za CCM, kwanini wanakuwa na kitengo kama hicho cha kudanganya watu? Mara idara ya uenezi, mara kitengo cha propaganda ujinga mtupu!
 
Kumbe wana madiwani wengi,basi Uchaguzi urudiwe ili washinde kihalali tatizo nini..?
Wana wasiwasi na diwani wao mmoja aliyebaki huko kwamba hatampigia kura mgombea wao, hawamuamini amini hivi!
 
Kwa nafasi aliyonayo Tambwe Hizza CCM yuko kitengo cha PROPAGANDA so you can imagine

Haswaaaaa, propaganda maana yake ni kusema chochote kiwe kweli, uongo mradi tu usaidie timu yako ishinde. So Tambwe hiza is right. Pambana hiza watoto wako waende chooni
 
basi na chadema wachukue wabunge wa viti maalumu kutoka Dar es salaam, wawahamishie arusha kisha uchaguzi urudiwe then tuone hawa wahuni wa ccm watatoka vipi, ccm wapuuzi sana, ndo maana katiba mpya ni muhimu kutuepusha na migogoro kama hii
 
Back
Top Bottom