CCM: Tuna madiwani 16 Arusha

Hizi kura 16 ni pamoja na mchakachuzi Maria Chitanda. CHADEMA ina madiwani wangapi katika Jiji hilo?

CHADEMA ina madiwani wa kuchaguliwa nane, mbunge wa jimbo mmoja, madiwani wa kuteuliwa watatu na wabunge wanawake viti maalum wawili, jumla ya namba ni 14.

Hiyo ilikuwa kabla ya hizi vurugu za Arusha maana sasa hata hatujui nani bado ni diwani na nani kajiuzulu. TLP wana diwani mmoja.
 
Mi ninajua kuna Diwani mmoja wa CCM amehamia Chadema na TLP sasa ni Kambi ya Chadema.... So we can safely say that kama Uchaguzi utarudiwa leo Chadema wataibuka Kidedea?
 
Mtakubaliana yote na Mkulima lakini ukifikia point hiyo kwenye bold yeye anasema hata hajui amaizing kwa wenye akili tunajua anataka iweje.
 
Hapendi kusikia hilo huyo!

Kama tulikuwa wote Masanilo, Mkulima hataki kabisa kusikia sentensi hiyo na hataki kuelewa Chatanda ni mbunge kutoka Tanga, vilevile hata kuelewa Diwani mmoja wa CCM kahamia CDM eti anasubiri hadi uchaguzi uitishwe, vilevile hataki kuelewa diwani wa TLP sasa kawatema CCM.
 
Hivi kama Diwani amehamia Chadema, ni tayari Diwani au hadi achaguliwe tena?

Ninavyofahamu mie ni kuwa hili ni moja ya jambo ambalo Mtikila alitaka kwenye katiba.

Kama kukiwa na Wagombea wasio na Chama, moja kwa moja mtu unaweza kuhama Chama na bado ukawa na Udiwani wako au Ubunge wako. Kwa sasa itabidi hiyo kata wafanye uchaguzi tena na jamaa akishinda ndiyo atakuwa Diwani wa CHADEMA.

Kama kuna sehemu nimesoma TETESI kuwa kuna Diwani wa CCM kaacha udiwani:
Bwana Muna Qamunga, Aliyeshinda katika uchaguzi wa 31 Oktoba, 2010 kwa Kata ya Endasak, Wilayani Hanang, Mkoa wa Manyara, Kata anayotoka Waziri wa Nchi Uwekezaji na Uwezeshaji, Mheshimiwa Dr. Mary Nagu, amejiuzulu na kujiunga na CHADEMA na anatazamia kuwania tena kiti hicho kwa tiketi ya CHADEMA.
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...i-wa-ccm-ajiuzulu-na-kujiunga-na-chadema.html

Jamani,tusiwe watu wa KUBISHA na kujipa MOYO kuwa tutashinda bila ya kujua KATIBa yetu inasemaje. Kama ina udhaifu fulani basi na siye tujifunze kuutumia huu udhaifu kujinufaisha na si kulialia kama watoto wadogo.

Myahudi ndiyo sifa yake kubwa kwamba, kila akifika nchi fulani, anajifunza SHERIA za ile nchi na mila yake. Akishajua basi anaanza kupanga mikakati ya KUTAJIRIKA bila KUVUNJA sheria za ile sehemu. Hitler alizidiwa akili na akaona KWA SHERIA hawawezi jamaa kuwashtaki na akaamua kutumia MABAVU na MAGUVU kuwamaliza kwenye GAS Chambers.
 
Mi ninajua kuna Diwani mmoja wa CCM amehamia Chadema na TLP sasa ni Kambi ya Chadema.... So we can safely say that kama Uchaguzi utarudiwa leo Chadema wataibuka Kidedea?

Diwani akihamia CHADEMA haendi na udiwani wake. Anakuwa amepoteza udiwani kwahiyo uchaguzi mpya utafanyika.

Kama ni hivyo CCM watabaki na viti 15, CHADEMA 14 na TLP 1 mpaka hapo uchaguzi utakapofanyika.
 
Hivi kama Diwani amehamia Chadema, ni tayari Diwani au hadi achaguliwe tena?

Ninavyofahamu mie ni kuwa hili ni moja ya jambo ambalo Mtikila alitaka kwenye katiba.

Kama kukiwa na Wagombea wasio na Chama, moja kwa moja mtu unaweza kuhama Chama na bado ukawa na Udiwani wako au Ubunge wako. Kwa sasa itabidi hiyo kata wafanye uchaguzi tena na jamaa akishinda ndiyo atakuwa Diwani wa CHADEMA.

Kama kuna sehemu nimesoma TETESI kuwa kuna Diwani wa CCM kaacha udiwani:
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...i-wa-ccm-ajiuzulu-na-kujiunga-na-chadema.html

Jamani,tusiwe watu wa KUBISHA na kujipa MOYO kuwa tutashinda bila ya kujua KATIBa yetu inasemaje. Kama ina udhaifu fulani basi na siye tujifunze kuutumia huu udhaifu kujinufaisha na si kulialia kama watoto wadogo.

Myahudi ndiyo sifa yake kubwa kwamba, kila akifika nchi fulani, anajifunza SHERIA za ile nchi na mila yake. Akishajua basi anaanza kupanga mikakati ya KUTAJIRIKA bila KUVUNJA sheria za ile sehemu. Hitler alizidiwa akili na akaona KWA SHERIA hawawezi jamaa kuwashtaki na akaamua kutumia MABAVU na MAGUVU kuwamaliza kwenye GAS Chambers.

Mkuu Sikonge,

Ni kazi kweli kweli; sijui kwanini watu hawataki kuelewa ukweli? Uko right diwani akihama chama anakuwa amepoteza udiwani wake. Huyo diwani bora angekaa kimya na akaenda kuwasaliti CCM siku ya kura. Kwasasa kapoteza kura yake mpaka uchaguzi ambao unaweza ukachukua hata miezi kufanyika.

CHADEMA bado wanaweza kushinda Umeya lakini mpaka waungwe mkono na TLP na baadhi ya CCM. Hawana namba za kuchukua umeya bila msaada wa vyama vingine.
 
Back
Top Bottom