CCM, TRA inawahujumu na itawaangusha

CCM, TRA inawahujumu na itawaangusha

Nairobian

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
873
Reaction score
2,282
Hali ya TRA bandarini na Airport ni mbaya sana. Wanaoleta mizigo toka nje wanalia sana. Mimi nafanya kazi humu ndani lakini naona bora nijiuzulu jinsi watu wanavyodhulumiwa. Dhamira inanisuta.

Hakuna mfumo wa ushuru, uliopo haufwatei. watu wanalazimishwa kufanya uhuni kuwalazimishia wafanyabiashara ushuru mkubwa ambao haupo, na hii ndio inayochangia mapato kushuka, maana baada ya kubambikiza mtu atapata hasara na kuhacha kuagiza bidhaa.

Kuna mdada aliagiza bidhaa ambazo zilikuwa za thamani ya $4,600, alibambikiziwa ushuru 16million. Dada kashindwa kulipa na kuondoka, dada wa watu kalia kaa mtoto mdogo, mtaji wote kapoteza, hajui pa kuanzia. Dada ni single mother, kazi alipunguzwa na Magu kaingia biashara nayo mtaji wote kapoteza.

Nadhani ni muda muhafaka wa Bunge na chama tawala CCM kuingilia utendaji wa TRA Jamani TRA siyo pa kuleta mizigo tena. Waonye wafanya biashara, hali ni tete, hawa ni sawa Police traffic sasa hivi kwa dhuluma. CCM wasipoingilia, basi wataona mwisho wao, maana hapa ndani ya TRA kuna madudu.wanaichonganisha CCM na wananchi
 
CCM inahujumu umma kwa kuwa-push hao TRA kufanya hayo wanayofanya.

Serikali ya CCM imeuwa vyanzo vya mapato na kulazimisha kodi pekee kuwa chanzo cha mapato,

Serikali ya CCM imewawekea TRA target kubwa ambazo hazina uhalisia ndiyomaana raiya wanaumia.
 
Informer soure! Hata huku mtaa ni mwendo wa kupigwa tu. Juzi walimtuma kijana wao dukan akanunua bidhaa na kutoka nduki hata bila kudai receipt, nilimsoma na kutoa receipt hapo hapo ile anarudi na wenzie wanajidai wamemkamata nikawambia nimtolea receipt lkn alikimbia na kuacha.
 
Jamani this too much
 
Ndo zao mkuu ila wakikuamulia ndo havipingiki
Ni watu washenzi sana hawa.
 
Hali ya TRA bandarini na Airport ni mbaya sana. Wanaoleta mizigo toka nje wanalia sana. Mimi nafanya kazi humu ndani lakini naona bora nijiuzulu jinsi watu wanavyodhulumiwa. Dhamira inanisuta.

Hakuna mfumo wa ushuru, uliopo haufwatei. watu wanalazimishwa kufanya uhuni kuwalazimishia wafanyabiashara ushuru mkubwa ambao haupo, na hii ndio inayochangia mapato kushuka, maana baada ya kubambikiza mtu atapata hasara na kuhacha kuagiza bidhaa.

Kuna mdada aliagiza bidhaa ambazo zilikuwa za thamani ya $4,600, alibambikiziwa ushuru 16million. Dada kashindwa kulipa na kuondoka, dada wa watu kalia kaa mtoto mdogo, mtaji wote kapoteza, hajui pa kuanzia. Dada ni single mother, kazi alipunguzwa na Magu kaingia biashara nayo mtaji wote kapoteza.

Nadhani ni muda muhafaka wa Bunge na chama tawala CCM kuingilia utendaji wa TRA Jamani TRA siyo pa kuleta mizigo tena. Waonye wafanya biashara, hali ni tete, hawa ni sawa Police traffic sasa hivi kwa dhuluma. CCM wasipoingilia, basi wataona mwisho wao, maana hapa ndani ya TRA kuna madudu.wanaichonganisha CCM na wananchi
Nilikuwa naamini kwamba somehow somewhere serikali inahujumiwa.Hii imehakikisha mawazo yangu.Ni tatizo la "old wine in a new bottle!" Nimekuwa natafakari kwa kina sana serikali ifanye nini,ifukuze wafanyakazi wote wa zamani ianze upya?Haiwezekani, kwa kuwa it's a very expensive exercise. Screening nayo kujua nani yuko pro-government ni ngumu.Dah,ni mziki mzito.Mungu atusaidie.Kazi ni ngumu sana.
 
Nilikuwa naamini kwamba somehow somewhere serikali inahujumiwa.Hii imehakikisha mawazo yangu.Ni tatizo la "old wine in a new bottle!" Nimekuwa natafakari kwa kina sana serikali ifanye nini,ifukuze wafanyakazi wote wa zamani ianze upya?Haiwezekani kwa kuwa it's a very expensive exercise. Screening nayo kujua nani yuko pro-government ni ngumu.Dah,ni mziki mzito.Mungu atusaidie.Kazi ni ngumu sana.

Machadema yamejaa TRA. Unategemea nini?
 
Hali ya TRA bandarini na Airport ni mbaya sana. Wanaoleta mizigo toka nje wanalia sana. Mimi nafanya kazi humu ndani lakini naona bora nijiuzulu jinsi watu wanavyodhulumiwa. Dhamira inanisuta.

Hakuna mfumo wa ushuru, uliopo haufwatei. watu wanalazimishwa kufanya uhuni kuwalazimishia wafanyabiashara ushuru mkubwa ambao haupo, na hii ndio inayochangia mapato kushuka, maana baada ya kubambikiza mtu atapata hasara na kuhacha kuagiza bidhaa.

Kuna mdada aliagiza bidhaa ambazo zilikuwa za thamani ya $4,600, alibambikiziwa ushuru 16million. Dada kashindwa kulipa na kuondoka, dada wa watu kalia kaa mtoto mdogo, mtaji wote kapoteza, hajui pa kuanzia. Dada ni single mother, kazi alipunguzwa na Magu kaingia biashara nayo mtaji wote kapoteza.

Nadhani ni muda muhafaka wa Bunge na chama tawala CCM kuingilia utendaji wa TRA Jamani TRA siyo pa kuleta mizigo tena. Waonye wafanya biashara, hali ni tete, hawa ni sawa Police traffic sasa hivi kwa dhuluma. CCM wasipoingilia, basi wataona mwisho wao, maana hapa ndani ya TRA kuna madudu.wanaichonganisha CCM na wananchi
Wakati mwingine watu huituhum tu Tra kwa malengo yao binafsi..... Weka nyaraka za huyo mtu hapa wahusika waseme ni kweli au sio kweli..... maneno ya kuambiwa sio ya kutuletea hapa maana unaweza kuchonganisha taasis na serikali... ....uliona document zake?
 
Machadema yamejaa tele TRA. Ajenda yao sasa ni kuwakomoa wafanyabiashara. Wakishakomoka watakuwa wanailaumu serikali ya ccm. Hivyo itakosa ubora machoni pa wengi

Vyombo vinavyohusika navyo vinaweza kulifanyia kazi hili, ama machadema yamejaa au hawana maarifa, ujuzi na nk.

Magufuli kazi kwako. Kama unawazungusha wale wale wa ujuzi, maarifa, tekniki zile zile unaenda kufeli, and big failure
 
Back
Top Bottom