Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,183
Nimeongea kule kwenye tamko kuwa kuna mwanaume nyuma ya hawa vijana, na wanatumika!...Tamko lao lingekuwa na nguvu kama wasingechanganya na matusi ya aibu kwa Dr.
Wanaanzisha moto hawa, ambao naamini hawataweza kuzima!
PJ:
Wanajua wako wengi kuliko sisi.
Na wanajidanganya wana ushawishi kuliko sisi.
Laiti kama wangesoma alama za nyakati!!