Inashangaza kuona hawa vijeba (UVCCM) kutoa matamko yanayofanana na mtu anayeharisha choo cha stendi kuomba kopo la maji. Fikiria
1. Wanadai baraza la mawaziri linagongana, chanzo Dowans. They move futher to suggest kuwa sitta na mwakyembe wapigwe chini (by implication.
2. Pili wanadai Dowans isilipwe vinginevyo watahitisha maandamano. My question, ni kitu gani wanatetea wakati hao hao wanaotetea Dowans isilipwe na Serikali ya kifisadi ya kikwete wanawapinga. Hivi hawa vijana wana akili kweli.
3. Wanashindwa kutoa tamko dhi ya EPA, IPTL, DEEP GREEN, Kiwira, RADA, Ndege ya rais, ATCL, mfumuko wa bei, uchakachuaji wa kura, mauaji ya raia yanayofanywa na kikwete under what he calls 'police' mauaji ya arusha, matamko ya kishetwani ya baadhi ya watu wachache wanojiita "Jopo la mashehe', nk, mazimwi yanayotishia ustawi wa jamii yetu.
My take
James Ole Millya, Beno Malisa, Kawawa; hawa ni CRAP who are synergized by Lowasa na rafiki Zake J.K na RA. Ukiangalia kwa undani utagundua hili kundi la wahuni limetumwa na hawa jamaa na kupewa hadidu za rejea. Refer maneno yao "Tunaitaka Serikali kuwataja rasmi wamiliki wa Richmond ili ijulikane kipi ni kipi na hoja hii irudi bungeni ili Watanzania wajue nani aliifikisha Serikali hapa ilipo, kama ni Tume ya Mwakyembe (Dk. Harrison-aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Bunge iliyoundwa kuchunguza sakata hilo wakati ule, sasa Naibu Waziri wa Miundombinu) ililidanganya taifa, iwajibike na kama ni serikali basi imtaje mmiliki, ili yeye alipe pesa hizo na si wananchi," alisema Millya. Millya alisema wanayotaarifa kuwa sakata hilo lilianzia bungeni na hatimaye Tume (ya Mwakyembe) ilitoa ripoti kuwa Richmond ni kampuni hewa na wamiliki wake halali hawajulikani" (Source; Habari leo, 21,Jan 2011). wanashindwa kufahamu kuw ahii kamati ilikuwa ya bunga na si si mwakyembe kama wanavyotaka ifike kwetu. Mimi nadhani hii hoja ikifika bungeni kikwete antangoka madarakani. Mwakyembe atatumia hii fusra kusema na kutaja yake waliyosema wametunza ili kuinusuru serikali isianguke; ambayo obviously ni kuhusika kwa jk kwenye sakata hili la kifisadi.