CCM Taifa Ikemee Vijana wake, Vinginevyo...

CCM Taifa Ikemee Vijana wake, Vinginevyo...

Whom dou you mean is insulting his dignity,me or Slaa? He once caught in a guest house during Bunge session in Dodoma by his old wife who also was not his lega wife.Then now he is enjoying openly with someones wife.He has really insulted his dignity

mpeleke mama yako au dada yako kwa Dr. Slaa it seems una wivu kama mwanamke au ww shoga unatiwa nini? F**k u
What dignity urself u possess until u point that Dr. Slaa has insulted his dignity? u r such a prostitute, harlot, malaya ww, gay behaviour
 
Mkuu mwanakijiji..mimi nilisoma lile tamko la hawa vijana jana vizuri ila niligundua yafuatayo katika madai yao.
1. Wanataka sitta na mwakyembe wasizungumze jambo lolote nje ya vikao vya ccm ambavyo vingi ni vya kuumiza wananchi
2. Wanataka swala la richmond lirudishwe bungeni na kujadiliwa upya ili mmiliki wa richmond ajulikane au wajue kati ya sitta, kamati ya mwakyembe na lowasa ni nani aliyekosea.

Ukiangalia hayo mawili kwa makini utagundua kua wakati umefika wa kurudi bungeni kwenda kumsafisha lowasa na ukiangalia mambo waliyoongea utagundua lazima kuna mtu nyuma yao anawapa nguvu.
Yale mengine ya bodi ya mikopo na wanafunzi wala siyazingatii lakini hapo kwenye bold mtanikumbuka ngoja bunge lianze.
 
UVCCM hakuna kiongozi pale...kuna kundi la opportunist ambao wanajiandaa kuendeleza kupora rasilimali za Taifa hili. Ni watu ambao wanajipanga kurithishwa mikoba ya ufisadi unaoendelea leo kila eneo la Taifa hili.
 
Genetics runs down the family, like father like son
 
Tatizo la nchi hii ni uwakilishi haramu.........ukiangalia viongozi karibu wote ndani ya UVCCM siyo vijana ni watu wa zaidi ya 40 years of age................swali la kujiuliza hivi humo ndani ya UVCCM wanamwakilisha nani?

Hivi kabla ya kutoa hilo tamko UVCCM walitafuta ridhaa ya Mkutano wao Mkuu?..........Jibu ni hapana........then whom are they speaking for?".......................It is very strange kuona UVCCM "uwakilishi haramu" wanahimiza Baraza la Mawaziri kufuata "chain of command" wakati wao ni vinara wa kutotafuta dhamana kutoka kikao kikuu cha UVCCM.................How ironic......


Kubwa la kujiuliza kwenye hili ni "timing" ya tamko la UVCCM na kikao cha CC..........................someone is orchestrating all this caboodle.............Why acting in unison and at this wee hour of need and national reckoning?..............CC inataka ionekane inapata mashinikizo kutoka kwenye taasisi zake wakati wao wenyewe ndiyo wamewapa UVCCM ajenda za kuziongelea..........................

We should smell a rat over this........................but the good news in this excruciating saga is .................hatudanganyiki safari hii...................................
Well said Ruta, these guys underestimate peoples capacity to analyze. Ni kweli hatudanganyiki, kila kinachosemwa na kufanywa na CCM au taasisi yakewakati muafaka kama huu is under strict scrutiny. They must know that; Mtanzania wa leo sio yule wa "jana "au j"uzi "wa "yes bwana." Kiikao cha vijana wa ccm, agenda za kikao na jinsi agenda hizo zitakavyojadiliwa na na stateements z akutoa zote hizo pre-cooked na watu ambao ni mastermind wa ccm; wakifikiria kuwa they are very smart and that they can fool Tanzanians; sasa wajue kuwa tunajua
 
100% ni strategy ya uvccm kuwachota watanzania akili kwamba wakitaja Dowans ionekane sasa wao wako kwenye maslahi ya Taifa zaidi . Ukweli hawa waogope kuliko ukoma. Ni mambo mengi sana yametokea nchini uvccm hawajafanya kitu. Mfano mdogo Mwape ni kijana wa uvccm na kidogo afukuzwe uanachama kwa sababu ameona wezi wakiiba akaacha kukaa kimya. Wafahamu hawajamtukana Dr Slaa peke yake bali wamewatukana zaidi ya watanzania milioni 2 waliompa Slaa kura za uraisi

CORRECTION: Sio millioni 2; maana hizo ni baada ya kura kuchkachuliwa, actually wametukana majority of Tanzanians
 
kati ya wapumbavu humu jf wewe nambari wani......

MS re-incarnated....sitashangaa maana matamshi yao na mweleko ni wa aina moja. CDM is unshakable, unstoppable and unmovable whatever label they on it or upon its leaders' Watanzania wana mtazamo tofauti juu ya Slaa. Kama kweli Slaa hafai, mbona hawana hoja accusation nyingine juu yakr zaidi ya hiyo lame and out of context "mke wa mtu" issue! Je, ni nani anayedai ni mke wa mtu kama mama mwenyewe kwa ridhaa yake amekubali kuwa na uhusiano na Slaa...kwani kaiba kama mtu anayechukua kuku wa mwenzake bila ridhaa ya mwenye mali? Kumbuka huyo mama/dada is not a property au kitu au kumbe kisichoweza kujiamulia kama mnyama fulani hivi; she is a human being with free will; with choices etc. Hawezi kufungwa na huyo ambaye wana ccm wansema ni "mume" wake. She has to tell us if she thinks that Slaa amemwiba; ila kama wamekubaliana; wawaache watu waishi maisha yao na sio watu ku=dictate who to live with and whom not to live with....watafute hoja nyingine vinginevyo wazibw vinywa vyao na kama hawataki to zip up; waendelee kuloloma but true actions will be seen soon and very soon na huyo wanayemtukana sasa...wangoje
 
Mbona kila siku naona matusi humu jf dhidi ya jk? unataka mumtusi mara ngapi?

Nyerere alisema wakti ule anawkemea akina Malechela: Chezea vitu vingine lakini usichezee taasisi ya Urais.Lakini kila mara naona matusi dhid ya jk sas leo MM unataka kutwambia nini?

you are sick upstairs I have no doubt...hapa hatuzungumzii jk; tunasema juu ya public statement by a public organ/body inayoongelea juu ya mambo ya binafsi ya kiongzo mkubwa wa chama nchini...sio mambo ya JF; bora hata kama wangezungumzia issues zinazohusiana na mambo mengine zaidi ya hayo...viongozi gani wanatumia pesa za umma kufanya mikutano na kutoa statements za kilemavu hivyo na wewe tena unaleta habari za jk hapa, sio ulemavu huo kweli wa hoja...wake up to challenges of this aeon...challenges of striving for critical thinking and and ability to analyze issues in depth
 
Mwanakijiji...simply umechemsha big time


of course.. si msiwakemee vijana wenu. Tusije kusema "ni udhalilishaji wa viongozi, ukosefu wa heshima". Wewe mwenyewe unakumbuka kwanini hatukuendelea na ile line ya wakati ule. Tafuta ile thread utaona.
 
nimeshangazwa sana na matusi kwa Dr.Slaa hivi hakukuwa na mtu mwenye akiri nzuri hata mmoja ambaye angewashauri wasiandike upuuzi wao. uvccm ndiyo tamko hilo? mi nadhani anayestahili kwenda milembe kupima akiri ni JK na hilo halina ubishi, na watu makini wote wanajua kuwa ubongo wa JK una matatizo. uvccm wamenivunja nguvu sana mi nilidhani angalau wao ndio lingekuwa kimbilio letu. kweli ccm imeoza juu mpaka chini.
Baada ya kuyasoma maazimio yao yaliyosheheni matusi ya aibu kwa watu wanaoheshimika kama Dr. Slaa nilipata mashaka kama ndicho walichosema au waliandikiwa ili wasome. Kama tamko lile lilitungwa na kutangazwa na wao wenyewe kwa ridhaa yao, basi CCM imekwisha - kizazi kijacho cha CCM kitajumuisha wavuta bangi tupu kama inavyojidhihirisha kwa vijana hawa. Ukweli ni wao ndiyo wanaopaswa kupelekwa hospitali za vichaa kutibiwa kwa kinachoonekana kama uraibu wa madawa ya kulevya au kichaa kamili.
 
Mkuu mwanakijiji..mimi nilisoma lile tamko la hawa vijana jana vizuri ila niligundua yafuatayo katika madai yao.
1. Wanataka sitta na mwakyembe wasizungumze jambo lolote nje ya vikao vya ccm ambavyo vingi ni vya kuumiza wananchi
2. Wanataka swala la richmond lirudishwe bungeni na kujadiliwa upya ili mmiliki wa richmond ajulikane au wajue kati ya sitta, kamati ya mwakyembe na lowasa ni nani aliyekosea.

Ukiangalia hayo mawili kwa makini utagundua kua wakati umefika wa kurudi bungeni kwenda kumsafisha lowasa na ukiangalia mambo waliyoongea utagundua lazima kuna mtu nyuma yao anawapa nguvu.
Yale mengine ya bodi ya mikopo na wanafunzi wala siyazingatii lakini hapo kwenye bold mtanikumbuka ngoja bunge lianze.

Yaani, kama risasi umelenga kwenye moyo! Kwa hiyo mkakati wa kwanza ilikuwa kumwondoa 6 kwenye uspika baada ya kushindwa kumhujumu asichaguliwe jimboni kwake. Mkakati wa pili kuwanyima sauti bungeni kwa kuwaweka serikalini, kwa kuwapa uwaziri uchwara nao wakakubali. Mkakati wa tatu kuwanyamazisha wasiongee nje ya vikao halali. Mkakati wa mwisho sasa ni kurudisha mjadala wa Richmond bungeni.

Sipati picha ni watu wangapi watakaojiuzulu kwenye bunge la February. Anna makinda ataongea kikwao!
 
Hapana.. kama CCM Taifa hawatachukua hatua yoyote dhidi ya viongozi hawa wa vijana ambao naamini wamevunja maadili ya uongozi wa CCM (I know I know) na vile vile nadhani wamevunja miiko ya uongozi basi ni wazi kuwa tamko lao limepata baraka toka juu. Kama hili ni kweli basi siku zinazokuja zitakuwa ni za aibu sana kwa uongozi wa taifa letu.

Tunawakaribisha UVCCM upinzani!
 
Kama mtu ambaye nimemuunga mkono Dr. Slaa na kuamini kuwa ni mtu aliyepaswa na anayestahili kupewa nafasi ya kuliongoza taifa nimeshtushwa na kusikitisha na tamko la UVCCM hususan mashambulizi yao ya mtu - ad hominem thidi ya Dr. Slaa. Ninawasihi viongozi wa CCM Taifa kukemea na kuchukua hatua za kinidhamu dhidi ya kundi hilo la viongozi wa vijana.

Kutokuchukua hatua mara moja na kukaa kimya binafsi naamini iwakuwa ni halali kuamini kuwa uongozi wa taifa wa CCM umetoa baraka zake. Which brings me to my observation: it won't be pretty! Yatakapoanza kuporomoshwa matusi na mambo mengine dhidi ya viongozi wa CCM wa kitaifa isije kuoneekana "ni kuvunja heshima, kuchochea, matumizi mabaya ya vyombo vya habari" na upuuzi wa kawaida tuliouzoea.

Maana naamini walichofanya UVCCM kimewapa watu wengine haki ya kuwatukana na kuwasema viongozi wa taifa wa CCM katika masuala yao binafsi. That will be a tragedy.

Ukiniuliza mimi CCM (T) hawana zaidi ya masaa ishirini na nne ya kutoa kauli ya kinidhamu dhidi ya vijana wao.

- Mkuu unajua you were the first one kunipa taarifa yao rasmi kule facebook, I mean hili taifa tunakokwenda sio kwema sana, ile taarifa ni ya uchochezi na kuligawa taifa makundi makundi, sababu ya msingi hakuna isipokuwa ni viongozi wachache katika taifa letu wasiotaka kuelewa alama za nyakati, kwamba the times has changed na sisi tunatakiwa tubadilike, migomo ni kawaida katika Demokrasia na ndio hasa Demokrasia yenyewe, mambo ya binafsi ya ndoa na wake za viongozi wetu hayana nafasi kabisaa kwenye taifa!

- UVCCM safari hii wameeenda mbali mno katika kutuondoa wananchi kutoka kwenye mijadala muhimu ya taifa, na kutupeleka nje kabisaa ya mstari wa Civilization, I mean ninajaribu kuikumbuka TANU YOUTH LEAGUE ya akina Anangisye RIP, Mwabulambo RIP, Joseph Nyerere RIP, Rajab Diwani RIP, Liundi, hata siku moja hawakuwahi kwenda this low,

- Wananchi tufike mahali tukatae kushushwa this low au kuondolewa kwenye mijadala muhimu ya taifa, kama katiba na Dowans, shame on you vijana wa chama changu CCM kwa kweli ni aibu sana!


William @ NYC, USA.
 
Back
Top Bottom