CCM Taifa: Finally we are on the right track!!

Tujibu, kwanini ulikimbia JF? ukaenda FB, Tanuru la Fikra kuanza kuweka mawazo yako finyu kule? ulikimbia hapa kwasababu ya uwezo wako mdogo. Cha ajabu nikadhani kwa muda mrefu uliokaa nje ya JF utakuwa umejifunza namna ya kushusha hoja, kumbe ndio umekuwa dhaifu kama bosi wenu.

Huko Fb nako amelikoroga ndo maana akarejea huku. Kuna dada mmoja huko kampa za mbavu za kutosha.
 
Nitachangia tu pale utakpo jibu kwa nini JK hakuwa na mshindani na kwa nini mmeingia mtaani kusema JK kashinda kwa kishindo as if alikuwa anashindana na mtu .Mengineyo ni maneno ya kariakoo watu wanauza mboga na kununua ndiyo unaleta hapa
 
Is there any relationship between age and thinking capacity?

Akili zilezile kwa mbinu zilezile zilizoshindwa kwa miaka hamsini unategemea ziweze kwa miaka mitano hii fikra hii ndogo haiitaji hata darasa la kwanza kuitambua suala hili haliwezekana magamba wanawapiga changa wananchama wao na wananchi magamba sasa wapo icu.
 
- Mimi huniwezi so jaribu kusema hoja bro, unacheza na The King Of All bongo Social Media Network, leo Jumapili nimetoka kwenye msiba sasa hivi, so leo sitaki kuingia kwenye personal attacks l;abda kesho, kwa leo please hoja tu! ha! ha! ha!

Le Mutuz!1

Hivi huyu jamaa kumbe ni "KUBWA JINGA" tu. Yaani kukaa nje ya nchi muda wote huo bado pumba kibao kichwani!!!!! Namsikitikia Mzee Samwel. Yaani haya yote unayo bwabwanya hapa jamvini ni ili wakuone kwamba upo wakupatie kacheo, eti? Kweli nimeamini kwamba ndani ya MAGAMBA bila unafiki hupati kitu. Wana-MAGAMBA walikuwa sahihi kukupiga chini kwenye chaguzi Jumuiya ya Wazazi. Maana kila unapokuja hapa kuchangia/ kuanzisha mada, tunaona PUMBA tu!!!! Mara kiingereza kisicho enea na kiswahili cha kigogo sijui!!!!!

Mara nyingine ujipange vyema unapo kuja jukwaani. Jukwaa hili sio la TAKA MZUNGUKO mazee!
 
yani ulichoandika utafikiri mtoto wa form1 shule az kata kumbe libabu la miaka 54, daa skuizi ukubwa sio dawa tena ukubwa ni sumu skuizi

Usidalilishe wanafunzi, mimi ni mwalimu, najua vizuri uwezo wa fomu I.

Huyu jamaa uwezo wake ni mdogo, sijui nimlinganishe na nini maana anaboa mno.

Asingeenda nje sijui angekuwaje.
 
Mbona willy huishi kujipendekeza kwa magamba wewe hutakiwi huko acha siasa la endelea tu kujipendekeza lkn najua hutapata kitu awamu hii zingine sijui lkn nashangaa kijana kama wewe bado unamawazo mgando ya kizee yaani watu ambao walipo kuwa viongozi hawakufanya lolote ndani ya nchi hihi rasilimali zilezile walizoziacha kipindikile na hawakufanya mapinduzi ya kiuchumi tena walikuwa na nguvu leo hii unawapa matumaini ya uongo wanajamvi eti akili zile zile tena zilizo zeeka na kuwa na dimentia eti zitaleta mapinduzi ya kiuchumi shame on you bado mnaendelea kuwatusi Watanzania kwa kuwadharau kwa kuwaletea viongozi mfu wajekumaliza tembo wetu tu.

W.J.M sio kijana labda kwa vigezo vya kitanzania kwa maana W.J.M ana miaka hamisini plus
 
yani ulichoandika utafikiri mtoto wa form1 shule az kata kumbe libabu la miaka 54, daa skuizi ukubwa sio dawa tena ukubwa ni sumu skuizi

Mkuu don't tell me! Is that her age? Ha ha ha ha ha ha! Kama huo ndio umri wake na point zake nazoziona kwenye mitandao na anayoyafanya mitaani (ref. magazeti ya udaku) ndio hayo, frankly speaking huyu babu atakuwa na tatizo sio bure.
 
- PEOPLE nawashukuru sana kwa comments ambazo ni very positive, yaani JF style that is all I could ask kutoka kwa Great Thinkers kutuma ujumbe kama nilivyoutuma na mmejibu vizuri sana kwamba umefika!! Nimesema leo Jumapili Siku ya Mungu sina mpango wa kutoka kwenye mada na kuingia kwenye personal attacks!

- Ninaamini wananchi wengi wenye akili timamu wanaingia hapa na wakisoma hii mada, wataamua wenyewe mbivu na mbichi zilipo, wala hakuna siri! ha! ha! ha! ha! ha!, again ninawashukuru pia Utawala wa JF kwamba hii mada so far imeachiwa kuendelea, haijafungwa kama zingine au kufutwa naona pole pole we are getting there!! ha! ha! ha!

KIDUMU CCM!1 KUDUMU CHAMA TAWALA!!

LE Biig Shoow!!
 
Nitachangia tu pale utakpo jibu kwa nini JK hakuwa na mshindani na kwa nini mmeingia mtaani kusema JK kashinda kwa kishindo as if alikuwa anashindana na mtu .Mengineyo ni maneno ya kariakoo watu wanauza mboga na kununua ndiyo unaleta hapa

- Eti mkuu sana mara ya mwisho Mbowe aligombea Uenyekiti wa Chadema na Zitto au nani vile? akamshinda kwa kishindo au? ha! ha! ha!

Le Mutuz!!
 
Ombi maalumu kwa makamanda na mods naomba hili mliangalie; tunaomba mjadili hoja badala ya viroja; si lazima kila thread uchangie mnaharibu mada nzuri kwa sisi wanaccm tunapenda kuijadili ili tuone ni wapi chama makini kina mapungufu; hizi personal attacks dhid ya william mnazirudia kila kukicha sio kama hatuwezi kujibu la hasha! Tunauwezo mkubwa tena sana wa kujibu mapigo; mnatufanya tunapoteza mwelekeo wa kuchangia kama mnataka free style hiyo pia mnweza mkawaomba mods; hapa msituchangie utumbo kwenye nyama safi.

Chama
Gongo la mboto DSM

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Mkuu sidhani kama uko sahihi sana kama unafurahi kuona mawaziri WAKISUTWA, WAKICHEKWA na KUZOMEWA hadharani kwa lengo tu la kuonesha makada wa chama wanafanya kazi ya ''Kuiwajibisha'' serikali.

Soon utaona madhara yake.
 
Ombi maalumu kwa makamanda na mods naomba hili mliangalie; tunaomba mjadili hoja badala ya viroja; si lazima kila thread uchangie mnaharibu mada nzuri kwa sisi wanaccm tunapenda kuijadili ili tuone ni wapi chama makini kina mapungufu; hizi personal attacks dhid ya william mnazirudia kila kukicha sio kama hatuwezi kujibu la hasha! Tunauwezo mkubwa tena sana wa kujibu mapigo; mnatufanya tunapoteza mwelekeo wa kuchangia kama mnataka free style hiyo pia mnweza mkawaomba mods; hapa msituchangie utumbo kwenye nyama safi.

Chama
Gongo la mboto DSM

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

peleka hii pumba yako kwenye jukwaa la malalamiko
 
Last edited by a moderator:
Right track ya kusomba watu mikoani kwa garama ya walipa kodi ili muonekane mna watu? Siku za kuwadanganya wamasai na vitambaa vya kijani zimeshaisha. Si mnakumbuka mlivyohaha kule Arumeru na bado wakawaambia No! Think ahead!
 
Tujibu, kwanini ulikimbia JF? ukaenda FB, Tanuru la Fikra kuanza kuweka mawazo yako finyu kule? ulikimbia hapa kwasababu ya uwezo wako mdogo. Cha ajabu nikadhani kwa muda mrefu uliokaa nje ya JF utakuwa umejifunza namna ya kushusha hoja, kumbe ndio umekuwa dhaifu kama bosi wenu.

tanuru wana ccm wenzie wamempiga chini. Naona humu kaomba msamaha maana alishapigwa ban ya maisha baada ya zile kejelh zidi ya waasisi wa jf.
 
Back
Top Bottom