CCM Taifa: Finally we are on the right track!!

You are on the right Track wakati kila mnapoenda mnazomewa?That is Insanity.You cant be serious,or otherwise you are suffering from Thinking Myopia.Haiingii akilini unatembea tembea mikoani kuwambia/kuwaonyesha wananchi ulichokifanya.kama kipo hakuna haja ya kumvisha mtu miwani ili akione.It will reach a time where by mtatembea na Microscope ili kuwaonyesha wananchi what you have done for the past 7 years if not 51 years of Independence.Mna kazi kwelikweli.
 
-
- KIDUMU
CHAMA CHA DUME LA MBEGU!!

MUCH RESPECT PEOPLE!!


Le Mutuz - THE KING OF ALL BONGO SOCIAL NETWORK MEDIA!! AT "Blogu ya Wananchi" williammalecela.blogspot.com

Hapo umetoa message gani sasa kwa chama? Ukiwa mtu wa kuandikia au kusemaa Chama lazima uwe unasikiliza kwanza kabla ya kusema au kusoma kabla ya kuandika. Ndio maana tunataka chama kiwe na watu wenye uwezo mkubwa sana.
 
Nyoka wenye ndimi mbili mmeshawaua? Maana ndo hao hao wameshikilia NEC.nawapa miezi mitatu tu hizi mbwembwe zote zitaisha.maana hizi mbwembwe tumeshazizoea kila mkitoka kwenye mavikao yenu ya ndimi mbili.hakuna cha mangura wala cha kinana ccm imeshafika kwenye elastic limit kwahiyo kufa ni lazima.
 
Kaka Wile saluti sana! Hakika CCM mpo juu ya mti wa mpapai bado kidogo mtaanguka kifo cha Mende. Hakuna mabadiliko au mageuzi yoyote ambayo mmefanya! Bado tunataabika na shida ambazo chanzo ni CCM! Ajira, maji,umeme, elimu, na miundombinu ni bomu ambalo litawatoa ikulu 15
 
You should be ashamed to be part of the people who are there to make Tanzanian poorer. Ulizaliwa katika familia ya wenye kuwafanya wenzao masikini na wewe unaendelea na wimbi hilo. Shame on you.
 
Acha kuongea kiswa-kinge chako kisicho eleweka hapa. Nyie ndiyo makanjanja munaoipeleka CCM kuzimu...
 
- ha! ha! ha! thaanks Great Thinker una maana ujumbe sent na umefika, that is all I could ask from Great Thinkers!! UBARIKIWE NA MUNGU WA MBINGUNI!!

Le Mutuz!!

Mbona willy huishi kujipendekeza kwa magamba wewe hutakiwi huko acha siasa la endelea tu kujipendekeza lkn najua hutapata kitu awamu hii zingine sijui lkn nashangaa kijana kama wewe bado unamawazo mgando ya kizee yaani watu ambao walipo kuwa viongozi hawakufanya lolote ndani ya nchi hihi rasilimali zilezile walizoziacha kipindikile na hawakufanya mapinduzi ya kiuchumi tena walikuwa na nguvu leo hii unawapa matumaini ya uongo wanajamvi eti akili zile zile tena zilizo zeeka na kuwa na dimentia eti zitaleta mapinduzi ya kiuchumi shame on you bado mnaendelea kuwatusi Watanzania kwa kuwadharau kwa kuwaletea viongozi mfu wajekumaliza tembo wetu tu.
 
ulishawahi kusema unaondoka Jf na hurudi tena'nakumbuka ulivyosindikizwa na maneno mazito na matusi ya kutisha'imekuwaje tena unakuja kuchungulia?nyie watoto wa mafisadi mnaozeekea ccm mna matatizo sana'yule mwenzako mtoto wa mkweree hajakufundisha kuuza kale ka dawa??achana na siasa wee
 
Ha ha ha ha ha ha ha h...Kumbe wewe jamaa upo? Baada ya kuikimbia JF sasa leo umeibuka na hoja kamasi kwa mara nyingine. Kwanza nakupa pole kwa kugaragazwa kwenye chaguzi zote za chama chenu, na ule unene wako ulikuwa unatia huruma kama, mbuzi aliyekosa malisho. Mimi siwezi changia hoja yako hii, na hata kuisoma nimeisoma mistari mitatu nikagundua kuwa ni makamasi na haifai kukaa JF. Hoja ni nyepesi na haionekani kama inatoka kwa kibabu cha miaka 54. Poor analysis, na imekaa kichama na kishabiki zaidi. Nashauri wachangiaji tuchangie kwanini huju JAMAA ALIKIMBIA JF, NA SIO HII HOJA YAKE, MAANA HOJA YAKE NI NYEPESI KAMA KAMASI ZA MTOTO MCHANGA.


Mkuu,
Basi wewe utakuwa kati ya watu waliobarikiwa sana.

Yaani mistari mitatu tu tayari umeishaijua kama ni hoja mfu. Lakini hata hivyo umechangia bila kujua kama umeichangia hoja yenyewe.

Hata hivyo hoja yake alikuwa anapeleka ujumbe kwa wana CCM wenzake wanapita hapa jf. Labda ndiyo wanawasiliana kwa hoja ambazo kwako zinaonekana ni hoja mfu, ndiyo maana itikadi yake ni tofauti na ya kwako.
 
- Yaaap kama vile Lema "Jembe", na Wassira "Tyson" usiniambie na hawa ni chekechea kama mimi? au? ha! ha! ha! ha! ha!

Le Mutuz!!

Hao hawakujiita wenyewe hivyo, ila watu ndio waliwaita hayo majina. Wewe nani kakuita hayo majina ya kitoto? Umejibandika mwenyewe hayo majina. Watu watakupa majina yanayokufaa kulingana na tabia/mazingira unayoyajenga mwenyewe ktk jamii
 
Just to remind you!BILLION SHILLING 86 zimechotwa Wizara ya Nishati na pembe za ndovu zenye thamani ya mabilion zimekamatwa ugahaibuni zikitokea TZ!

Yes Le Mutuz;finally we are in right track!Argrrrrrrrrrrr!!!
 
- Mh. Nape najua ni your nightmare so haendi kokote yupo sana, leo nimesema ni Jumapili will not attack anybody personally mpaka kesho, so ha! ha! ha! ha1

Le Mutuz!!

yani ulichoandika utafikiri mtoto wa form1 shule az kata kumbe libabu la miaka 54, daa skuizi ukubwa sio dawa tena ukubwa ni sumu skuizi
 
Naona unatafuta nafasi ya Nape kwa juhudi kubwa sana. Ila Mjomba ulikuwa umeshazama CCM wamekutoa ndio Maana sasa hivi wewe ni kujikomba kwa kwenda mbele. AMA Kweli mkono mtupu............
 
Back
Top Bottom