we kweli ni .............: unasubiri nani akwambie wakati mambo yote yako wazi na yanaonekana ata ukitumia. jicho mojandugu zangu wa JF naombeni tusikurupuke ku comment ili hali hatujaambiwa ukweli wa taarifa husika
Kadiri anavyozidi kujielezea au kujisafisha juu ya mali zake ndio anazidi kuanika madudu zaidi yanayomkabili.Na sishangai kuona wanamburuza kortini, kwani kinga ya uwaziri imeyeyuka.Do you think he is such stupid?
Wait and see...
alikua na nyodo sana dogo huyu, alijiona keshafika, siku moja namsalimia ananitazama mara mbili ndio anaitia kama vile nilikua namtongozaMaige no hovyo. Hafai na lazima aburuzwe mahakamani awaeleze wananchi alikopata mali zote alizonazo. Ni waziri kijana aliyewaangusha vijana wenzie kwa ujizi.
alikua na nyodo sana dogo huyu, alijiona keshafika, siku moja namsalimia ananitazama mara mbili ndio anaitia kama vile nilikua namtongoza
Wametuangusha saana kina Mbate!Tehe tehe, wasukuma wametia fora kwenye utawala wa JK and Mkapa
1) Vijisenti
2) Bosi wa PCB
3) Bwana Megawati
4) Bwana Twiga.....
Ni Kweli Kabisa CCM siyo Mama Yake, Na Akuzaliwa kuwa Waziri!Mwisho wa kunukuu!
Werema mtu wa Mara
Ndullu mtu wa Morogoro
ana kampuni ya transport & logistics inaingiza USD 2O,000 net profit kwa mwezi! Hawa mawaziri waongo sana. Mtu ana malori zaidi ya kumi hapati kiwango hicho eti yeye ana lori mbili anadai he earns that amount! Oh my god!
Kumbe hujui kama jamaa anamiliki vitalu vya uwindaji?atatumia vitalu hivyo kulipa ingawa wameshea na jamaa mmoja hivi wa Netherlands.This country bwana.
Baada ya kupigwa chini na JK sasa mh Maige ni kama kachanganyikiwa...kuna baadhi ya watu wake waliokua wakimpa pole ya kuvuliwa ubosi amewambia kwamba ccm siyo mama yake eti aipigie magoti na haoni tatizo kupigwa chini maana kafanywa mbuzi wa kafara!!!!!
Kauli hii inaonyesha alijaribu kumbembeleza mkulu lakini kamchomolea.
Huyu Jamaa tuna hasira nae sana nyumba na malori lazima tuyachukue,arudishe twiga,tembo,vifaru wote aliouza!
Werema mtu wa Mara
Ndullu mtu wa Morogoro
Mama Mdogo tatizo sio Wasukuma tatizo ni Watanzania kina Mramba,Jairo,Nundu,Liyumba,Malima,Mponda,Nkya,hawa nao ni wasukuma mbona wamechemsha?Naona hata JK kawasitukia watani zake Wasukuma, safari hii kawapa Waziri mmoja kamili na manaibu wawili, yaani Geita Waziri mmoja (Magufuli), Mwanza naibu mmoja (Kitwanga), Shinyanga Naibu Mmoja (Masele), Simiyu hakuna, ; wakati mikoa mingine kawapa Mawaziri kamili wawili au watatu mfano Kagera (Kabaka, Tizeba, Tibaijuka). Wasukuma mkipewa madaraka punguzeni kabisa udokezi wa waziwazi na muwe serious na kazi, na wale wa kiume kufukuzia wasichana muache!!! Kudadeki!!!