Wote maafisa wa kitengo haoKwa mfano: Alichofanyiwa Stephen Masele, hakika Mimi sijaelewa!
Kura 152 dhidi ya 12!!! Sielewi bado!
Afisa kifichoKwa Stephen Masele wamechemka sana.
Wote na maseleHata Mimi nipo shy hapa tunashangaa kumbe ka katambi ni katumishi ka idara yetu ile,iiiiii bhagoshaaa
Naomba unisaidie huyu lissu akitokea akashinda atatangazwa kuwa mshindi kwa katiba ipi?Na hii ndo nafasi adhimu tuliyopata watanzania mwaka huu ambapo hatupaswi kuichezea.
Hii nchi kwa maendeleo ya kweli ya watu na vitu na kwa mustakabali wa afya njema ya nchi hii NI MUHIMU SANA MWAKA HUU TUNDU LISSU AKAWA RAISI 2020 - 2025 ILI ATUPATIE KATIBA MPYA YA WANANCHI ITAKAYOWEKA VYOMBO HURU NA IMARA KUISIMAMIA HII NCHI NA KUPUNGUZA MAMLAKA YA RAISI. Hili ni muhimu sana!
Damu kumwagika??? Usijaribu hata kuwazaKuna watu wamekatwa majina kwa sababu tu ni marafiki wa Membe. Sasa hivi CCM hata uhuru wa kuongea na mtu asiyepatana na mwenyekiti haupo. Taifa linakwenda wapi?
Kuna watu walitoa rushwa hadharani kama Kingwangala, Waitara na Gambo ila majina yamepitishwa. Kuna wengine wamekatwa kwa kisingizio cha rushwa. RPC wa Arusha pamoja na mkuu wa TAKUKURU walitolewa kisa rushwa za Gambo ila mtoa rushwa karudi wao wamekwenda na maji. Na siku zote Gambo waliambia nimetumwa na mwenyekiti nimtoe Lema ndio maana wakamuacha, leo ukweli upo hadharani.
Kuna watu walitumbuliwa kisa urafiki na Lowasa leo wamerudishwa na chama kimechonga maadui wengine feki, eti marafiki wa Membe.
Polepole na Bashiru mlimshauri mwenyekiti anunue wabunge wa CHADEMA na CUF leo hii mnalazimisha kuwanadi. Hao watu upinzani hawatakiwi na CCM hawatakiwi. Mwambe, Gekul, Katambi na Silinde walipigwa chini na wajumbe ila nyie mnalazimisha kuwapa ubunge.
Patachimbika; hizo ni dharau kubwa sana. Polisi hawawezi kushindana na nguvu ya umma. Mliona kilichotokea Tunduma? au mmepanga kumwaga damu za watu ilimradi tu Silinde ashinde?
Tafadhali bhanaaa! Kweliiii????Hata Mimi nipo shy hapa tunashangaa kumbe ka katambi ni katumishi ka idara yetu ile,iiiiii bhagoshaaa
Probably! Hii yaweza kuwa kweliMasele alitunishiana msuli na supika, naona Ndugai alisema ni bora akatwe yeye kuliko Masele arudi mjengoni.. Basi, akashikishwa adabu!
Basi chama kina wenyewe!!!Ccm taasisi kubwa kujuana na wajumbe haimanishi kwamba wewe unafaa kuongoza jimbo !mwenendo wa masele jimboni ulikuwa mbaya sana hasa utatuzi wa kero za wananchi kwa awamu zote aliona jimbo lipo mfukoni ! Intelijensia ya magufuli imemlarua vipandevipande na alimfanyia figisu kubwa mgombea mwenzie patrobas katambi! Malipo ni hapahapa
Kwa kweli hapa wametuchanganya! Kama walikuwa hawamtaki, wangemwambia asichukue fomuKwa Stephen Masele wamechemka sana.
Labda unisaidie wewe kwani Magufuli alitangazwa kwa katiba ipi???? Katiba iyo iyo iliyomtangaza Magufuli ndo itakayomtangaza Lissu.Naomba unisaidie huyu lissu akitokea akashinda atatangazwa kuwa mshindi kwa katiba ipi?
Ndiyo maana mnaitwa nyumbu.
2015 kwenye press conference baada ya jpm kutangazwa mbowe alitamka hivi, *tùmegungua kwamba kwa katiba hii sasa upinzani hautaweza kuingia ikulu hata kama ni baada ya miaka 100*
Sasa sijui kama miaka 100 imeishafika....
Kumbuka: Adadi alilaani sana bungeni Tundu Lissu alipopigwa risasiKwa mfano: Alichofanyiwa Stephen Masele, hakika Mimi sijaelewa!
Kura 152 dhidi ya 12!!! Sielewi bado!
Dah! mtu yoyote mwenye akili timamu hawezi kukubali huu ujinga. Magufuli ameleta madhara makubwa sana kwenye uhuru wa watu hapa nchini. CCM wanaugumia/wanaugulia maumivu kuliko hata wapinzani.
Silinde hawezi kushinda Tunduma hata akichukua waganga wote wa nchi hiiKuna watu wamekatwa majina kwa sababu tu ni marafiki wa Membe. Sasa hivi CCM hata uhuru wa kuongea na mtu asiyepatana na mwenyekiti haupo. Taifa linakwenda wapi?
Kuna watu walitoa rushwa hadharani kama Kingwangala, Waitara na Gambo ila majina yamepitishwa. Kuna wengine wamekatwa kwa kisingizio cha rushwa. RPC wa Arusha pamoja na mkuu wa TAKUKURU walitolewa kisa rushwa za Gambo ila mtoa rushwa karudi wao wamekwenda na maji. Na siku zote Gambo waliambia nimetumwa na mwenyekiti nimtoe Lema ndio maana wakamuacha, leo ukweli upo hadharani.
Kuna watu walitumbuliwa kisa urafiki na Lowasa leo wamerudishwa na chama kimechonga maadui wengine feki, eti marafiki wa Membe.
Polepole na Bashiru mlimshauri mwenyekiti anunue wabunge wa CHADEMA na CUF leo hii mnalazimisha kuwanadi. Hao watu upinzani hawatakiwi na CCM hawatakiwi. Mwambe, Gekul, Katambi na Silinde walipigwa chini na wajumbe ila nyie mnalazimisha kuwapa ubunge.
Patachimbika; hizo ni dharau kubwa sana. Polisi hawawezi kushindana na nguvu ya umma. Mliona kilichotokea Tunduma? au mmepanga kumwaga damu za watu ilimradi tu Silinde ashinde?
Silinde hawezi kushinda Tunduma hata akichukua waganga wote wa nchi hiiKuna watu wamekatwa majina kwa sababu tu ni marafiki wa Membe. Sasa hivi CCM hata uhuru wa kuongea na mtu asiyepatana na mwenyekiti haupo. Taifa linakwenda wapi?
Kuna watu walitoa rushwa hadharani kama Kingwangala, Waitara na Gambo ila majina yamepitishwa. Kuna wengine wamekatwa kwa kisingizio cha rushwa. RPC wa Arusha pamoja na mkuu wa TAKUKURU walitolewa kisa rushwa za Gambo ila mtoa rushwa karudi wao wamekwenda na maji. Na siku zote Gambo waliambia nimetumwa na mwenyekiti nimtoe Lema ndio maana wakamuacha, leo ukweli upo hadharani.
Kuna watu walitumbuliwa kisa urafiki na Lowasa leo wamerudishwa na chama kimechonga maadui wengine feki, eti marafiki wa Membe.
Polepole na Bashiru mlimshauri mwenyekiti anunue wabunge wa CHADEMA na CUF leo hii mnalazimisha kuwanadi. Hao watu upinzani hawatakiwi na CCM hawatakiwi. Mwambe, Gekul, Katambi na Silinde walipigwa chini na wajumbe ila nyie mnalazimisha kuwapa ubunge.
Patachimbika; hizo ni dharau kubwa sana. Polisi hawawezi kushindana na nguvu ya umma. Mliona kilichotokea Tunduma? au mmepanga kumwaga damu za watu ilimradi tu Silinde ashinde?
Mambo ya chumbani hayo chiefKwa mfano: Alichofanyiwa Stephen Masele, hakika Mimi sijaelewa!
Kura 152 dhidi ya 12!!! Sielewi bado!
Hakukuwa na haja ya kura za maoni kwani Magufuli alikuwa na majina yake kwenye kwapa