Mtafiti wa Kale
Senior Member
- May 18, 2013
- 111
- 22
Kodi hii ya line ni muhimu sana kutozwa ila si kwa kiwango hicho kwani ni kikubwa na sio kila mwezi,na kama itasimamiwa vizuri inauwezo wa kulifikisha taifa mbali zaid;maana hayo ni makusanyo makubwa sana wala hajawahi tokea kwa sababu kodi haiangalii km ww ni mlemavu au laa.Na watukusanya kwa zaidi ya 65%ya watanzania wapatao milion 50.Huu ni mtazamo wangu tu!