CCM: Serikali iifute kodi ya Sh 1,000 kwa simcards!

CCM: Serikali iifute kodi ya Sh 1,000 kwa simcards!

3+3 = 36
tehe tehe teh

Qs: How are you?
Ans: My name is Judith
tehe tehe

Qs: Are you crazy?
Ans: Sometimes yes, sometime no
teh teh
Qs: Do you know John Walker?
Ans: Yah yah ni Yohana Mtembezi
teh teh

Haya ndio mambo ya CHICHIEMU BANA upo hapoo.
 
Kuna watu wanaichongea CCm kwa wananchi maksudi....haiwezekani wapitishe wao alafu tena waikate waotena...kuna mapandikizi ndani ya CCM
 
Huwezi kuwaona mkuu,wao huwa wanaonekana kwenye habari zinazoihusu CDM tu,ndio kazi yao kubwa wanayoiweza.

hawa nawafananisha na wanawake fulani siku moja walikuwa kwenye soko moja linaloitwa Bunge, mambo yalikuwa hivi;

Majina yanasomwa wanaokubali

Mwigulu Lameck Nchemba - Ndioooooooooooooooooooooooo
Wiliamm Vangimembe Lukovi - Ndioooooooooooooooooooooooooooo
Beatrice Shelukindi - Ndioooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
Freeman AIkael Mbowe - (wanawake wanaitikia MAANDAMANOOOO)
Zito Zuberi Kabwe - (WAnaitikia tena MAANDAMANOOO)
 
Tukisema ccm majanga, wakina simiyu yetu, thatha, hamy d hawatuelewi.
 
Shime watanzania tujiandikishe kupiga kura 2015 ili tungoe jino ili la mbele ambalo halina manufaa katika mdomo wetu.
 
Huo ndio unafiki dhahiri wa CCM!tarehe 19th august tuzizime simu zetu zote kwa saa 24,wape ujumbe na wengine

tulikutana kibongobongo tutaachana kibongobongo Zima ya kwako kwa mpango wako simu yangu ndiyo ofisi yangu halafu unaniambia Zima hapana haiwezekani.
 
Leo magazeti mengi yamebeba vichwa vya habari kuwa CCM inapinga tozo la simu la shilingi 100 kila mwezi kwa kila simu iliyosajiliwa. Kwangu mimi huu ni usanii, unafiki na hadaa kubwa kwa watanzania.

Naongea haya kwa sababu CCM, chama kilicho na wabunge wengi katika bunge letu ndio waliopitisha tozo hili, tena kwa kishindo wakati wa kujadili bajeti.

Tena katika kuonesha kuwa hawakuwa na dhamira ya dhati na walilenga kumkomoa mlipa kodi mtanzania, maamuzi ya kupitisha tozo hili katika simu zetu waliyafanya wakati watetezi wa watanzania, wabunge wote wa chadema walipokuwa katika msiba mkubwa wa wanachama wao waliolipukiwa na bomu jijini Arusha. CCM acheni unafiki kuwahadaa watanzania.


Mkuu SimbaMnyama Yanga Ndala hapo kwenye Red ni Sawa?
 
CCM wanaogopa Peoples power, ukizingatia kuwa Chadema wameanza kulivalia njuga sasa hawana jinsi zaidi ya kumtumia vuvuzela wao ili kutuhadaa kuwa wanawajali wananchi. kama kweli mnajali wananchi na sio maslahi yenu tu hebu wekeni wazi mikataba ya madini na gesi.....................wanafiki wakubwa. Chadema komaeni mpaka kieleweke.
 
Nape again, Hivi hawa MaCCM ni waji nga au hawajui majukumu yao. Bunge limetawaliwa na wabunge wa CCM, mawaziri wote ni wa CCM na serikali inatekeleza Ilani za CCM, kwa mantiki hiyo hiyo kodi ni Ilani ya CCM. Walishindwa nini kukubaliana kabla ya kupitishwa n Bunge lao? Kama Mwalimu angekuwepo, angewachapa viboko viongozi wote wa CCM kuanzia mwenyekiti wao
 
Tukisema ccm majanga, wakina simiyu yetu, thatha, hamy d hawatuelewi.
Mkuu acha kupotosha watu kama unakumbuka aliyeanzisha hii tozo huko bungeni ni zito tena alishupalia kweli halafu leo unajifanya huelewi somo.
 
chadema ndiyo wa kwanza kudai kodi hii iwepo tena mdee.
 
COM acheni Kejeri kwa Watanzania chukueni hatua sasa kwa kuondoa hiyo Kodi ya Sim Cards mara moja!!
 
Wakuu tatizo la cdm wanajitekenya na kucheka wenyewe wakiwa bungeni wanaanzisha mambo halafu wakitoka mitaani wanayapinga hawa jamaa vipi.
 
Mkuu acha kupotosha watu kama unakumbuka aliyeanzisha hii tozo huko bungeni ni zito tena alishupalia kweli halafu leo unajifanya huelewi somo.

Basi hata Chenge ni cdm na waliopitisha ni wabunge wa cdm
 
Kuna watu wanaichongea CCm kwa wananchi maksudi....haiwezekani wapitishe wao alafu tena waikate waotena...kuna mapandikizi ndani ya CCM

kwani nape ni mbunge au unataka kumaanisha nini.
 
Waiter lete Kinana baridiiii hapa, naona hawa wa....nge wa chama cha kijani wananizuga tu.
 
Back
Top Bottom