CCM sasa wakome kuteua wagombe Urais kutoka familia zenye njaa kali

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
10,827
4,172
hii itaepusha kuwa na Rais mwenye njaa anayeigeuza Ikulu yetu kuwa pango la walanguzi wa kihindi na kiarabu.

vinginevyo chadema tutachukua nchi soon.

nawasilisha.
 
Kila Mtanzania ana haki ya kuchagua na kuchaguliwa kiongozi bila kujali uwezo wa kifedha. Sasa kama Tanzania iko kwenye kundi la nchi maskini, wewe unataka watanzania wanaozidi 40 million waongozwe na watu wachache wenye pesa hata kama kichwani hazimo? Btw, hizo pesa walizipata kihalali au wamefisadi Watanzania kufika hapo walipofikia?

Mimi nadhani vigezo vya kuwa kiongozi viko kwenye Azimio la Arusha.
 
hii itaepusha kuwa na Rais mwenye njaa anayeigeuza Ikulu yetu kuwa pango la walanguzi wa kihindi na kiarabu.

vinginevyo chadema tutachukua nchi soon.

nawasilisha.

Very poor proposition. Sasa unataka aje Bill Gates ndiyo aongoze nchi? Hivi wewe unandhani Nyerere aliposhika nchi hii alikuwa tajiri. Tamaa haichagui tajiri wala maskini na kwa taarifa yako hata huko chadema hakuna tajiri. Sasa sijui unachosema hata huko chadema kwako kusiwe na mgombea maana wote wale ni wachovu!
 
hii itaepusha kuwa na Rais mwenye njaa anayeigeuza Ikulu yetu kuwa pango la walanguzi wa kihindi na kiarabu.

vinginevyo chadema tutachukua nchi soon.

nawasilisha.

Duhh, hasira zako ni kwa wahindi na waarabu na kikwete? Au sio?
 
hoja nzuri sana mkuu.
nashauri ujitahidi kwenye mchakato wa kuandika katiba mpya hiki kipengele kiongezwe...
sifa za mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
1.awe raia
2.awe na akili timamu
3.awe na umri ulifika miaka 40
4.awe na bilionea wa kutupa,utajiri wake usiwe chini ya billioni 500.
5.
6
7.
huu ndio uzuri wa kupata maoni ya wananchi
:juggle::juggle:
 
matajiri waliopata pesa zao kihalali.

wapo bana. tena wengi tu.

hakuna utajiri usio na dhuluma. pamoja na mambo mengine waliyonayo na wanayoyafanya, ndiyo sababu Yesu alimwambia tajiri kuwa ni vigumu sana tajiri kuingia mbinguni.

Suala la msingi, tunataka Rais Mwadilifu anayetanguliza mbele na kuheshimu maslahi na utashi wa watanzania na nchi kwa ujumla.
 
Urais ni kufuata taratiibu na miiko ya uongozi tu hata lowassa aweza kuwa tatizo ni hiyo miiko ataiweza
 
hakuna utajiri usio na dhuluma. pamoja na mambo mengine waliyonayo na wanayoyafanya, ndiyo sababu Yesu alimwambia tajiri kuwa ni vigumu sana tajiri kuingia mbinguni.

Suala la msingi, tunataka Rais Mwadilifu anayetanguliza mbele na kuheshimu maslahi na utashi wa watanzania na nchi kwa ujumla.

Kwa hiyo mengi yumo humo, Mbowe yumo humo, Slaa yumo humo, ndesapesa yumo humo. Hao wote niliowataja wana sifa ya utajiri, au?
 
Hapo ndugu yangu napingana na wewe, Kwani JK alikuwa na njaa wakati anaingia ikulu?
Haijalishi mtu anapesa kiasi gani, tabia ya mtu ndiyo inayomfanya awe kiogozi bora au la.

Kwa maana nyingine unataka pia kutuaminisha kuwa njia pekee ya kuhakikisha CDM hawachukui nchi ni kwa CCM kumsimamisha tajiri, jambo ambalo si kweli.
 
Kwa hiyo mengi yumo humo, Mbowe yumo humo, Slaa yumo humo, ndesapesa yumo humo. Hao wote niliowataja wana sifa ya utajiri, au?

ndiyo maana yake, lakini mbona humtaji lowasa, karamagi, kikwete, ridhiwani, rostam, wale vigogo wa ccm na serikali, unawataje wa CDM tu?
 
nadhani swala la mgombea wa nafasi ya uraisi kuwa na kipato au la ni jambo ambalo kimsingi linapasaw kuangaliwa kwa kina kwa sababu upande mmoja lina ukweli na upande wa pili halina mashiko sana. ninansema hivyo kwa sababu raisi wa nchi zenye chaguzi za nyama vingi kama tanzania inatakiwa pale anapoteuliwa na chama chake ateuliwe kwa misingi ya uwezo wa kufikiri na kutatua mambo kwa busara na vigezo vingine amabvyo ni muhimu kwa kiongozi kuwa navyo.

kama pesa ingekuwa kigezo kikubwa basi Obama leo asingestahili hata kugombea uganana marekani.
 
we! we! we!

unasemaje?

ati obama hana mpunga?

Obama ni gwiji wa kuandika vitabu na hiyo ni source yake moja wapo ya kipato.
 
hii itaepusha kuwa na Rais mwenye njaa anayeigeuza Ikulu yetu kuwa pango la walanguzi wa kihindi na kiarabu.

vinginevyo chadema tutachukua nchi soon.

nawasilisha.
Itaepusha pia kujaza mandugu na mashemeji na mawifi (wasio na uwezo kiakili) kwenye safu ya viongozi.
 
unaona eeeh?!

wote hao wanakuwa njaa kali, wanatumia kigezo cha ndugu yao kushika rungu kama cover ya kupewa ulaji kwenye sekta nyeti za serikali.
 
Back
Top Bottom