CCM Rukwa wapanga kuwadhuru Yamsebo, na Heche mapema (mitego yapangwa)

Wataua mmoja kumi watapenya,wataua kumi mia watapenya. Only time will tell.

Hafi mtu hapo, Mungu yupo nasi kila mbinu na hila wanazopanga zinavuja na hata zisizovuja Mungu anawaumbua wanapozitekeleza kama alivyowaumbua kifo cha Mwangosi.
 
sumbawaga haijafikia katika siasa za chuki namna hyo

RC wa Rukwa, Stella Manyanya ni mama ambaye hana busara kabisa na mtu aliyejaa chuki ya ajabu kwa vyama vya upinzani,hasa CDM,kwa hiyo haishangazi nikisikia kwa ushirikiano na wahuni wengine toka CCM kupanga njama za aina hii.
 
Mkuu FF,unajua huyu kilaza daraja la kwanza anadhani watz wote wana akili na ujinga kariba ya yule kada aliyemchukulia mke,wengine tuna kiwango kidogo sana cha uvumilivu!
 
RC wa Rukwa, Stella Manyanya ni mama ambaye hana busara kabisa na mtu aliyejaa chuki ya ajabu kwa vyama vya upinzani,hasa CDM,kwa hiyo haishangazi nikisikia kwa ushirikiano na wahuni wengine toka CCM kupanga njama za aina hii.

Masika yatamkuta bado hajalima wee mwache aendelee kiburi cha madaraka ya fadhira!
 
Huyo madilu anayeratibu mchezo mchafu dhidi ya heche na yamsebo ni yule wa drc au aliyefoji jina la kusomea ?
 
Haumjui heche!!kweli wewe ulistahili minyororo ile ya enzi zautumwa hufai kabisa kupunguziwa shida inatakiwa uongezwe mpaka useme....
 
Yamsebo namkumbuka sana huyu Baba alikuwa Headmaster wangu pale Kantalamba sec school,Mungu amsaidie kamanda yamsebo na makamanda wote walio s'mbawanga msipatwe na baya lolote!
 
Back
Top Bottom