CCM Rukwa wapanga kuwadhuru Yamsebo, na Heche mapema (mitego yapangwa)

Napenda kumtahadharisha Bwana Madelu kuwa Sumbawanga sio Igunga wala Ndago,jaribio lolote la kuwadhuru makamanda wetu litamaanisha yeye kupoteza uwezo wake kama mwanamume,kwa hili namaanisha na wala sio vitisho!
 
Napenda kumtahadharisha Bwana Madelu kuwa Sumbawanga sio Igunga wala Ndago,jaribio lolote la kuwadhuru makamanda wetu litamaanisha yeye kupoteza uwezo wake kama mwanamume,kwa hili namaanisha na wala sio vitisho!

Akisha kuwa hivyo Nepi atamfanyia kile alichowaahidi watu wa Mwanza kuwa atawatenda
 
Sisi tuko mbali nanyi ki mwili, ila kwa maombi tupo pamoja. Bwana ni mweza atawatangulia mbele.
 
Damu ya Kiongozi yeyote wa CHADEMA ikimwagwa wataona.Heche shirikiana na Vijana vizuri tuimarishe Red Brigade.Nakutakia kila la Kheri kamanda!
 
Acheni uoga. Nchi mtaiweza kweli kwa hali hii? Mara Bunduki anataka kuuawa leo yamsebo sijui katokea kaburi la wapi. Mbona mnapenda kuwatabilia wenzenu mabaya sana au ndo ukisha onja nyama ya binadamu huachi kunywa damu mbichii?
 
wakuu ni vyema kuchukua tahadhari pasipo kuogopa. nchi hii ni yetu sote , hakuna mwenye hati miliki ya utawala au miliki za utajiri wa nchi. kinachofanyika sasa ni 'intimidation' hili chadema isitishe m4c anayofungua macho yawaliyowengi; maskini na wasiyojiweza ambao kwa miaka mingi wamekuwa ndo mtaji wa watawala wa sasa.

Rai yangu kwa vyombo vya usalama vilivyo na dhama vitimize wajibu wake. kama haviteweza kufanya hivyo basi chadema isisite kijilinda yenyewe hili adhima yakuwakomboa wanyonge ikamilike.
 
Naamini kabisa hii habari maana mjumbe wa NEC kawaambia vijana wa CCM wavute bangi kama wendawazimu ili kupambana na nguvu ya CDM. Bahati nzuri hawa vijana wa CCM wako wachache kwa hiyo kazi ya kuwadhibiti ni rahisi
 
Napenda kumtahadharisha Bwana Madelu kuwa Sumbawanga sio Igunga wala Ndago,jaribio lolote la kuwadhuru makamanda wetu litamaanisha yeye kupoteza uwezo wake kama mwanamume,kwa hili namaanisha na wala sio vitisho!
Mtoto akililia uwembe mpe.Yakimkuta ndio atajua dunia inazunguka kuelekea wapi.
 
ndugu wanajamvi katika hali inayoashiria chama tawala kuanza kukoswa uvumilivu wa kidemokrasia na kuvumilia mitupo ya CHADEMA hapa rukwa eneo la MAZWI SOKONI vilifanyika vikao vya siri nzito baada ya shamra shamra kuanza mitaani na tetesi mbali mbali za wanachama na wapenzi wa CHADEMA kuanza kuandaa mapokezi ya mh NORBET YAMSEBO, ambaye inasemekana anaingia hapa leo akitokea DAR ES SALAAM ikawa ni kero kwa wanaccm ikaja taarifa ya pili kuwa msafara wa mh YAMSEBO utachagizwa na kiongozi mkuu wa vijana wa chama hicho( BAVICHA,) NDUGU JOHN HECHE,kitendo ambacho kimeongeza mlipuko na shamra shamra zaidi kikitasfiriwa kama ishara ya kiongozi huyo wa vijana wa chadema taifa kukubalika saana katika maeneo haya ya sumbawanga na rukwa kwa aina ya hotuba anazozitoa ikikumbukwa kuwa alikuwa hapa miezi michache iliyopita akilipua kashfa nzito ambazo ni kero kwa wanasumbawanga

WAKATI HAYO YAKIENDELEA KUNAKO CHADEMA NA KWA WAFUASI MBALIMBALI WALIOPANGA KUFANYA MAPOKEZI ENEO LA kijiji cha TAMASENGA, kata ya TITO huku upande wa pili inatakiwa viongozi hawa wachukue tahadhari kubwa wawapo safarini na wasipuuze
kwa maana viongozi wakuu wa serikali mkoani wafanyabiashara na wanaccm wakubwa hawajafurahia mahakama kutupilia mbali rufaa yao na mpaka sasa wamekuwa na vikao vingi vya kimkakati vinavyoratibiwa kwa karibu na mkuu wa mkoa ENG STELLAH MANYANYA,AESHY,VIJANA MBALIMBALI. chuki na hila ni sehemu ya agenda za siri zinazotakiwa kuratibiwa .Awali kulikuwa na mpango wa lori aina ya scania ama FUSO kuvamia na kusababisha ajali likilenga gari linaloaminika kutumika na Heche na Yamsebo!na hata hilo likishindikana kuna uwezekano mkubwa wa mkutano wa CHADEMA kuvamiwa ama kutokea fujo ya aina yoyote maana kuna kundi la vijana lilikuwa linaandaliwa kupigana katika msafara wa mapokezi ama hata kupigana wakiwa na muonekano wa taswira ya kama vijana wa chadema wakipigana wenyewe kwa wenyewe na hata kumdhuru mmoja ama wote kati ya viongozi walioambatana na msafara wa heche
zaidi ushauri wangu kwa haya niliyoyaona ni kwamba hali ya mipango hii bado naifuatilia ingawa kuna usiri mkubwa saana jamani hawa viongozi wanatakiwa kuwa makini saana na ratiba yao na program zote maana washika mpini wana mkao usioridhisha
source ni mimi mwenyewe

acha vitisho wewe.
 
Back
Top Bottom