CCM oneni aibu tazama hii nchi ilikotoka na mahali ilipo

Mimi sio UKAWA wala CCM, ila yatupasa tutafakari kwa kina. Pasi n shak yoyote ukiwa mwanachama wa chama cha siasa na kutaka chama chako kishike madaraka ni kwa sababu ya sera zake na mipango ya maendeleo. Sasa kwa hali inavyoonekana ni kwamba watu wanataka tu chama chao kiendelee kutawala bila kupima muda ambao chama kimekuwa madarakani n maendeleo tuliyoyapata. Kiukweli tuko nyuma saaana, tufahamu kwamba hata mlevi akitembea hatua tatu mbele kisha akarudi mbili nyuma atafika tu anakokwenda ila atachelewa mno.

Hatukatai na hatusemi CCM haijafanya kitu, tunachosema ni kwamba rasilimali tulizonazo na maendeleo tuliyonayo haviendani. Viwanda vimekufa, reli zimekufa, hizo barabara zinazopigiwa kelele zinaharibika kwasababu mizigo iliyotakiwa kusafirishwa na Treni inasafirishwa na malori.

Ila kwa akili za Watz na kuishabikia CCM bila kutafakari kwa kina sitoshangaa kuona wakishinda Oktoba 25.
 
Ethiopia ina vipaumbele vyake. Na Tanzania tuna vipaumbele vyetu. Usitake kutulazimisha tufanye kama wao. Kama hujisikii kuwa Mtanzania ni bora ukaenda huko

Vya kwenu ni vipi....manake mmefeli kila eneo
 
Nimsaidie nini? Najivunia kuwa mtanzania, na nitamchagua Magufuli fullstop.
Umelogwa akili wewe, na zimechukuliwa kichawi wanafanyia kampeni, ndio maana ukilala unaota unakimbiza mwenge wa kichawi wa UHURU.
 
Ethiopia ina vipaumbele vyake. Na Tanzania tuna vipaumbele vyetu. Usitake kutulazimisha tufanye kama wao. Kama hujisikii kuwa Mtanzania ni bora ukaenda huko

Sijui unafikiri kwa kutumia nini? au unajibu hoja kwasababu unahisi unawajibu wa kujibu! Kwahiyo vipaumbele vya Tanzania ni umaskini? kuishi gizani? vipaumbele vya Tanzania ni kukosa mikakati sahihi ya kutukomboa na huu umeme wa kijungu jiko ambao hauwezi kutufikisha kokote? Kama unakosa hoja usijibu hoja kwa kutumia nguvu kwani tunahitaji hoja za kujenga na siyo ubinafsi!
 
Tatizo La Watanzania Ni Kutaka Kulazimishwa Kustand Kwenye Position Na Sio Mtanzania Mwenyewe Kuamua Kwa Kupenda Na Kwa Uzalendo Kuitumikia Position Yake Aliyokuwa Nayo.Mf.Leo Hii Tunalalamika Ukosefu Wa Vyoo Mashuleni,lakini Tujiulize Wananchi Kwa Umoja Wetu,mtaani Tu Tukajikusanya Kweli Hatuwezi Kujenga Vyoo?We Dont Stand At Our Own Positions.Tunapotaka Serikali Itufanyie Kila Kitu Tunajirudisha Wenyewe Nyuma.Hata Akiingia Lowassa Still Kama Tusipobadilika Hatutaendelea Kamwe..
Kazi ya mwananchi ni kulipa kodi ya maendeleo, serikali inaleta maendeleo. Nchi zote zilizoendelea duniani wananchi hawajengi vyoo, hii model ya wananchi kujenga choo umeitoa kwenye nchi gani iliyoendelea. Mmelogwa mpaka akili zenu zinahamisha majukumu ya serikali kuwa ya wananchi.

Ndio maana ni Tanzania pekee ambapo watu wanatafuta maeneo, wanajenga holela halafu serikali inakuja baadae eti kujenga miundombinu. Model ni kuwa kwanza serikali inatafuta maeneo, inajenga miundombinu ya maji, barabara, simu, umeme na kujenga nyumba ndipo watu wanaingia kuishi, tembeeni duniani muone
 
Unaujua wimbo we're the world? Kina Michael Jackson waliimba kuichangia Ethiopia iliyokuwa inachanwachanwa na kusambaratishwa na njaa na ukame watu walikufa pamoja na mifugo hiyo ilitokea mwaka 1984 baada ya mpiga picha maarufu duniani Mohammed 'Mo' Amin pamoja na Michael Buerks kupiga picha za athari za njaa Ethiopia wasanii maarufu wa kimarekani na wazungu walijikusanya kutunga na kuimba huo wimbo kuichangia Ethiopia Kutokomeza femine kumbuka LIVE AID concerts.

Mo aliishi Tanzania baadae alihamia Kenya alifariki mwaka 1996 baada ya ndege aliyokuwa akisafiria ya Ethiopia Airlines kutekwa na kuanguka baharini.

Lleo miaka 35 baada ya ile njaa Ethiopia inazindua treni ya umeme sisi mwenge unazindua choo Tanga na abiria wanalala pugu kwa kukosa usafiri.

Just imagine! Ethiopia iliyokuwa na njaa mpaka inasaidiwa leo inajenga bwawa kubwa la kuzalisha nguvu za umeme linaitwa Grand Ethiopia Renaissance dam unajua kwa kutumia maji gani? ya mto Nile ambao chanzo chake ni ziwa Victoria lililopo Tanzania sisi tunalala gizani mgao wa umeme na tuna gesi.

Alafu magufuli anatuambia atatoa computer kila shule wakati kuchimba tu vyoo ni mziki.

Just imagine leo unakuja kuniambia ccm hoyeee! eti Lowassa fisadi ukiichagua CCM unatakiwa ukapimwe akili!

Mmmmh maneno ya kweli,juzi juzi tu Ethiopia imezindua Treni ya umeme (metro)ili kupunguza msongamano na kurahisishia usafiri kwa raia wake, ni treni ya aina ayake katika nchi za Afrika chini ya jangwa la sahara
eth treni.jpg
 
Unaujua wimbo we're the world? Kina Michael Jackson waliimba kuichangia Ethiopia iliyokuwa inachanwachanwa na kusambaratishwa na njaa na ukame watu walikufa pamoja na mifugo hiyo ilitokea mwaka 1984 baada ya mpiga picha maarufu duniani Mohammed 'Mo' Amin pamoja na Michael Buerks kupiga picha za athari za njaa Ethiopia wasanii maarufu wa kimarekani na wazungu walijikusanya kutunga na kuimba huo wimbo kuichangia Ethiopia Kutokomeza femine kumbuka LIVE AID concerts.

Mo aliishi Tanzania baadae alihamia Kenya alifariki mwaka 1996 baada ya ndege aliyokuwa akisafiria ya Ethiopia Airlines kutekwa na kuanguka baharini.

Lleo miaka 35 baada ya ile njaa Ethiopia inazindua treni ya umeme sisi mwenge unazindua choo Tanga na abiria wanalala pugu kwa kukosa usafiri.

Just imagine! Ethiopia iliyokuwa na njaa mpaka inasaidiwa leo inajenga bwawa kubwa la kuzalisha nguvu za umeme linaitwa Grand Ethiopia Renaissance dam unajua kwa kutumia maji gani? ya mto Nile ambao chanzo chake ni ziwa Victoria lililopo Tanzania sisi tunalala gizani mgao wa umeme na tuna gesi.

Alafu magufuli anatuambia atatoa computer kila shule wakati kuchimba tu vyoo ni mziki.

Just imagine leo unakuja kuniambia ccm hoyeee! eti Lowassa fisadi ukiichagua CCM unatakiwa ukapimwe akili!

Kilosa pua na mdomo na Makao Makuu ya CCM na Serikali kuna shule ina Mwalimu mmoja tu (Taarifa ya habari ITV jana 04.10.2015) Sasa najuliza je ni uzembe,kutokujua ama ni kuwapuuza wapiga kura?.Ahadi za elimu bure mpaka kidato cha nne ina maana gani kama kuna shule yenye Mwalimu mmoja tu?????Kijiji cha Liuni huko Ruvuma hakina shule na Serkali haina hata mpango.Wanakijiji wakaamua wajikusanye wajenge shule ya miti.Baada ya ITV kurusha habari ile ndio Viongozi wakaenda kwa mikwala miiingi eti hawana kibali...Wananchi kwa nini mnaing'ang'ania CCM???????????????????????????
 
Huyu mtoa mada atueleze niwatz wangapi waliwahi au wamewahi kukutwa wamepakiwa kwenye makontena wanakimbia hali mbaya ya kiuchumi.
Yaani watanzania hata kujua kuna nchi zingine bora kuliko yao hawajui wao wanadhani Tanzania ndivyo inavyotakiwa iwe hivyo, hapo ndio ujue tulivyo kula hasara kwenye fikra kwanza, na culprits ni CCM.
 
Ethiopia ina vipaumbele vyake. Na Tanzania tuna vipaumbele vyetu. Usitake kutulazimisha tufanye kama wao. Kama hujisikii kuwa Mtanzania ni bora ukaenda huko

Vipaumbele vyetu ni Umasikini, kukosa elimu, kukosa maji etc... ???
 
Ethiopia ina vipaumbele vyake. Na Tanzania tuna vipaumbele vyetu. Usitake kutulazimisha tufanye kama wao. Kama hujisikii kuwa Mtanzania ni bora ukaenda huko

Kweli nyie ndio misukule ya ccm si ajabu sana kwa wewe kutoa comment hii. Sasa inamaana sisi umeme na maji si kipaumbele?
 
Unaujua wimbo we're the world? Kina Michael Jackson waliimba kuichangia Ethiopia iliyokuwa inachanwachanwa na kusambaratishwa na njaa na ukame watu walikufa pamoja na mifugo hiyo ilitokea mwaka 1984 baada ya mpiga picha maarufu duniani Mohammed 'Mo' Amin pamoja na Michael Buerks kupiga picha za athari za njaa Ethiopia wasanii maarufu wa kimarekani na wazungu walijikusanya kutunga na kuimba huo wimbo kuichangia Ethiopia Kutokomeza femine kumbuka LIVE AID concerts.

Mo aliishi Tanzania baadae alihamia Kenya alifariki mwaka 1996 baada ya ndege aliyokuwa akisafiria ya Ethiopia Airlines kutekwa na kuanguka baharini.

Lleo miaka 35 baada ya ile njaa Ethiopia inazindua treni ya umeme sisi mwenge unazindua choo Tanga na abiria wanalala pugu kwa kukosa usafiri.

Just imagine! Ethiopia iliyokuwa na njaa mpaka inasaidiwa leo inajenga bwawa kubwa la kuzalisha nguvu za umeme linaitwa Grand Ethiopia Renaissance dam unajua kwa kutumia maji gani? ya mto Nile ambao chanzo chake ni ziwa Victoria lililopo Tanzania sisi tunalala gizani mgao wa umeme na tuna gesi.

Alafu magufuli anatuambia atatoa computer kila shule wakati kuchimba tu vyoo ni mziki.

Just imagine leo unakuja kuniambia ccm hoyeee! eti Lowassa fisadi ukiichagua CCM unatakiwa ukapimwe akili!

Word Brother!.
 
Ethiopia ina vipaumbele vyake. Na Tanzania tuna vipaumbele vyetu. Usitake kutulazimisha tufanye kama wao. Kama hujisikii kuwa Mtanzania ni bora ukaenda huko

Hata kama kipaumbele chenu ni wachina unadhani hali hii ni sawa ?
 
Attachments

  • attachment-13.jpeg
    attachment-13.jpeg
    11.6 KB · Views: 60
  • attachment-14.jpeg
    attachment-14.jpeg
    8.1 KB · Views: 62
Back
Top Bottom