CCM nyaya zimegusana

Hiyo inaitwa....Gusanisha......nyama kwa nyama Gusanishaaa - mama weweeeeee
 
wajumbe watu hataree sanasanaa
Cc
sheikh yahya hussein
Rip
 
Fanyeni masihara yenu mpaka mama asuse aseme bora tukose wote anatupitishia rasimu ya katiba ya warioba anawachia tanganyika yenu ikiwa ktk mikono ya upinzani anakwenda kugombea kwao Zanzobar 🤣
Vyovyote iwavyo......we need peace, love and development for our country men
 
Usikute mama wa watu hata Hana Matatizo shida ni walio muweka hapo ktk siasa unaweza kumuona Kiongozi wa nchi ana nguvu kumbe waliopo nyuma yake ndio wenye nguvu zaidi yake na Wana mtisha kuwa akiachia madaraka wata muua yeye au Kizazi chake au watamfilisi ,


So sad 😢 to her
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…