Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Ndiyo hivyo CCM inaongoza Tanzania na itaendelea kuongoza Tanzania kwa miaka 50 mingine ijayo hilo halina ubishi, na sababu ni kama vile British Monarchy mpaka leo hii bado inatawala Makoloni yake kwa kupitia British Commonwealth chini ya Malkia Elizabeti, Ufalme ule ule uliokuwa unatawala moja kwa moja sasa umejibadilisha ukatoa Uhuru wa Bendera na kuja kivingine!
Sasa ufanano na CCM unaingiaje? CCM tofauti na vyama vingine Afrika inabadilika kulingana na wakati, yaani pale ambapo watu wanafikiri wameichoka inakuja kivingine, inafanya reforms kusahihisha makosa na kujizaa upya, na hiki ndicho kinachoiweka CCM hai, siyo kingine!
Vile vile CCM tofauti na Vyama vingine ina demokrasia kubwa sana ingawaje ina mapungufu lkn bado ni kubwa, hakuna kuhodhi madaraka, kila kitu kipo wazi kwamba uchaguzi unafanyika lini na wapi, Mwenyekiti anapatikanaje na anaweza kuondolewa vipi kama ikibidi, kuna ukomo wa Uongozi hayo ndiyo moja ya mambo ambayo yanaifanya CCM isimame!
CCM ilianzia na ,,kujivua Gamba" baadhi walifikiri ni usanii lkn kuna kikubwa sana kilichokuwa kimejificha nyuma yake nacho ni reforms ambazo sasa zinnatekelezwa, walianza kupiga chini Mafisadi, Ufisadi ambao ndiyo ilikuwa moja kati ya kero KUU ya Watanzania leo hii ukimuuliza Mtanzania yoyote yule Je Ufisadi umepungua, umebakia vile vile au umeongezeka? Jibu liko wazi!
Sasa wameingia kwenye kureform Chama.
CCM ready for reforms!