CCM nao kufanya Mkutano Jangwani jijini Dar Jumamosi hii 09-June-2012.....

Hata kama wa2 watakua wengi kwenye mkutano haimaanisha nyinyiemu inapendwa, watatafuniwa pesa, na kuwalisha...wataishia 0 2015...CDM kufa nakuzikana
 
nyinyiem ha mnataka kufanya mkutano pale cdm square poa fanyeni na wali uwepo kwa wingi sana
 
CCM nao wameamua kufanya mkutano Viwanja vya Jangwani jijini Dar jumapili hii ili kushindana na Chadema, kwani wengi wa wanachama wao wamelalamika sana kuona Chadema imejaza watu sana kwenye mkutano wao wa M4C wiki iliyopita.

Je, wana JF hili limekaaje la Chama cha Mapinduzi kutaka kushindana na CDM?

Yasemekana mkutano huo utahutubiwa na Mwenyekiti wa Chama chao yaani J.K mkuu wa nchi.

Tunaelekea wapi?

Nawasilisha.

Nafasi ingine tena ya kuchukuwa buku mbili mpaka kumi. Nawashauri vijana waikatae, wavae na hizo tshirt na kofia ila mioyoni mwao wanajua walipo.
Wasiachie hizo pesa ni kodi zao.!!!!
 
Wakuu ahsanteni sana kwa habari nzuri kama hii! Itanibidi nifanye booking ya bus mapema maana nipo mbali na Dar ili hiyo siku ya jmosi nifike hapo dar kwenye uwanja wa CHADEMA SQUARE nile wali na pilau vya kutosha maana kuna siku sijapiga kipunga du....
MAGAMBA YA KOBE OYE............

Kwa kweli hawa JAMAA WAMEISHIWA... hawana jipya imebaki kugeza tu... Halafu walivyo wabaya Nape alikuwa kijana mwenye disa nzuri wameiua sasa hivi amekuwa kuwa vuvuzela tu,,, usiende kuna kipunga chao bana hawakawii kutia mafuta ya mamba ili watu waendelee kuwa mazoba...!!!!!!!!!
 
ccm nao wameamua kufanya mkutano viwanja vya jangwani jijini dar jumapili hii ili kushindana na chadema, kwani wengi wa wanachama wao wamelalamika sana kuona chadema imejaza watu sana kwenye mkutano wao wa m4c wiki iliyopita.

Je, wana jf hili limekaaje la chama cha mapinduzi kutaka kushindana na cdm?

Yasemekana mkutano huo utahutubiwa na mwenyekiti wa chama chao yaani j.k mkuu wa nchi.

Tunaelekea wapi?

Nawasilisha.


sawaaaa kabisaaaaaa lazima magamba wajiandae kuwa wapinzani wazuri mwakani kwa kuwa hawana jipya ila ni kuiga na kuga na kuiga hiyo ni tabia ya wasiokuwa wabunifu ama watoto wadogo.
Brain yao imechoka jamani wanahitaji msaada.
 
Wacha wapime wapo nafasi ipi?maana itabidi wapige hesabu idadi ya watu wote waliohudhuria,kisha watoe watu walio wahudumia pesa,msosi,usafili na mambo mengine.Ibaki idadi ya watu walioenda kwa mapenzi yao jibu watalipa tu.
 
Wakitaka wajitathimini wasisombe watu kwenye fuso, coaster, hiace n.k wawaache waje wenyewe waone.
 
tulianzisha vua gamba vaa gwanda wameiga kwa vua gamba na gwanda vaa uzalendo
tumefanya mkutano cdm squire nao watafanya hapo hapo na wao wataita waoem squired
endeleza mambo wanayoiga

Kuna wana-CCM wanadai kuwa nchi hii inaongozwa na CDM na ati JK anatekeleza sera za CDM.
Labda kunaukweli fulani.
 
CHADEMA is a leader; CCM follower! Ha ha haaa. Hiki chama cha magamba lazima kizikwe miaka michache ijayo.
 
Nape njoo tupe uenezi, kuna wanachadema wangapi wanarudisha kadi na kuvaa magamba? Ccm bana mnaruka na kukanyagana tu hamjui la kufanya, mbele moto, nyuma moto, kusin moto, masharik moto, kaskaz moto na magharib moto mnataman ardh ipasuke mwaka huu mnalo.....
 
nchi inaongozwa na mswahili hii. mtakoma, bado miaka mi3 mbele.
mswahili ni yule ambaye lugha yake ya kwanza ni kiswahili....matendo mabaya hayana kwao, wamesema wahenga...kk wewe ni mzungu? mwarabu? muhindi? au mchina?....jikwamue kutoka utumwa wa kimawazo...jiamini mswahili...!
 
ccm inaendeshwa sana na CDM, nape naye yuko huko kusini anafuatilia nyuma.
 
Back
Top Bottom