CCM nao wameamua kufanya mkutano Viwanja vya Jangwani jijini Dar jumapili hii ili kushindana na Chadema, kwani wengi wa wanachama wao wamelalamika sana kuona Chadema imejaza watu sana kwenye mkutano wao wa M4C wiki iliyopita.
Je, wana JF hili limekaaje la Chama cha Mapinduzi kutaka kushindana na CDM?
Yasemekana mkutano huo utahutubiwa na Mwenyekiti wa Chama chao yaani J.K mkuu wa nchi.
Tunaelekea wapi?
Nawasilisha.
Chadema mara zote ni kiongozi,,,,wameenda kwenye kambi zao huko kusini naomba ccm waje kanda ya kaskazini wafanye mikutano hasa arusha,,,,,
Kumbe kufanya mikutano ni exclusive right ya CDM, vyama vingine visifanye.
Kumbe kufanya mikutano ni exclusive right ya CDM, vyama vingine visifanye.
Kuna MALORI mangapi kwenda kusomba watu mikoani kwa ajili ya huo mkutano?? M-agesti hausi yatakavyojaa jijini kati ya tarehe 7 na 14 kwa ajili ya mkutano wa CCM hiyo mwenzenu sipati picha.