Interested Observer
--------------------------------------------------------------------------------
Kada,
Muda si mrefu kule BCSTIME halafu hata hapa tulimbishia mambo mengi sana Mzee ES, kuwa outspoken, malicious lies etc etc; lakini baadaye naweza kusema, 90 percent ya yale aliyoyasema yamekuwa ni kweli. Mojawapo ni mtandao, Mkapa alivyoiba/ufisadi, etc etc! Kwa Tanzania ya leo everything/anything is possible!
Mkuu IO,
Heshima mbele mkuu, muda wa kubishana na mtu yoyote kuhusiana na dataz, sina tena siku hizi, BCS niliposema kuhusu barua ya Butiku, kwa Mkapa nafikiri unakumbuka yale matusi, halafu nilipotabiri kuhusu uwezo mdogo wa Mtandao kisiasa, licha ya uwezo mkubwa kipesa, nafikiri unakumbuka yale matusi niliyorushiwa, niliposema seriklai ya Muungwana, itakuwa ya kishikaji sana unakumbuka yale matusi niliyoporomoshewa,
Sasa what do we do? As long as tunaamini tunayosema ni ya kweli na tulishajifunza siku nyingi kuwa wananchi wengi hapa huwa hawana hizo info, ingawa ni mashujaa wa kujifanya wanajaua kama kawaida yetu wabongo, sisi ni kuendelea kumwaga vitu, kuna wenye common sense hufuatilia na kuzipata hatimaye, na kuna wenzangu na mimi,
Ninasema kuwa tutaendelea kutoa dataz hapa forum, bila uoga wala wasi wasi, Unajua Admin, ana maneno yake chini yanayosema "Ficha Upumbavu Wako" huwa ninayaheshimu, sina mpango wowote wa kumlazimisha kuamini dataz, maana tumeona ya kutosha hapa forum, ndio maana Mchambuzi, kidogo aiteke hii forum na kutuaminisha kuwa Lowassa anafaaa kuwa next president, kuna walioanza mpaka kukubali kuwa ansema ukweli, mpaka wenye dataz tulipoanza kumkaba koo ndio akajiondokea, kwa ustaarabu!
Kuwepo hapa forum kwetu wengine ni committment, na sio kuja ku-hang out tu, na kusindikiza wengine, kwa wale tunaojua safari za maisha, ni kwamba siku zote ni lazima bin-adam uanzie somewhere, na hapa forum ni one of the places pia,
dataz tutaendelea kuzitoa regardless of what, hakuna anyelazimishwa kuamini, nafikiri uliiona ile article against Dr. Slaa ambayo juzi almost kwa kauli moja hapa forum tuliikataa kuwa ni ujinga mtupu, WHY? Ni kwa sababu huwezi kuzipikz dataz zikaonekana kuwa ni kweli, hapana uongo huonekana toka asubuhi kuwa ni uongo, ingawa kuipinga kwangu ile article so far kunaniletea mashambulizi sana hapa forum maana kuna niliowaudhi kwa kuikataa ile article ya uzushi against DR. Slaa, mimi sina noma maana ninaujua mchezo wa siasa kwa kina, na ni mchezo ninaoupenda tena sana,
Kwa hiyo wakuu tutaendelea bila ya wasi kukata ishus na kumwaga dataz, asiyetaka ni kubadili channel tu! Now lets get on with more
dataz....
....The dataz, ni kwamba Makamba hamtaki Kigoda, kwa hiyo akaenda Tanga na kuzunguka mkoa mzima, akiwataka wenyeviti wa CCM wa mikoa na wilaya, kutomsaidia na kwamba Muungwana, ndiye aliyemtuma wampigie mgombea mwingine, kwenye kikao cha juzi cha siri Dar cha CC, ni ishu iliyoleta mzozo ndani huko mpaka ikabidi Muungwana, kumpigia simu huyo mgombea anayepingana na Kigoda, na kumtukana mbele ya wajumbe kuwa aache mara moja huo ujinga maana the last thing Muungwana alisema hataki ni ugomvi na Kigoda, na akamuonya Makamba mbele ya wajumbe hao kuwa he is fed up na ujinga wake na kwamba he can't wait kumg'oa..!
Ahsante wakuu na we will never stop!