CCM na mkutano Temeke mwisho

........................................hoja yake nyepesi yan watu wengine bwana mdogo
 
Hadithi miaka 50?
 
Maisha bora kwa kila mtanzania.....tumepigika haswa tunawasubiria 2015
 
Nyomi itoke wapi..?Nimetuma picha nashangaa hawajaweka mpaka sasa.. Au mwenye bbm au vper au whtsapp naweza kumtumia picha.. Just pm me..

kuiga kubaya sana vipi na wao wamegawa kanda?
 
''Nyomi'' hii ina sifa kuu tatu 1. Watu wamekatishwa tamaa, mikono miukoni, wengine nyuma 2. Angenda imebadilika, badala ya ''maisha bora'' imekuwa CHADEMA 3. Mgeni rasmi Nape, mtu muoga kupita kiasi ndio kaletwa kuwatia watu ujasiri
 
Mpiga picha kachukua umati mdogo au ndo wote waliokwepo?
Yaani Nape awepo,Maghembe n.k halafu umati ndo huo?
 
Hivi huu ulikuwa mkutano wa kuiongelea CDM tuu au ulikuwa wa kuongelea matatizo ya wananchi
Wana temeke nafikiri wana mambo mengi ya kushughulikia na matatizo yao ni mengi hivi walipaswa waje waelezwe ubaya au uzuri wa cdm au juu ya matatizo yao na chama ambacho kinaunnda serikali
Au nyie mnaoreport mnareport kimakosa maana naona toka mwanzo ni cdm na watu wake mara sijui ya kikanda mara sijui Mbowe kafanya hivi mara Slaa kafanya hivi mara Mnyika mwongo
Sasa hizo kweli ndo wananchi wanataka kusikia au ni utatuzi wa kero za maisha yao
 
Wanajua fika kuwa ni propaganda hatari ambayo madhara yake ni kwa taifa, lakini bado wanaitumia tu. Madhara yake yatawarudi.
 
kuiga kubaya sana vipi na wao wamegawa kanda?

Niliona gari moja ikiwa na bendera na skafu... Ila ninasema ukweli kabisa nilibahatika kumuona mtu mmoja tu akinunua bendera na kujifunga.. Kanda sikuona kabisa..
 
Mtela Mwampamba
Karibuni temeke mwisho ccm oyeeeeeeee
Karibuni temeke mwisho ccm oyeeeeeeee
 
Write a comment...

Options
Mtela Mwampamba
LEO CCM WAMEMPOKEA ALIYEKUWA SEKRETARI WA DR.SLAA (SWAUMU) AMETOA USHUHUDA NAMNA ALIVYOAMUA KUIACHA CHADEMA KWA SABABU YA KUMNYIMA PENZI DR.SLAA
DR.SLAA ALIKUWA ANAMFORCE KUFANYA MAPENZI OFISINI,ALIPOMNYIMA AKASIMAMISHWA KAZI NA MSHAHARA UKAKATWA.

AMELIA SANA NAMNA ALIVYOKUWA NA FUNGIWA OFISINI NA KULAZIMISHA AMPE PENZI KWENYE OFISI YA KATIBU MKUU...
SHETANI NI SHETANI,HUWEZI ---- KIONGOZI KWA KUIBA WAKE ZA WATU NA SASA UNAHARIBU FUTURE ZA VIJANA KWA KUWALAZIMISHA WAKUPE PENZI NA UZEEE HUOOO...
AMEKABIDHI KADI YA CDM MBELE YA JOPO LA VIONGOZI WA CHAMA MAKINI CCM HUKU AKIAPA KUTORUDI NYUMA.
HONGERA SWAUMU KWA KUTAMBUA KUWA CDM SIO CHAMA NI GENGE LA WAHUNI,POLE KWA YOTE,ALIMSHINDA ROSE KAMILI,AKAKIMBILIA KWA HAWARA(JOSEPHINE) LEO ANAKIMBILIA KWA MTOTO KAMA WW AMBAYE NI SAWA NA BINTI YAKE YULE ALIYEOLEWA NA DADY IGOGO
 
[h=5]hahahaaaaaa padri huyo...mzinzi na kusukari chake

[/h]

Mtela Mwampamba
KADA WA UKWELI(BINTI KOMANDO) AKIWA NA ALIYEKUWA SEKRETARI WA DR.SLAA (KATIBU MKUU WA CHADEMA) SAUM KISENA WA MWISHO KULIA..AMEHAMIA CCM LEO BAADA YA KUTIBUNA NA DR.SLAA KWENYE MAPENZI,DR.SLAA ALIKUWA NAMLAZIMISHA BINTI HUYU AMPE UNYUMBA

sosi....mwampamba facebook page
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…