CCM na Magufuli mmejifunza nini?

CCM na Magufuli mmejifunza nini?

Usiwasemee watu wewe ! Hauko mioyoni mwa watu! Hivi mikutano ya JPM ulikua huioni ? Kila kona alikokua anapita watu walijaa barabarani na kwenye mikutano kumsikiliza alafu! Unasema sehemu kubwa walikua wanamkubali TL kwa Vigezo vipi? Au humu Jf? Mjifunze kuficha aibu basi! Tatizo lenu mnadhani kura zinapigwa humu jf ! Tanzania bado hakuna Upinzani imara uliojijenga kitaasisi wa kuitoa CCM ,hakuna!

Ni lini mwizi huwa anakubali kama kaiba??!!, labda wewe uwe ni mwizi wa kwanza kukubali.

CCM ilikupa sh ngapi kwenye uchaguzi uliopita??, kuhonga na kuchakachua ndiyo biashara yenu.
 
Kuna siku tulikutana na kada mmoja wa CCM kuna mtu akamchokoza kuhusu uchaguzi jamaa ghafla akaanza kutokwa na povu kwa kusema "alitaka kuuza nchi yule habari zake zote tunazo"

My take: wanajua wameiba lakini hawana guilt kwakuwa wameaminishwa walikuwa wanapambana na mabeberu!

Shame!
 
Wabandike matokeo vituoni .Mi nimejifunza kumbe CCM ndio wezi tu na ingekuwa wanapania maendeleo kama uchaguzi Tz ingekuwa Toronto kwa kweli ila sasa busy na vitu vya ajabu huku viwanda vinakufa vyenyewe nk
 
Mleta mada, operesheni unayowasifia iDARA ni kuvuruga haki ya wananchi kupata viongozi wake kupitia sanduku la kura?
Hakuna uzalendo hapo bali ni usaliti wa viapo vyao na ni aibu yao, wamekosa uhalali kuwa usalama wa Taifa, bali wamekuwa usalama wa genge la watu wachache kwa maslahi binafsi!
Kuvuruga chaguo la wananchi ni sawa na mapinduzi ya kijeshi tu, ni uhaini!
 
Ni lini mwizi huwa anakubali kama kaiba??!!, labda wewe uwe ni mwizi wa kwanza kukubali.

CCM ilikupa sh ngapi kwenye uchaguzi uliopita??, kuhonga na kuchakachua ndiyo biashara yenu.
Naona umepanic sasa! Haya Lissu alimshinda magufuli! Tar 28 yeye ndie Rais wa nchi hii ,Umefurahi sasa!
 
CDM wakiamua kuiua haichukui hata mwaka inasambaa yote amini kwamba.... Kwa upinzani huuuu haihitaji hata akili nyingi kuiua

Kuia wanaweza sana, ila kutufanya sisi wafuasi wenye mtazamo tofauti kuwakubali ccm ni ngumu. Hivi unadhani hawajaamua, waliamua muda mrefu sana, ila ugumu hata hao wanaowabeba wananchi wameshawachoka. Kwahiyo imebaki kushurutisha watu kutawaliwa na ccm. Rejea idadi ndogo sana ya watu waliojitokeza kupiga kura.
 
Wengi ambao hawajapiga kura wanasema hata wakipiga mambo ni yale yale. Wanatamani mabadiliko ila hawaamini sanduku la kura
 
Salaam....

Niseme tu kama kuna uchaguzi wa kibabe kuwahi kutokea basi ni huu. Ni mwaka huu ndo nimeiona IDARA ikitoa funzo kubwa sanaaa kwa CCM na baba mkuu...

Wengi mtabeza ila ukweli ni kwamba hii naweza kuita oparation kubwa IDARA kuwahi kuifanya pamoja na kwamba imejaa udhaifu ila imefanikiwa kwa 100%
CCM chunguzeni mchakato wenu wote wa ndani mtagundua hawa watu walikua all over your places wagombea wote waliangaliwa na kufanyiwa tathimi na hawa jamaa CHAMA ilikuwa ni kukamilisha taratibu tu.

Mtakao beza hizi jitihada shauri enu ila haya ni maoni yangu.

1. Labda Ilihitajika namna na kumuonesha mkuu na chama kwamba kuna watu wakiamua kitu lazima kiwe na kwamba yeye na chama wapo pale kwa sababu kuna watu wametaka wawepo kiburi na jeuri si kitu kwao na wakiamua wanaweza kuwaondoa pia.

2. Labda ni mpango wa kuingiza siasa mpya nchini kuelekea 2025 kupata wapinzani wa kweli na sio tuliowazoea mana tayri walikosa madoa ya uzalendo kwa nchi na amini kwamba huu ndio ukweli CHADEMA kuruhusu LISSU kugombea kiusalaMA lilikua kosa kubwa hasa kwa aina siasa za LISSU.

3. Kama wasingekua hawa watu Lissu asingemaliza kampeni zake na hili wengi watalikataa ila ndo ukweli mchungu hawa watu walimuhakikishia Lissu ulinzi wote na siku zote hawakutaka kabisa aguswe.. so walijua wanaenda kumuulia wapi.

4.Siasa ni hesabu na kuna watu wanazicalculate usiku na mchana usishangae hesabu za mwaka huu zikawa kuidhoofisha CCM miaka 10 ijayo ikiwa n pamoja na kuibua chama kipya achenye ushawishi kwa wananchi mana upinzania wa sasa unamadhaifu mengi kimfumo.

5. Kama CCM inahisi bunge ni lao wanakosea hawa watu wapo kila kona ya bunge na msishangae ukatokea mvurugano mkubwa bungeni kuhakikisha utendaji unakamilika.

CCM na MKUU haya ni yangu hawa watu wapo kila mahali na wanaweza kufanya lolote muda wowote bila kujali yoyote ila maslahi ya usalama wa nchi. Huu mziki CCM wameucheza bila wao kujua madhara yake kifuatacho mimi na wee tuwape muda walioplan huu mchezo hafi mwisho na kama waliuplan bila kujipanga TUMEKWISHA.
Hizi theories zenu za kipuuzi zinakera sana
 
Tulichojifunza ni kwamba CCM 'inapendwa' na Watanzania hadi na Mola / Maulana na kwamba 'Watanzania' wanataka Rais Magufuli atawale Milele.
 
Hizi theories zenu za kipuuzi zinakera sana
Sijui wanatoa wapi huu upuuzi? Yanaanzisha nyuzi za ajabu ajabu tu daily! Yaani ni kero humu. Yanajifanya yako theoretical and proffesorial lakini ni idiots tu.
 
Mkuu ule mfano wa jana kukata kimba pale kariako afu unajikausha as if nothing happened uliniacha hoi!!
Nami niliupenda. Unakata gogo kariakoo mchana kweupe alafu una act hakuna aliyekuona.Ccm kweli wameishiwa. Hakuna cha system kusimamia mchezo, huu ni ulafi tu wa jiwe na wapambe wake wasio na blan b wakiwa nje ya madaraka.
 
Usiwasemee watu wewe ! Hauko mioyoni mwa watu! Hivi mikutano ya JPM ulikua huioni ? Kila kona alikokua anapita watu walijaa barabarani na kwenye mikutano kumsikiliza alafu! Unasema sehemu kubwa walikua wanamkubali TL kwa Vigezo vipi? Au humu Jf? Mjifunze kuficha aibu basi! Tatizo lenu mnadhani kura zinapigwa humu jf ! Tanzania bado hakuna Upinzani imara uliojijenga kitaasisi wa kuitoa CCM ,hakuna!
Mikutano yake watu walihongwa, watumish walilazimishwa, wanafunzi, watoto, wengine ealisombwa

Magu hapendwi kabisa
 
Kuna mtu lazima afe kwa sonona! Hatachukua round huyu!
Na vile hawezi survive bila air conditioner. Sijui kama mwaka utapinduka kabla ya kuimba bwana alitoa, na bwana ametwaa. Kwanza tangu tumepata uhuru hatujashusha bendera kwa wa ikulu, kwa Mungu mjomba wetu?
 
Salaam....

Niseme tu kama kuna uchaguzi wa kibabe kuwahi kutokea basi ni huu. Ni mwaka huu ndo nimeiona IDARA ikitoa funzo kubwa sanaaa kwa CCM na baba mkuu...

Wengi mtabeza ila ukweli ni kwamba hii naweza kuita oparation kubwa IDARA kuwahi kuifanya pamoja na kwamba imejaa udhaifu ila imefanikiwa kwa 100%
CCM chunguzeni mchakato wenu wote wa ndani mtagundua hawa watu walikua all over your places wagombea wote waliangaliwa na kufanyiwa tathimi na hawa jamaa CHAMA ilikuwa ni kukamilisha taratibu tu.

Mtakao beza hizi jitihada shauri enu ila haya ni maoni yangu.

1. Labda Ilihitajika namna na kumuonesha mkuu na chama kwamba kuna watu wakiamua kitu lazima kiwe na kwamba yeye na chama wapo pale kwa sababu kuna watu wametaka wawepo kiburi na jeuri si kitu kwao na wakiamua wanaweza kuwaondoa pia.

2. Labda ni mpango wa kuingiza siasa mpya nchini kuelekea 2025 kupata wapinzani wa kweli na sio tuliowazoea mana tayri walikosa madoa ya uzalendo kwa nchi na amini kwamba huu ndio ukweli CHADEMA kuruhusu LISSU kugombea kiusalaMA lilikua kosa kubwa hasa kwa aina siasa za LISSU.

3. Kama wasingekua hawa watu Lissu asingemaliza kampeni zake na hili wengi watalikataa ila ndo ukweli mchungu hawa watu walimuhakikishia Lissu ulinzi wote na siku zote hawakutaka kabisa aguswe.. so walijua wanaenda kumuulia wapi.

4.Siasa ni hesabu na kuna watu wanazicalculate usiku na mchana usishangae hesabu za mwaka huu zikawa kuidhoofisha CCM miaka 10 ijayo ikiwa n pamoja na kuibua chama kipya achenye ushawishi kwa wananchi mana upinzania wa sasa unamadhaifu mengi kimfumo.

5. Kama CCM inahisi bunge ni lao wanakosea hawa watu wapo kila kona ya bunge na msishangae ukatokea mvurugano mkubwa bungeni kuhakikisha utendaji unakamilika.

CCM na MKUU haya ni yangu hawa watu wapo kila mahali na wanaweza kufanya lolote muda wowote bila kujali yoyote ila maslahi ya usalama wa nchi. Huu mziki CCM wameucheza bila wao kujua madhara yake kifuatacho mimi na wee tuwape muda walioplan huu mchezo hafi mwisho na kama waliuplan bila kujipanga TUMEKWISHA.
Hatuna haja na haya mapishi ya propaganda, kilichokea ni kwamba CCM wameiba uchaguzi kibabe! Hao TISS mnaowafanyia hii propaganda wengi ni CCm na ndio ukweli ulivo. Kama wasingekuwa na mrengo wowote wa kichama wasingefanya uharamia wailioufanya wa kuwaibia kura CCM!
CCM na hao wanaoitwa TISS wote wamelifelisha hili taifa na kwa sababu ya upumbavu wao wa kuweka mbele maslahi ya chama chao badala ya taifa. Kwa hio tusubiri karibuni tutakiona kilichomtoa kanga manyoya. Uchaguzi huu ulivyochafuliwa utamgharimu kila mmoja wetu!
Endeleeni kula honey moon kwanza!
 
Back
Top Bottom