CCM na Magufuli mmejifunza nini?

CCM na Magufuli mmejifunza nini?

Mkuu, Hayati Sokoine na Rais Magufuli ni madaraja tofauti kabisa.

Sokoine alikuwa na Hekima na Busara kubwa kitu muhimu katika uongozi wa umma.
Kwani umeambiwa kuwa Rais Dk. Magufuli hana Hekima na hizo Busara? Mnavyozidi 'Kumchukia' Rais JPM na Mungu ndiyo anazidi 'Kumbariki' tu.
 
Salaam....

Niseme tu kama kuna uchaguzi wa kibabe kuwahi kutokea basi ni huu. Ni mwaka huu ndo nimeiona IDARA ikitoa funzo kubwa sanaaa kwa CCM na baba mkuu...

Wengi mtabeza ila ukweli ni kwamba hii naweza kuita oparation kubwa IDARA kuwahi kuifanya pamoja na kwamba imejaa udhaifu ila imefanikiwa kwa 100%
CCM chunguzeni mchakato wenu wote wa ndani mtagundua hawa watu walikua all over your places wagombea wote waliangaliwa na kufanyiwa tathimi na hawa jamaa CHAMA ilikuwa ni kukamilisha taratibu tu.

Mtakao beza hizi jitihada shauri enu ila haya ni maoni yangu.

1. Labda Ilihitajika namna na kumuonesha mkuu na chama kwamba kuna watu wakiamua kitu lazima kiwe na kwamba yeye na chama wapo pale kwa sababu kuna watu wametaka wawepo kiburi na jeuri si kitu kwao na wakiamua wanaweza kuwaondoa pia.

2. Labda ni mpango wa kuingiza siasa mpya nchini kuelekea 2025 kupata wapinzani wa kweli na sio tuliowazoea mana tayri walikosa madoa ya uzalendo kwa nchi na amini kwamba huu ndio ukweli CHADEMA kuruhusu LISSU kugombea kiusalaMA lilikua kosa kubwa hasa kwa aina siasa za LISSU.

3. Kama wasingekua hawa watu Lissu asingemaliza kampeni zake na hili wengi watalikataa ila ndo ukweli mchungu hawa watu walimuhakikishia Lissu ulinzi wote na siku zote hawakutaka kabisa aguswe.. so walijua wanaenda kumuulia wapi.

4.Siasa ni hesabu na kuna watu wanazicalculate usiku na mchana usishangae hesabu za mwaka huu zikawa kuidhoofisha CCM miaka 10 ijayo ikiwa n pamoja na kuibua chama kipya achenye ushawishi kwa wananchi mana upinzania wa sasa unamadhaifu mengi kimfumo.

5. Kama CCM inahisi bunge ni lao wanakosea hawa watu wapo kila kona ya bunge na msishangae ukatokea mvurugano mkubwa bungeni kuhakikisha utendaji unakamilika.

CCM na MKUU haya ni yangu hawa watu wapo kila mahali na wanaweza kufanya lolote muda wowote bila kujali yoyote ila maslahi ya usalama wa nchi. Huu mziki CCM wameucheza bila wao kujua madhara yake kifuatacho mimi na wee tuwape muda walioplan huu mchezo hafi mwisho na kama waliuplan bila kujipanga TUMEKWISHA.

Kilaza
 
Tumejifunza kuwa Watanzania Wana Imani kubwa na Serikali
Yao, aidha wapinzani wamekosa uzalendo wa nchi yoa wako tayari thingie kwenye machafuko Kwa masilahi yao binafsi! Hatuko tayari
 
Zaidi ya madaraka I don't think if ccm members do care about anything else kuhusu nchi hii
 
Unaposema wa tz hawamtaki! Unamaanisha kwamba Lissu alishinda au? Tuliwaambia hamkusikia!,kura hazipigwi Jf! Hivi kwa akili zenu mlitegemea Lissu atashinda mbele ya Jpm?
Wewe mjinga....kwanini mlikuja na maBegi yaliyojaa Kura umbwa nyie
 
Kura zipi zilizoaandaliwa mapema wewe! Hivi mlitegemea hata huyo TL wenu atapata kura 1M kwanza ashukuru! Acheni upopoma !.Uchaguzi mmeshashindwa ! Kama kaonewa Si mngejitokeza kuandamana barabarani sasa kama mlivyotuaminisha! mbona hamkufanya sasa ! Au maandamano yapo Jf?.
Umeshajenga? mfuko wa cement now elf 35
 
CDM wakiamua kuiua haichukui hata mwaka inasambaa yote amini kwamba.... Kwa upinzani huuuu haihitaji hata akili nyingi kuiua
Wajinga kama nyinyi ni tatizo kubwa eti kuiua unadhani Chadema ni cuf au nccr
 
Usiwasemee watu wewe ! Hauko mioyoni mwa watu! Hivi mikutano ya JPM ulikua huioni ? Kila kona alikokua anapita watu walijaa barabarani na kwenye mikutano kumsikiliza alafu! Unasema sehemu kubwa walikua wanamkubali TL kwa Vigezo vipi? Au humu Jf? Mjifunze kuficha aibu basi! Tatizo lenu mnadhani kura zinapigwa humu jf ! Tanzania bado hakuna Upinzani imara uliojijenga kitaasisi wa kuitoa CCM ,hakuna!
Kwamba jamaa anadanganya kwamba Cement haijafika elf 30? mijitu mingine mko Duniani kwa hasara
 
KATIBA MPYA is just a single step ahead...

KATIBA MPYA peke yake haiwezi kuwa suluhu ya demokrasia Tanzania..

Unajua USA kunatokea nini sasa baada ya uchaguzi wa Rais wa nchi yao?

Donald Trump anafanya jaribio la kung'ang'ania WHITE HOUSE pamoja na nchi hiyo kuwa na TAASISI IMARA ZA KIUTAWALA zilizojengwa katika msingi thabiti wa KATIBA ya nchi hiyo na ambazo kamwe haziwezi ku - compromise na watawala..!

Unajua kwanini?

Ni kwa sababu, licha ya KATIBA nzuri, lakini sharti uzuri huo uende sambamba na;

1. Utashi binafsi na huru wa kisiasa wa viongozi wenye mamlaka na maamuzi..

2. Uwazi katika utekelezaji na uendeshaji wa serikali..

3. Viongozi wenye mamlaka ya maamuzi kuwa na utoshelevu na kurudhika na kutokuwa na tamaa ya visivyo halali yao...
Kwanza Katiba mengine yatafuata....unataka kusema huu upuuzi wa bongo Mwenyekiti wa Chama cha Siasa...ambae nae anagombea anateua tume itakayomtangaza mshindi kweli akili hiyo
 
Tuliwaambia hamkusikia ! Lissu ni debe tupolu mbele ya JPM ona sasa mnavyo weweseka ! Si tuliwaambia mtakuja hapa kulalama mmeibiwa kura! Tulieni! .TL wenu huyo kaenda zake Ubelgiji ,haamani Watanzania walichomfanya!
Muwashukuru TISS, MADED na POLISI bila hao CCM ni weupe sana. Ila safari hii mmetia aibu sana aiseee mmeiba mpaka mmetapika kwa kuvimbiwa.
 
CDM wakiamua kuiua haichukui hata mwaka inasambaa yote amini kwamba.... Kwa upinzani huuuu haihitaji hata akili nyingi kuiua
Uwe na akili wewe..huko shule ulienda kusomea ujinga ?? UPINZANI NI WATU ILI KUONDOA UPINZANI BASI UA WATU WOOOTEE UBAKI PEKE YAKO NA SIO KUUA CHAMA. CCM WOTE HAMNA AKILI.
 
Salaam....

Niseme tu kama kuna uchaguzi wa kibabe kuwahi kutokea basi ni huu. Ni mwaka huu ndo nimeiona IDARA ikitoa funzo kubwa sanaaa kwa CCM na baba mkuu...

Wengi mtabeza ila ukweli ni kwamba hii naweza kuita oparation kubwa IDARA kuwahi kuifanya pamoja na kwamba imejaa udhaifu ila imefanikiwa kwa 100%
CCM chunguzeni mchakato wenu wote wa ndani mtagundua hawa watu walikua all over your places wagombea wote waliangaliwa na kufanyiwa tathimi na hawa jamaa CHAMA ilikuwa ni kukamilisha taratibu tu.

Mtakao beza hizi jitihada shauri enu ila haya ni maoni yangu.

1. Labda Ilihitajika namna na kumuonesha mkuu na chama kwamba kuna watu wakiamua kitu lazima kiwe na kwamba yeye na chama wapo pale kwa sababu kuna watu wametaka wawepo kiburi na jeuri si kitu kwao na wakiamua wanaweza kuwaondoa pia.

2. Labda ni mpango wa kuingiza siasa mpya nchini kuelekea 2025 kupata wapinzani wa kweli na sio tuliowazoea mana tayri walikosa madoa ya uzalendo kwa nchi na amini kwamba huu ndio ukweli CHADEMA kuruhusu LISSU kugombea kiusalaMA lilikua kosa kubwa hasa kwa aina siasa za LISSU.

3. Kama wasingekua hawa watu Lissu asingemaliza kampeni zake na hili wengi watalikataa ila ndo ukweli mchungu hawa watu walimuhakikishia Lissu ulinzi wote na siku zote hawakutaka kabisa aguswe.. so walijua wanaenda kumuulia wapi.

4.Siasa ni hesabu na kuna watu wanazicalculate usiku na mchana usishangae hesabu za mwaka huu zikawa kuidhoofisha CCM miaka 10 ijayo ikiwa n pamoja na kuibua chama kipya achenye ushawishi kwa wananchi mana upinzania wa sasa unamadhaifu mengi kimfumo.

5. Kama CCM inahisi bunge ni lao wanakosea hawa watu wapo kila kona ya bunge na msishangae ukatokea mvurugano mkubwa bungeni kuhakikisha utendaji unakamilika.

CCM na MKUU haya ni yangu hawa watu wapo kila mahali na wanaweza kufanya lolote muda wowote bila kujali yoyote ila maslahi ya usalama wa nchi. Huu mziki CCM wameucheza bila wao kujua madhara yake kifuatacho mimi na wee tuwape muda walioplan huu mchezo hafi mwisho na kama waliuplan bila kujipanga TUMEKWISHA.
Mkuu yaani hawa wafanye majaribio kwenye mamlaka ya wananchi?halafu tuseme wanaposite agenda in future hapana. Kazi kubwa ambayo CCM wamefanya ni kuhakikisha tasis zote za Umma wameweka vindakindaki. Hawa ndyo wapikaji wakuu wa kunyonga katiba na sheria zetu. Usitegemee kubadilika halitatokea Hilo. Tunakoelekea kama hutakua na kadi ya ukada Sahau kupata ajira kweny tasisi za serikalini.
Wananchi kama tutaendelea kuvumilia hali hii ya kisiasa nchini katika chaguzi chafuzi kama hizi na tusipaze Sauti Hii class itajimbia mizizi na kuwa Permanent ruling class maisha. Matokeo yake nchi itakua ya kifalme indirectly na ndiko tunaenda mtake mstake!!

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
Unaposema wa tz hawamtaki! Unamaanisha kwamba Lissu alishinda au? Tuliwaambia hamkusikia!,kura hazipigwi Jf! Hivi kwa akili zenu mlitegemea Lissu atashinda mbele ya Jpm?
Kwa uchaguzi huru na haki Magufuli angekiona cha mtema kuni na ndio maana akafanya uhuni.

Kwa hali ilivyo sasa ccm haiwezi tena kushinda uchaguzi wowote ulio huru na wa haki, hawawezi na sasa wataiponza nchi kwa huu uhuni walioufanya.
 
Back
Top Bottom