wagagagigi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2014
- 890
- 986
Ajabu! Ndivo wanavotuaminisha sasa!Yani hiyo idara yenye umakini wote huo ndiyo iliyompitisha Magufuli?
Ajabu! Ndivo wanavotuaminisha sasa!Yani hiyo idara yenye umakini wote huo ndiyo iliyompitisha Magufuli?
Bollocks. Ujinga mtupu.Ajabu! Ndivo wanavotuaminisha sasa!
Upo sahihi ndg, kama kuna mtanzania anaonakilichofanyika ktk uchaguzi huu ni sahihi, sawa ila akiri za watu wenye akiri wanaona kilichofanyika ni aibu tupu.Kiongozi ni yule anayeishi ndani ya mioyo ya watu, sio yule anayetegemea nguvu za dola kukaa madarakani, sio yule anayetegemea dola kutisha na kuumiza, kudhuru watu na kuwafunga midomo kwa nguvu za dola.
Uchaguzi uliopita ni uchaguzi mbaya zaidi kuwahi kutokea katika Tanganyika hadi Tanzania huru historia itaandika.
Yaaji akifanya hilo atakuwa amemaliza wala sitanung'unika tena! Upande wa CHADEMA nawapendekeza John Heche na Ali Bananga wawe kwenye hiyo Tume!Rais wangu JPM utakumbukwa na vizazi vya nchi yetu kama utaunda tume huru ya uchaguzi haraka iwezekanavyo na ikiwezekana tume hiyo ipe mamlaka yake pekee ambayo haiingiliwi na chombo chochote cha dola. Namuomba Mungu akupe ujasiri huo na nchi yetu itaendelea kuwa salama na ya mfano duniani.
Huu ndio ukweli ,yale yaliyotokea kule kwa Trump ndio yalikuwa yanaenda kutokea Tanzania.Kaja kushituka asubuhi kumeshakucha kwamba kumbe Watz hawamtaki, ikabidi atumie nguvu za dola kufunga bao la mkono wa kushoto mchana kweupe .
He has forcebly clinched the 5yrs term, now it is a ripe time for him to make appropriate reforms and adjustments in his governance.
Maybe wameona wakaandamane kwenye bunge la EU.Tusubiri tuone.Sema jamaa nao hawana msimamo
Wanakera sana hawa watu kila mmoja anakuja na kitheory chake cha hovyo hovyoSijui wanatoa wapi huu upuuzi? Yanaanzisha nyuzi za ajabu ajabu tu daily! Yaani ni kero humu. Yanajifanya yako theoretical and proffesorial lakini ni idiots tu.
Tulichojifunza ni kwamba CCM 'inapendwa' na Watanzania hadi na Mola / Maulana na kwamba 'Watanzania' wanataka Rais Magufuli atawale Milele.
Watu walienda kumtazama Alikiba , Simba (mondi) na Kondeboy.Usiwasemee watu wewe ! Hauko mioyoni mwa watu! Hivi mikutano ya JPM ulikua huioni ? Kila kona alikokua anapita watu walijaa barabarani na kwenye mikutano kumsikiliza alafu! Unasema sehemu kubwa walikua wanamkubali TL kwa Vigezo vipi? Au humu Jf? Mjifunze kuficha aibu basi! Tatizo lenu mnadhani kura zinapigwa humu jf ! Tanzania bado hakuna Upinzani imara uliojijenga kitaasisi wa kuitoa CCM ,hakuna!
Mh Kessy naona unaendeleza mapambano nje ya bunge.Tulichojifunza ni kwamba CCM 'inapendwa' na Watanzania hadi na Mola / Maulana na kwamba 'Watanzania' wanataka Rais Magufuli atawale Milele.
Wewe kama huna hoja ya maana usini quote Naon unaota wewe! Hizo ndo fikra zenu mfu!Watu walienda kumtazama Alikiba , Simba (mondi) na Kondeboy.
Chukua nyomi ya fiesta itoe waliobaki ndio walioenda kumsikiliza.
Vipi Lissu sialisema sasa basi tutaingia barabarani ?Magufuli alikua na wasiwasi wa kuwa rais wa kwanza wa mhula mmoja Tanzania. Amefanya aliyoyafanya sasa ameshaapishwa. Lakini ni kheri angekua rais wa mhula mmoja mwenye amani kuliko hali aliyonayo sasa hivi.
Jamaa walikuwa na mkwara mbuzi acha kabisa, nakumbuka wengine humu ndani walidiriki kusema Lissu aanze kuunda baraza lake la mawaziri.Kelele za CHADEMA kabla ya Uchaguzi si chochote
KUHISI kunaelekea kwenye kujua kwa hiyo kama huna hicia vipi utajua kumbe ni wewe nimekusameheAaah, kumbe unahisi tu.
Nilifikiri umeandika kitu unachojua.
Kwao serekali= ccm=taifa.Hebu anza kuthitisha umateka wao kwanza
Hata guluguja anahisi.KUHISI kunaelekea kwenye kujua kwa hiyo kama huna hicia vipi utajua kumbe ni wewe nimekusamehe
Siyo fikra, tuliona kwa macho yetu.Wewe kama huna hoja ya maana usini quote Naon unaota wewe! Hizo ndo fikra zenu mfu!