Democrasia ya kweli na uchaguzi ulio huru na haki utakujakuwepo pale tu mambo haya yatakapofanyiwa kazi🙁1)katiba mpya ambayo upatikanaji wake,wajumbe wa bunge la katba nusu ya wajumbe wawe chama tawala nusu wapinzani wa ukweli na wanaharakati na wataalamu wasiokuwa na upendeleo wa chama chochote cha siasa wanaoangalia maslahi ya taifa(2)tume huru ya uchaguzi yenye wajumbe exactly nusu wapinzani wa kweli na wanaharakati na wataalamu wasio na upendeleo wa itikadi za vyama vya siasa,na nusu ccm wa ukweli,(3/wasimamizi wa uchaguzi kwa kila kituo na kila jimbo,nusu ya wasimamizi wawe wapinzani na nusu wa chama tawala."Muujiza huu ukitokea, tutakuwa na uchaguzi huru na wa haki.